Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Unadhani mkataba ni kitu ambacho unaweza amka na kuamua kuvunja tu?

Kusaini mkataba, ni lazima pande zote mbili ziridhiane kwenye maslahi. Na kuuvunja mkataba, lazima pande hizo mbili ziridhiane kwenye maslahi. Mkataba ni kati ya Fei na Yanga, hivyo hata kuuvunja, ni wao pekee ndio wanahusika.

Yanga au Fei, yeyote anayetaka kuuvunja mkataba, lazima awasiliane na mwenzake kwanza. Ikishindikana, ndio watahusishwa wasimamizi wa soka TFF. Alichofanya Fei, badala ya kuwasilisha ombi la kuvunja mkataba kwa Yanga, yeye kalipeleka TFF.

Swali tunalotakiwa kujiuliza, Fei alishawahi kuwaambia Yanga kwa maandishi wavunje mkataba?
Ndio unaweza kuuvunja kwa njia zisizo halali.
Halafu unapewa adhabu ya kulipa faini kama mkataba unavyosema.
Adhabu haiwezi kuwa eti lazima ukae umalize mkataba au ulete timu inayotaka kukusajili.Je iwapo nataka kupumzika kwanza?

Fei atozwe faini kwa kuvunja mkataba.

Utopolo ni vilaza milioni 100 wanaiona ndogo
 
Hawataki kuukubali ukweli kwasababu ya ushabiki

Hata yule jamaa Bila bila anayejinasibu kuwa hana upande naye kazidiwa na mahaba amejikuta anashindwa ku control hisia.

Dr Matola PhD huyu naye niliwahi kumuambia kuhusu kuvunja mkataba bila kufuata sheria ila ni mbishi sijui kwasababu ni Gongowazi

ukikaidi utapigwa2 huyu amegoma kabisa kunipa feedback ya ile PDF niliyomuwekea ambapo alidai kuwa Hakan Calhanoglu alikaa mezani na timu yake.

Tate Mkuu ebu nawewe kwa nafasi yako soma hii nakala ya hukumu hapa halafu uniambie inashindikana vipi kwa Feisali kufika maamuzi haya?

Analyse pitia hii nakala ya hukumu niambie kesi hii inatofauti gani na kesi ya Feisali?
 
Attachments

Ingekuwa rahisi hivyo...wengi wangevunja na kulipa gharama...

Sheria, kanuni na taratibu kwanza, watu wanapima mkataba umeuumiza kwa kiasi gani!? Upande wa pili umeumia kwa kiasi gani? kwa wewe ku violate mkataba baina Yako na Timu

Umeathiri mipango ya upande wa pili kiasi gani, kuna vitu vingi tu watu wanaangalia... then....wanakutwanga Adhabu or Gharama Ili iwe fundisho na uhuni wa namna hiyo usirudiwe tena.

Sio rahisi kiivyo.....Fei ajiandae kisaikolojia

ukikiuka adhabu...inweza kuwa gharama kwa maana ya fine na kifungo pia ..
Ajiandae nini kisaikolojia?
Amesema hataki kucheza yanga nendeni mahakamani mkadai pesa awalipe fidia!
 
Ajiandae nini kisaikolojia?
Amesema hataki kucheza yanga nendeni mahakamani mkadai pesa awalipe fidia!
Mahakama ya nini wakati tuna mmudu kwa Sheria za Soka...

We huoni anavyotapatapa, hapo bado Yanga hawajapiga Rungu la kichwa kwa utoro kazini na utovu wa nidhamu....

Subirini tushuke na Kombe Jpili [emoji16] afu tuanze kudili nae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio unaweza kuuvunja kwa njia zisizo halali.
Halafu unapewa adhabu ya kulipa faini kama mkataba unavyosema.
Adhabu haiwezi kuwa eti lazima ukae umalize mkataba au ulete timu inayotaka kukusajili.Je iwapo nataka kupumzika kwanza?

Fei atozwe faini kwa kuvunja mkataba.

