mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Alikua ana cheo gani?, Ninavyojua mwanamke wa kiislamu hata kwenye mimbali hasogerei kukiwa na wanaume, hebu toa ushuzi wako jaribu kuficha ujingaBi hadija mke wa mtume alikuwa ni mfanyabiashara na kiongozi aliyesambaza dini sana karne ya 6.
Kaka uko bongo unaona ulimwengu wote kama bongo tu unachojua ni simba na yanga na kubeti tu .Kiukweli hili jarida sikuwahi kulisikia kabla
Ulitakiwa kuiwekea alama ya nukuu na kutaja chanzo cha nukuu yako haya yote yasingekuwepo mkuuThanks ila text ya English siyo yangu. Nime copy na ku paste toka kwenye jarida
Demokrasia ni moja tu dunia nzima. Hakuna ya afrika. Sasa mnataka maendeleo kama Sweden ambayo ina demokrasia na utawala bora alafu hamfuati principles of democracy!! Hamtofika kamwe.Brazaj hauko Marekani ,Sweden wala Norway.....
Uko Afrika.....
Waafrika tuna demokrasia yetu.....
Utakuwa msukuma wewe alafu mlokole wewe..!Muslimu 500, Hijab then Zanzibar nothing else.
Swedeni hakuna demokrasia ila kuna kukubaliana kuwa na matendo yasiyozingatiwa uwepo wa Mungu hivyo kila mwenye hisia zinazomfurahisha anaruhusiwa kuzifanya.Demokrasia ni moja tu dunia nzima. Hakuna ya afrika. Sasa mnataka maendeleo kama Sweden ambayo ina demokrasia na utawala bora alafu hamfuati principles of democracy!! Hamtofika kamwe.
Mkuu Mapesa tuko pamoja, doing goodJarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.
Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!
Safi SanaJarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.
Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!
Labda jarida la nungwiJarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.
Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!
Ni JumbeSawa mjumbe
Chapa kazi mkuu wanguKwani Mandela amewazidi Nyerere ,Mkapa na Kikwete?!!!
Kazi Iendelee kamarade👍Chapa kazi mkuu wangu
Tuko pamoja sana,Kazi Iendelee kamarade👍
Aluta continua👍Tuko pamoja sana,
Kazi iendelee mamaJarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.
Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!
💪👊Kazi iendelee mama
Weusi wenye asili ya AFRICA hata kama kazaliwa ulaya kama wakina LIL WYNEKumbuka kuna Wa Far East weusi yaani nchi za Ufilipino, Indonesia, Singapole, Malasia nk.
Kuna Waarabu weusi
Kuna wahindi weusi
Kuna Waafrika weupe pe kabisa.
Hapa ulikuwa unamaanisha
Mtu yeyote mwenye rangi nyeusi au
Waafrika wote
Wote wenye asili ya Afrika
au
Wenye asili ya Afrika wanao ishi ndani ya bara la Afrika ?