Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Kuna watu wengi wanaona hawa Black wanaonewa,lakini akili ya mtu mweusi ni za ajabu sana,kumbuka hawa walikuwa na usela wa ghetto sana na wakapata mafanikio............ Ukitaka ujue rangi halisi ya sisi black mtu apate mafanikio
Ni sawa na Mtu mweusi aliyekulia kwenye shida sana, akija kufanikiwa 🤣🤣🤣🤣
 
Katika interview moja Jay Z alihojiwa na moja ya swali aliloulizwa ni kuhusu yeye huwa anajisikiaje hasa pale anapokumbuka au kuona jinsi alivyoharibu maisha ya vijana Kwa kuwauzia Madawa ya kulevya (Drugs)

Na akaulizwa je amewahi kuwatafuta waathirika wa madawa au kuwaomba msamaha Kwa kile alichowafanyia .

Alijibu hivi

Jay -Z sijamtafuta MTU yeyote kumuomba msamaha na ni kweli nakubali niliharibu maisha ya vijana Kwa kuwauzia madawa ya kulevya Ila wakati nafanya yote hayo nilikuwa na ufahamu tofauti na ambao ninao sasa hivi. ( I had different level of consciousness than I have today ).

Na mwisho akasema yeye haitaji kumuomba msamaha MTU yeyote ikiwa hilo deni la kuharibu vijana hajalilipa basi IPO siku atalilipia.

Akamaliza Kwa kutilia mkazo Kwa hii sentence.

"You can't sacrifice someone's life for your life because there's is karmax debt has to be paid"


Hivyo Jigga au Jay z anaelewa mambo mengi kuhusu universe , kwamba ikiwa utafanya ubaya lazima utaulipia haitajiki hata kutafuta public sympathy au kuomba msamaha mbele za watu.

Interview hii aliifanya na "the new York times" unaweza kuitazama YouTube
So karma Ipo mbioni kuingia kazini now !?
 
Kuna yule marehemu walimpa jina la jasiri muongoza njia, nyuma ya pazia kamuulize JIDE, usione mtu mpaka anakataa kusamehe maiti!
Aahh Yule ndio Angekuwa ulaya au USA basi Angekuwa ameshafungwa kitambo I think Kifo kingemkuta tayari akiwa jela
 
Me nahisi Kuna agenda ya Siri kuhusu hawa musician ambao ni black American
Hakuna cha agenda Hao ni washenzi kweli sema kampuni zinazo simamiaga Kazi zao huwa ndio zinawapa hayo ma network ya kufanya huo ushenzi na unyama Halafu baadae wasanii Hao wakishakua wakubwa na kuanza kuleta ujuaji ndio baadae hizo kampuni zinakuja kuibua hizo scandal fahamu kwamba hizo kampuni nyingi ndio za matycon wenye pesa haswaa ktk industry na wanaushawishi mkubwa Serikalini wengi wao ni wayahudi ,

So ukishindwa kwenda nao Sawa basi wanakuja na hizo kesi ambazo huwa na ushahidi wa kweli kabisaa dhidi ya Yale machafu Uliyo kuwa unayafanya ili wapate kukumaliza vizuri inshort hakuna mtu maarufu Duniani Ambaye anakosa machafu mazito , maana umaarufu ni Sawa na kilevi kila uendapo lazima utaletewa wanawake wakuwagonga hapo ndio kuna mtego mbaya
 
Binnti machozi alifanyiwa kitu gani na jasiri Mwongoza Njia? Au mnataka kuzusha jambo?
Kwanza alishawahi kuwa ktk mahusiano nae baadae Walikuja kugombana baada ya Jide kuolewa na Gardner ilikuwa ni issue ya kimaslahi ktk Kazi clouds wanatabia ya kuwalipa wasanii kiduchu ktk kazi zao so Nahisi Jide alivimba akawa Anataka pesa ndefu , basi ugomvi unaanzia hapo ruge na kusaga wakawa wanapanga mipango ya kumfilisi na walimtingisha kweli kweli ila Jide alisimama imara maana walihakikisha Wana mpokonya wasanii wake wote waliokuwa ktk bendi yake ya machozi band na kama unavyojua that time Mitandao ya kijamii hakuna na radio zenye nguvu ktk burudani zilikuwa Mbili Tu clouds ikiwa ndio the best East Africa radio ikiwa inafuata , Jide aliyumba mpaka alifunga lounge yake inayoitwa nyumbani lounge wakati huo alikuwa anaitumia Hiyo sehemu kipiga show kila weekend akiwa na band yake , so wasanii walivyo mkimbia akakosa kusimamia biashara Hiyo vyema ikafa. Ila now naona umerudi tena
 
Back
Top Bottom