HakikaKuna watu wengi wanaona hawa Black wanaonewa,lakini akili ya mtu mweusi ni za ajabu sana,kumbuka hawa walikuwa na usela wa ghetto sana na wakapata mafanikio............ Ukitaka ujue rangi halisi ya sisi black mtu apate mafanikio
Ni sawa na Mtu mweusi aliyekulia kwenye shida sana, akija kufanikiwa 🤣🤣🤣🤣Kuna watu wengi wanaona hawa Black wanaonewa,lakini akili ya mtu mweusi ni za ajabu sana,kumbuka hawa walikuwa na usela wa ghetto sana na wakapata mafanikio............ Ukitaka ujue rangi halisi ya sisi black mtu apate mafanikio
Aaah anakuwa anafanya mambo mengi ya kijinga........ kwasababu kila kitu kwake ni kipyaNi sawa na Mtu mweusi aliyekulia kwenye shida sana, akija kufanikiwa 🤣🤣🤣🤣
Sana mkuuIla washikaji ni wanetu lakini nikiangalia kwa jicho la pili huwa hawasingiziwi. Kuna mambo ya hovyo sana kwnye music industry ya Marekani na Hollywood kwa ujumla
Msenge 🤣🤣🤣🔥🔥🔥Kashapost
View attachment 3172842
Alipelekwa chini Michael Jackson wakati huo kina jigga ndio wanakuja ktk market ya music, Hao wakikuchoka utajua haujuiWakifanikiwa kumpeleka chini Jiga basi tutaamini kweli wao ni miamba, Na hakuna atakayebaki salama.
So karma Ipo mbioni kuingia kazini now !?Katika interview moja Jay Z alihojiwa na moja ya swali aliloulizwa ni kuhusu yeye huwa anajisikiaje hasa pale anapokumbuka au kuona jinsi alivyoharibu maisha ya vijana Kwa kuwauzia Madawa ya kulevya (Drugs)
Na akaulizwa je amewahi kuwatafuta waathirika wa madawa au kuwaomba msamaha Kwa kile alichowafanyia .
Alijibu hivi
Jay -Z sijamtafuta MTU yeyote kumuomba msamaha na ni kweli nakubali niliharibu maisha ya vijana Kwa kuwauzia madawa ya kulevya Ila wakati nafanya yote hayo nilikuwa na ufahamu tofauti na ambao ninao sasa hivi. ( I had different level of consciousness than I have today ).
Na mwisho akasema yeye haitaji kumuomba msamaha MTU yeyote ikiwa hilo deni la kuharibu vijana hajalilipa basi IPO siku atalilipia.
Akamaliza Kwa kutilia mkazo Kwa hii sentence.
"You can't sacrifice someone's life for your life because there's is karmax debt has to be paid"
Hivyo Jigga au Jay z anaelewa mambo mengi kuhusu universe , kwamba ikiwa utafanya ubaya lazima utaulipia haitajiki hata kutafuta public sympathy au kuomba msamaha mbele za watu.
Interview hii aliifanya na "the new York times" unaweza kuitazama YouTube
🤣🤣🤣Boss wako angekua kiwanja angekua ndani sahizi kwa kutembea na mfanyakazi wake japo kabovu.
Hata Didy awali alipiga mikwara kama Hii hivi hivi Ila baada ya Yule demu wake casie kuvujisha clip akiwa anapigwa na Didy hotelini Didy Akili ilimruka , so ni Suala la muda tu
Akili Hana Hao ni watu maarufu so when it comes kuhusu UChumi Kwa USA Hao hawaingii hata kwenye top 100 ya matajiri wakubwa Kwa USAKwamba uchumi wa US kumeshikiliwa na weusi siyoee
🤣🤣🤣🙌Mtu mweusi anguko lake kubwa lipo uchini
Ni maadui wakubwa hawaelewani hata kidogoJay z aliekataa 50 asiwepo pale super bowl half time show
🤣🤣🤣🤣Bongo kuna wamama wanaweza kuuza watoto wao wenyewe kwa ma celebrity mradi pesa tu.
Kuna mchizi kala mtu na mamaye halafu nchi nzima inajua na bado anapewa promo mpaka na rais.
Aahh Yule ndio Angekuwa ulaya au USA basi Angekuwa ameshafungwa kitambo I think Kifo kingemkuta tayari akiwa jelaKuna yule marehemu walimpa jina la jasiri muongoza njia, nyuma ya pazia kamuulize JIDE, usione mtu mpaka anakataa kusamehe maiti!
Hakuna cha agenda Hao ni washenzi kweli sema kampuni zinazo simamiaga Kazi zao huwa ndio zinawapa hayo ma network ya kufanya huo ushenzi na unyama Halafu baadae wasanii Hao wakishakua wakubwa na kuanza kuleta ujuaji ndio baadae hizo kampuni zinakuja kuibua hizo scandal fahamu kwamba hizo kampuni nyingi ndio za matycon wenye pesa haswaa ktk industry na wanaushawishi mkubwa Serikalini wengi wao ni wayahudi ,Me nahisi Kuna agenda ya Siri kuhusu hawa musician ambao ni black American
🤣🤣🤣🤣Lauren na Nivea wamezaa na Wayne
Mimba zao zilipishana wiki kama sio mwezi yaani wiki hii ana jifungua Lauren wiki ijayo Nivea
Kamkula Sana mbona mpaka alimuhonga na gari na Sugu alishawahi Kuimba kwenye Sugu Moto chini 🤣🤣Alitaka kumkula jide nini..?
Kwanza alishawahi kuwa ktk mahusiano nae baadae Walikuja kugombana baada ya Jide kuolewa na Gardner ilikuwa ni issue ya kimaslahi ktk Kazi clouds wanatabia ya kuwalipa wasanii kiduchu ktk kazi zao so Nahisi Jide alivimba akawa Anataka pesa ndefu , basi ugomvi unaanzia hapo ruge na kusaga wakawa wanapanga mipango ya kumfilisi na walimtingisha kweli kweli ila Jide alisimama imara maana walihakikisha Wana mpokonya wasanii wake wote waliokuwa ktk bendi yake ya machozi band na kama unavyojua that time Mitandao ya kijamii hakuna na radio zenye nguvu ktk burudani zilikuwa Mbili Tu clouds ikiwa ndio the best East Africa radio ikiwa inafuata , Jide aliyumba mpaka alifunga lounge yake inayoitwa nyumbani lounge wakati huo alikuwa anaitumia Hiyo sehemu kipiga show kila weekend akiwa na band yake , so wasanii walivyo mkimbia akakosa kusimamia biashara Hiyo vyema ikafa. Ila now naona umerudi tenaBinnti machozi alifanyiwa kitu gani na jasiri Mwongoza Njia? Au mnataka kuzusha jambo?