Ndio unaweza kuuvunja kwa njia zisizo halali.Unadhani mkataba ni kitu ambacho unaweza amka na kuamua kuvunja tu?
Kusaini mkataba, ni lazima pande zote mbili ziridhiane kwenye maslahi. Na kuuvunja mkataba, lazima pande hizo mbili ziridhiane kwenye maslahi. Mkataba ni kati ya Fei na Yanga, hivyo hata kuuvunja, ni wao pekee ndio wanahusika.
Yanga au Fei, yeyote anayetaka kuuvunja mkataba, lazima awasiliane na mwenzake kwanza. Ikishindikana, ndio watahusishwa wasimamizi wa soka TFF. Alichofanya Fei, badala ya kuwasilisha ombi la kuvunja mkataba kwa Yanga, yeye kalipeleka TFF.
Swali tunalotakiwa kujiuliza, Fei alishawahi kuwaambia Yanga kwa maandishi wavunje mkataba?
Halafu unapewa adhabu ya kulipa faini kama mkataba unavyosema.
Adhabu haiwezi kuwa eti lazima ukae umalize mkataba au ulete timu inayotaka kukusajili.Je iwapo nataka kupumzika kwanza?
Fei atozwe faini kwa kuvunja mkataba.
Utopolo ni vilaza milioni 100 wanaiona ndogo