Wanaume wa siku hizi wambea sana nyie,kama sio kitu Cha kuficha mbona kimekuwa kama kitu Cha kushangaza?mnachoshangaa mwanamke kutaka kuolewa ni kipi?Sasa kuforce ndoa ni kitu cha kuficha na wewe
Kwa kujizima data utamuweza sasaUkweli ni kuwa umechemka, na lengo langu ni kukuambia UMECHEMKA.
The special one laminated comment for 2024 [emoji119]Miaka HII WANAUME TUMEBAKI WACHACHE SANA. YAANI MTU KABISA UNAKUJA ANZISHIA UZI UHUSIANO WA MTU MWINGINE, ARE YOU NORMAL? NI AIBU HATA KUZUNGUNZIA. LENGO NINI? UONEKANE UPO KARIBU NA MTALAKA? THEN? WANAUME WAZAMANI ILIKUWA HUWEZI JADILI MAHUSIANO YA MTU MWINGINE. ULIKUWA MWIKO KABISA.
Nimeshtuka sana. Sijui kwa nini amefurahia hivi mtoto wa kiume. Na ameanzisha na uzi kabisa.... Inashangaza. Kuwa mwanaume ni kazi miaka hii.JAMAA NIMEMSHANGAA SANA! AU NIFA ALIWAHI KUMNYIMA??
NI AIBU KWA MWANAUME KUJADILI UHUSIANO WA MTU MWINGINE, KIBAYA ZAIDI NI KAMA ANAONESHA KUFURAHISHWA KUACHANA KWAO.
WHAT IF KESHO WAKIRUDIANA, ATATUAMBIA NINI HAPA!?
#WANAUME TUMEBAKI WACHACHE SANA.
JF ina GT kaliba zote, kuna yule anayejiita Kichwa Kichafu, ukiona madini yatokayo kwake sasa....[emoji2]Wewe sio Chizi Maarifa [emoji1635][emoji23]
Hapo sawa kama kwa kuachika huyo bint wewe ndo unaenda kuchukuliwa nimekuelewa. Nlihisi tu kuwa itakuwa ume jiondoa kwenye group.Utajuaje?
Watibeli wanafanya chochote isipokuwa kuvunja sheria za Mungu,
Hayo mapokezi yenu ya kijinga kama yale mwanaume haliko, haishi vyombo au hamsaidii mkewe kwetu hayana maana yoyote ile.
Wewe unajiona mwanaume kwa kufuata mapokeo yasiyo na maana yoyote.
Huenda nifah hana msinyunguBado nipo kwenye Mkesha wa "Vuka na chako"
Habari za nifa zimenishtua mno. Sikutegemea habari hii hasa kwa siku ya leo.
Unajua nifa alikuwa anampenda sana Jasusi. Yeye ndiye aliyejivunia mahusiano hayo mara kwa mara humu JF. Wengi walimjua kupitia mahusiano hayo ya Jasusi. Ukiyaita mahusiano ya kijasusi hutokuwa unakosea.
Wale wenzangu na miye wazee wa kuchungulia pm za Wadada tulifunga breki kwenye Pm ya Nifa kwani kwa sisi wataalamu wa mapenzi tunajua kabisa mapenzi yakikolea kwa kiwango cha juu kabisa si ajabu wapenzi kubadilishana simu na password. Hiyo ikaturudisha nyuma kwa kuhofia jasusi ana-access na account ya Nifa.
Wapo waliofurahishwa na habari hizo. Wapo pia waliohuzunishwa.
Nimewasiliana na jasusi yeye kwa uchovu kabisa alinijibu kuwa imeisha! Imeisha Mtibeli.
Nikamwuliza shida nini, akaniambia kumbe walikubaliana mwaka huu warasimishe. Na kama hawatarasimisha basi binti atachukua uamuzi mgumu.
Kuna mdakaji, mdakuzi, na mdukuzi. Kwenye mambo ya ujasusi bhana.
Jasusi kazidiwa kete na mojawapo hapo.
Ilipohitimu mwezi wa nane mambo yakawa mambo. Mojawapo hapo juu akamzidi jasusi.
Hata hivyo Jasusi kwa nilivyomsikiliza, taarifa hizi hazimuumi sana. Kingine ni kuwa kama mjuavyo binti yetu ndio alipenda zaidi kuliko jasusi mbobevu.
