Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

This is too low Robert!unamengi yakuandika kuliko kushadadia Kuachana Kwa wapendanao,halafu unajifanya watibeli tunapreach love ndio love Gani hii?halafu kuna kijamaa kingine nacho nimeona kimefurahia sana hii habari acheni mambo yenu bhanaa

Sijashadadia kuachana kwao.

Tunaoyajua mapenzi tunajua hata wapendanao huweza kuachana iwe kwa kifo au kwa namna zingine.

Love ni pamoja kuachana Mkuu. Relax!
Kuhusu mengi ya kuandika, ninaandika vile nitakavyo na sio vinginevyo. Ninyi wasomaji pia mtasoma kile ninachoandika kwa mapenzi yenu au mtaacha kwa uamuzi wenu. Hiyo sio juu yangu
 
Amenisikitisha sana. Yaani anaongea na mwanaume anakuja kuyaanika huku? Hizi tabia za kiwaki sana. Wanaume huwa hatuwi hivyo. Halafu anasema kabisa nimeongea sijui na nani...
1. Ametumwa? Wanaume hawatumwi upuuzi kama huu

2. Uchawa? Anataka kuonesha yupo karibu sana na mhusika? Inamsaidia nini?

3. Amefurahi anataka achukue nafasi yeye kwa huyo jamaa? Au alikuwa anaona wivu huyo binti kuwa na jamaa?
 
THIS IS TOO LOW KWAKO. WANAUME HATUFANYI HIVI.
 
JAMAA NIMEMSHANGAA SANA! AU NIFA ALIWAHI KUMNYIMA??

NI AIBU KWA MWANAUME KUJADILI UHUSIANO WA MTU MWINGINE, KIBAYA ZAIDI NI KAMA ANAONESHA KUFURAHISHWA KUACHANA KWAO.

WHAT IF KESHO WAKIRUDIANA, ATATUAMBIA NINI HAPA!?

#WANAUME TUMEBAKI WACHACHE SANA.
 
Hivi kumbe hayo mambo yenu yalikuwa serious?

What is so spesho Kwa mahusiano ya huyo nifa na huyo the Bold?

Naona mara tumeachana mara wengine makuja na nyuzi ,kwani kulikuwa na uajabu gani Kwa hao watu?
 

Nyuma ya I'd bandia mnajitamba lakini live maisha yamewapiga karibu kila idara
 
Najua una nature ya ubishi Huwa hukubalo kushindwa Wala kuambiwa ukweli ila Kwa hili chukua au acha umechemsha...
1.mwanaume unatakiwa kuwa na kaba,haiwezekani umesikia jambo ukanunua vocha ukaanza kumuuliza the bold personal life yake,sawa maybe ni mshkaji wako kama unavyojinasibu,mwenzio akakusimulia kilichotokea baina yao,wewe badala uyatunze unakuja kuyamwaga kwenye public "eti nimeongea na muhusika"

2.Unamkandamiza dada wa watu anaforce ndoa,hata kama alikuwa anaforce ndoa ni hitaji la Kila mwanamke anapokuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu Sasa kosa lake lipi?

3.Huko Kwa Mwamposa umevuka na na Nini?maana akili yako ilikuwa juuu juuu kuwaza ubuyu.

Eti watibeli 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kuforce ndoa ni kitu cha kuficha na wewe
 

Sasa kwa uelewa wako jambo likiwa public na mhusika alitaka liwe public Unafikiri nini kitatokea?

Unafikiri ni kwa nini hiyo mhusika kwa sasa amesema huenda hataweka mahusiano yake mapya public?

Kwa Mwamposa ndio natoka sasa hivi.
 
LAZIMA UAMBIWE UKWELI! MWANAUME UNAJADILI VIPI MAHUSIANO YA MWANAUME MWENZAKO?? TOO SHAME FOR YOU ROBERT!

Mwanaume unajadili vipi kwenye mada zinazojadili mahusiano ya Watu wengine ilhali kuna mada zaidi ya mamia humu JF na majukwaa kedekede?

Ukweli ni upi?
 
THIS IS TOO LOW KWAKO. WANAUME HATUFANYI HIVI.

Watibeli wanafanya chochote isipokuwa kuvunja sheria za Mungu,
Hayo mapokezi yenu ya kijinga kama yale mwanaume haliko, haishi vyombo au hamsaidii mkewe kwetu hayana maana yoyote ile.

Wewe unajiona mwanaume kwa kufuata mapokeo yasiyo na maana yoyote.
 
Sasa kwa uelewa wako jambo likiwa public na mhusika alitaka liwe public Unafikiri nini kitatokea?

Unafikiri ni kwa nini hiyo mhusika kwa sasa amesema huenda hataweka mahusiano yake mapya public?

Kwa Mwamposa ndio natoka sasa hivi.
Aliyetaka liwe public ni Nifah,haya we ndio msemaji wa The bold?

Huko Kwa Mwamposa nako ulienda picnic tu huna ulilorudi nalo bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…