Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Sio Marekani tu nchi nyingi iko hivyo, kesi inaisha tu pake ukifa.

Kama uliwahi kufanya misala na kama bado uko hai uchunguzi ukakubaini lazima utimbe mahakamani

Ni sawa, lakini kupata ushahidi wake siyo jambo la kitoto. It goes to high heights. Maana miaka 20+ kunakuwa na mabadiliko mengi yatakuwa yametokea. Kutia ndani na muhusika kuacha mianya mingi sana ya kiushahidi.
 
Huyo binti sidhani kama jina lake halisi ni 'Jane Doe', maana hilo jina huwa linatumika kwenye legal systems za marekani endapo mhusika jina lake halisi halijulikani au limefichwa, hiyo ni kwa mwanamke kwa mwanaume huwa linatumika 'John Doe' so obviously huyo binti jina lake limefichwa
 
Hawa majamaa wamefanya kweli. Yule aaliyah walimla mapema sana na hata beyonce jay kamuanza akiwa njuka
 
Mkuu haya mambo sio uongo, siku waseme wa release hizo footage za kwenye hizo party za Diddy watu watashangaa sana. Industry hii ina ushetani mwingi sana, hata hapa bongo ni vile tu haipewi uzito sana ila kuna mabalaa sana
Kweli mkuu. Hawa majamaa ni washenzi kishetan kabisa
 
Kuna shida kwenye music industry hasa upande wa blacks

Mbona black celebs katika tasnia zingine za sanaa kama film industry n.k hatusikii

Hawa jamaa wa music drugs zinawasumbua sana

Tuangalie pia background zao. Kama unakumbuka miaka ya 80 na 90, most of them were street/ghetto boyz and girlz. So you can imagine the kinda of dude took part in the industry.
 
Nilisema... Mkakati maalumu wa kuipoteza black superiority
Kuna clip moja ipo Jay z anafanya mahojiano huku pembeni yake yuko na wacheza porn wanamnyonya jamaa dushe na wanabanduana live ,hyo clip ni ya kitambo
Hawa mablacks wakipata umaarufu huwa wanafanya mambo ya ajabu ajabu badaye ikitokea la kutokea inawa cost

Ova
 
Tuangalie pia background zao. Kama unakumbuka miaka ya 80 na 90, most of them were street/ghetto boyz and girlz. So you can imagine the kinda of dude took part in the industry.
Haya mambo ya parry after party
Unaanda kwako unalterable na kujaziwa mademu nursing sana
Hapo mtabanduana madem watabakwa msala unakujia wee

Ova
 
Ahaaa

Sio mfanyakazi wake jamaa muulize MONI anapita na ME wenzie ni kuwa tu mfumo unambeba

I don't care anapita na nani ni maamuzi yake ila kama anatoa impression ya kupita na Zuchu ambaye ni mfanyakazi wake basi angekua kaisha nchi za watu wanaojielewa.
 
Haya mambo ya parry after party
Unaanda kwako unalterable na kujaziwa mademu nursing sana
Hapo mtabanduana madem watabakwa msala unakujia wee

Ova

Wengi wao wa hawa watu wanatoka kwenye familia masikini, za hovyo. wengi wanatoka kwa masingo maza. wengi wanajilea. Yaani wana issue ambazo ni mchanyato. Weupe wamejitahidi sana kuharibu misingi yao ya kijamii, yaani familia. Wengi hawaamini kuishi katika familia.
 
Huyo mtoto now yuko na 27years, black wataisha , waamie tuu africa
50cent
Drake
Snopdog
Na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…