Ngoja tuendelee na nyimbo hapa kwenyw mkesha
π€£π€£π€£π€£Mi najua wewe ni mzee kifimbocheza hebu mshughulikie huyu Kijana aiseeSafi za Malawi si mbaya pia. Nitumie nitashukuru. Muwe mnawasaidia hawa watu wanaanzisha nyuzi kama hizi muwashauri kuwa ni kupoteza uanaume. Yaani mwanaume kabisa unajisifu kuwa umeongea na mwanaume kuhusu mwanamke wake na unaanza tangaza mtaani? Nimeshtuka sana. Siku hizi hata wanawake wameacha umbea na uchawa wa namna hiyo.
Hypocrisy... we umeamua kumpopoa mpopoe tu,,,unajifanya unamcalm down for what........simamia ulichoanzishaTulia Nifa.
Hili lipo ndani ya uwezo wako
Happy new year kipenziHappy new year sweet heart!
Mtumishi,nn TenaNajua una nature ya ubishi Huwa hukubalo kushindwa Wala kuambiwa ukweli ila Kwa hili chukua au acha umechemsha...
1.mwanaume unatakiwa kuwa na kaba,haiwezekani umesikia jambo ukanunua vocha ukaanza kumuuliza the bold personal life yake,sawa maybe ni mshkaji wako kama unavyojinasibu,mwenzio akakusimulia kilichotokea baina yao,wewe badala uyatunze unakuja kuyamwaga kwenye public "eti nimeongea na muhusika"
2.Unamkandamiza dada wa watu anaforce ndoa,hata kama alikuwa anaforce ndoa ni hitaji la Kila mwanamke anapokuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu Sasa kisa lake lipi?
3.Huko Kwa Mwamposa umevuka na na Nini?maana akili yako ilikuwa juuu juuu kuwaza ubuyu.
Eti watibeli π€£π€£π€£π€£π€£
.........nikushauri kitu bibie, kwa kuwa ulishaweka uzi wa kutoa taarifa rasmi, basi achana na maswala ya kufuatilia uzi wowote utakaoanzishwa kukuhusu, hii ni kwa ajili ya afya yako hasa kiakili(cyber bullying zipo za aina nyingi)Achaneni na huu uzushi basi, sijawahi kulazimisha ndoa, katu!
Kwamba nilitaka ndoa ndipo tukaachana? Nonsense.
Sababu zilizotufanya tuachane ni nyingi na hii sio moja wapo.
Asanteni.
Kazingua Sana tu.JAMAA NIMEMSHANGAA SANA! AU NIFA ALIWAHI KUMNYIMA??
NI AIBU KWA MWANAUME KUJADILI UHUSIANO WA MTU MWINGINE, KIBAYA ZAIDI NI KAMA ANAONESHA KUFURAHISHWA KUACHANA KWAO.
WHAT IF KESHO WAKIRUDIANA, ATATUAMBIA NINI HAPA!?
#WANAUME TUMEBAKI WACHACHE SANA.
Malengo tu yakitofautiana inatosha kwa uamuzi wa mwanamke kukukacha. Wala ishu sio pesa ni focus tu. Mwanamke ikifikia mahali anataka ndoa akaona humpi akijitokeza mwenzio tu unaachwa NanjaπSio kwamba bidada aliona buku buku za telegram hawato fika
Maisha ya upweke kivipi ww π wanawake wako very smart. Mwanamke hana confidence ya kuacha mtu kama hajapata pa kuji banza haswa hawa wamatumbi wenzetu. Ukiona demu anakuacha kwa mbwembwe jua kashapata pa kujishikiza.Kwahiyo Nifah unaanza maisha mengine ya upweke?
Wana msemo wao "Ubuyu hauna Chama"π vijana wa hovyo hao wanachat hadi ibadani
Depo au Depal?? Anyway naomba unifungulie pm kuna issue flani hivi private nataka unifafanulie tafadhaliSi walikufa? Kwahiyo sisi wengine tusiendeleze? Nguo za marehemu hazivaliwi?
Wanaume wamekuwa tatizo mtumishi,inabidi tuliweke kwenye maombi....ngoja nifungueMtumishi,nn Tena
Naona kumekucha
Afu mbona pm Iko closed π π