Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Kashawishi jambo gani ambalo bila yeye lilikuwa haliwezekani? Hebu tuache kuongea mambo yasiyokuwepo. Kama ana ushawishi kiasi hicho ameshindwa nini kukaa na washindani wake kisiasa ili wajadiliane Juu ya Siasa za kistaarabu na zenye kuchochea maendeleo?
Uwekezaji wa mtaji wa nje, utawala wa sheria na mahusiano ya kimataifa.

Kama unakataa, nenda Jehenamu
 
Kudura alivyosema Mh Gambo. Gelegele wakae mkao wa kutumbuliwa. Awamu hii ya chanjo na kuupiga mwingi imenifanya nigundue wasukuma legelege wanapatikana.
 
UMEONGEA VIZURI.Lakini na mimi nainga mkono suala la katiba.Ni vema kuwa na katiba mpya na pia tujenge maadili ya kuheshimu katiba.Tumekuwa tukiikaanyaga sana Katiba.

Taifa kama la USA lina mafanikio sababu ya kuheshimu katiba yao
Katiba mpya haikwepeki, lakini suala la kukanyaga katiba ndilo la muhimu sana kuliko katiba yenyewe.
 
Yours is a very shallow thinking...kwa Katiba ya tz makamu wa rais atafanya nn mbele ya rais?
Kwani unalazimishwa na kazi, ukiona vipi vipi si unajiuzulu kwani ukijiuzulu pia unashitakiwa. Huyo ni mnafiki tu hana lolote. Very big hypocrite.
 
Tanzanian president Samia Suluhu have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500.

CHUKWUEMEKA AYOMIDE • OCTOBER 19, 2021

Tanzanian President, Samia Suluhu Hassan

Tanzanian President, Samia Suluhu Hassan
Tanzanian president Samia Suluhu-Hassan have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500.
Ms Suluhu-Hassan was named Muslim woman of the year for her landmark achievement as Tanzania first female president and one of the very few female presidents to have ruled an African country.
Justifying its choice of Ms Suluhu-Hassan, Muslim500 in the publication explained that the Tanzanian president had attracted investors and restored the confidence of existing investors.
“President Suhulu has restored investor confidence and attracted private sector investments,” the publication said.
Released on Monday night, the Muslim 500 spotlights powerful and influential Muslims globally.

Tahadhari:
Wale wa kukosoa kila kitu cha Rais Samia mwageni povu, ila sisi tuko na Mama, Anaupiga mwingi

View attachment 1981166
Tumia kiingereza sanifu unapoamua kuandika kwa king'eng'e

Tazama nukuu hii hapa kuna makosa ya kimsingi ambayo msomaji yeyote aliyebobea katika lugha hiyo ya kigeni anaweza kukushusha hadhi

"...Tanzanian president Samia Suluhu-Hassan have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500...."

Neno 'have been' haliko mahali sahihi kwa sababu anayezungumziwa ni mtu aliyeko kwenye nafsi ya kwanza na ni mmoja tu kama rais kwa mjibu wa katiba baada ya janga ya kupotelewa na rais wa kuchaguliwa kwa kura.

Pili, indeed she has attracted a lot of potential investors and retained confidence to existing investors but their integrity is questionable if they shall patriotically safeguard the country's national interests as opposed to merely amassing wealth through the resources available in the country.
 
Thanks ila text ya English siyo yangu. Nime copy na ku paste toka kwenye jarida
 
Kashawishi jambo gani ambalo bila yeye lilikuwa haliwezekani? Hebu tuache kuongea mambo yasiyokuwepo. Kama ana ushawishi kiasi hicho ameshindwa nini kukaa na washindani wake kisiasa ili wajadiliane Juu ya Siasa za kistaarabu na zenye kuchochea maendeleo?
Mafanikio ya kipindi cha miezi 6 ni kielelezo tosha kajenga zahanati Mara tatu ya mtangulizi wake, katoa mikopo takribani robo tatu ya wanafunzi wote Elimu ya juu.... kanunua MRI na CT scan hospital zote kila mkoa Bara na Pwani...!!!
 
Propaganda uchwara tu yaani hawa jamaa ni udini tu unawasumbua hivi kama Rais angekua Mulamula wangemuandika kwenye hicho kipeperushi chao cha kufungia maandazi?
 
Propaganda uchwara tu yaani hawa jamaa ni udini tu unawasumbua hivi kama Rais angekua Mulamula wangemuandika kwenye hicho kipeperushi chao cha kufungia maandazi?

Tusubirie ataandikwa pia kwenye walatini ndipo mtakiri huyu ndiye.
 
Acheni utani nyinyi hawa waislamu wanaotaka mwanamke abaki nyumbani na haruhusiwi kuwa kiongozi ndio wamtambue mwanamke ana ushawishi🤣🤣 tafuta namna nyingine ya kusifia ila sio kwa style hiyo
 
Acheni utani nyinyi hawa waislamu wanaotaka mwanamke abaki nyumbani na haruhusiwi kuwa kiongozi ndio wamtambue mwanamke ana ushawishi[emoji1787][emoji1787] tafuta namna nyingine ya kusifia ila sio kwa style hiyo

Uislamu unamtukuza mwanamke katika daraja la juu kabisa soma vizuri, Hakuna mahali pameaandikwa mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi
 
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.

Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.

Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!

Aah!..kumbe Muslims

Ok maana miongoni kwa wamama wa kiislam yeye ndo anawaongozea,wamama wengine wa kiislam wamebanwa mbavu home😂😂

Ni vema sasa waislam waache utamaduni wa kuwabana watoto wa kike maana wanaweza.
 
Aah!..kumbe Muslims

Ok maana miongoni kwa wamama wa kiislam yeye ndo anawaongozea.

Ni vema sasa waislam waache utamaduni wa kuwabana watoto wa kike maana wanaweza.

Uislam si kigezo kwa Mwaka 2021 ukitaja Wanawake wa shoka Rais Samia yupo ndani anaongoza acheni historia itusemee na vizazi vipokee...!!!!
 
Uislamu unamtukuza mwanamke katika daraja la juu kabisa soma vizuri, Hakuna mahali pameaandikwa mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi
Niambie kuna imam mwanamke au nitajie viongozi 5 wa juu wa uislamu unaowajua hata kwa Tanzania tu, hata mume wake tu anaogopa kuongozana na mama yenu kwa kuogopa kujishusha mbele ya jamii ya kiislamu kuonekana anaongozwa na mwanamke. Nenda kacheck facts zako ndio uje kusifu na kuabudu
 
Bi hadija mke wa mtume alikuwa ni mfanyabiashara na kiongozi aliyesambaza dini sana karne ya 6.
 
CCM mnatuchanganya sasa, tumsifu nani sasa Magu ama Maza ?
 
Back
Top Bottom