Utopolo ni vilaza milioni 100 wanaiona ndogo
Unaongea kwa hisia zaidi mkuu. Eti iwapo anataka kupumzika. Mpira ni uwekezaji, watu wakishawekeza kwako, huwezi tena kukurupuka na kufanya maamuzi utakavyo. Lazima maslahi ya pande zote mbili yaangaliwe.

Utovu wa nidham aliofanya Fei, ni dhahiri Yanga wakiamua kuvunja mkataba, wanaweza kabisa, ila hawajaamua kuchukua njia hiyo.

Nadhani kama Fei angeamua kutuma wawakilishi wake mfano hao mawakili, wakazungumze na Yanga namna gani ya kulimaliza ili swala, basi muafaka ungepatikana. Ila kinachotokea, Fei anaongea juu kwa juu, Yanga nao wanamjibu juu kwa juu.

Kwa hii scenario ilivyo, Yanga wameshika mpini, Fei ameshika makali. Ndio maana yeye anahangaika sana. Angekuwa na akili, angetafuta namna nzuri ya kulimaliza ili, maana anaoshindana nao, mambo yao yanaenda.
 
Unawaza kishamba sana.Hakuna utumwa hapo.
Mpini walioshika yanga ni kipengele cha kulipa fidia milioni 100.Hizo ndizo pesa waliona zinatosha iwapo mchezaji atataka kuvunja mkataba.Vinginevyo waseme pesa wanayomtoza Fei kwa kukataa kucheza yanga.
Hakuna kanuni ya kumlazimisha mchezaji amalize mkataba wake kama hataki.
 
Hawataki kuukubali ukweli kwasababu ya ushabiki

Hata yule jamaa Bila bila anayejinasibu kuwa hana upande naye kazidiwa na mahaba amejikuta anashindwa ku control hisia.

Dr Matola PhD huyu naye niliwahi kumuambia kuhusu kuvunja mkataba bila kufuata sheria ila ni mbishi sijui kwasababu ni Gongowazi

ukikaidi utapigwa2 huyu amegoma kabisa kunipa feedback ya ile PDF niliyomuwekea ambapo alidai kuwa Hakan Calhanoglu alikaa mezani na timu yake.

Tate Mkuu ebu nawewe kwa mafasi yako soma hii nakala ya hukumu hapa halafu uniambie inashindikana vipi kwa Feisali kufika maamuzi haya?

Analyse pitia hii nakala ya hukumu niambie kesi hii inatofauti gani na kesi ya Feisali?

Mkuu nashindwa kuidownload hii attachment. Sijui kwanini
 
Shortly ni kwamba mwanasheria amejua kabisa Fei alichemka, na hawezi ishitaki Yanga. Chocho la kukimbilia wameliona lipo TFF.

Watakimbia weeeee....mwisho wa siku lazzima wakae chini na Yanga kuvunja mkataba wa Fei.....

Yani kwa kupenda au kwaa kutokupenda, lazima wakae chini na Yanga kuvunja mkataba wa Fei.
 
Mkuu nashindwa kuidownload hii attachment. Sijui kwanini
Screenshot_20230602-221120.png
 
Huyo Mama Akili kubwa! TFF itadhalilishwa soon Kwa kushindwa kuwajibika na kuleta unazi. TFF ingewajibika inshu ya Fei ilishakwisha.
Kuwajibika ni kuvunja mkataba wa FEI ?

UMEMSIKIA fei jana, kjana sababu yeyote Yanga wamekiuka kipengele cha mkataba wake?
 
Ndio mikataba inavunjwaga hivyo?

Sijui watu mnafikiria kwa njia gani sijui.

Fei mwenyewe anasema Hana shida na Yanga ila ana shida na Eng Hersi! Ye aliingia mkataba na Hersi au na Yanga?
Hana shida na injinia yeye ana shida na raisi wa utopolo
 
Mtanange n mkali[emoji23]kwa hiyo kashtaki TFF na sio Yanga,eh ngoja tuone ataishia wapi kijana .
 
Back
Top Bottom