Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Nilisema... Mkakati maalumu wa kuipoteza black superiority
Mimi naona mkakati kwa weusi unaweza kweli kuwepo. Lakini, nionavyo maisha ya hawa jamaa huwaponza. Yani hapa msemo ule "Ukiishi nyumba ya vioo,usirushe mawe", unahusika. Kwa mfano, hilo bata wanalipiga la kufuru mkiwa na watu wengine vitoto kabisa. Hamjui mnajiweka kwenye hatari? Mnaweza kusingiziwa tu jambo.
 
Y
Lilikuwa ni suala la muda tu.

Next stop Dr Dre.
Yaani hili uweze kusalimika huko labda uwe mjinga mjinga tu ambaye hauna mafanikio, hauna hela Wala Influence yoyote kama Ray J au Cassidy.

Mimi naamin kilichomuokoa Michael Jackson ni kifo tu, angekuwa Bado yuko hai hata yeye siku nyingi sana angekuwa ameshaungana na R.kelly
 
Mkuu haya mambo sio uongo, siku waseme wa release hizo footage za kwenye hizo party za Diddy watu watashangaa sana. Industry hii ina ushetani mwingi sana, hata hapa bongo ni vile tu haipewi uzito sana ila kuna mabalaa sana
HIZO party hata Kamala Haris naye alikuwa muudhuriaji na Kuna mambo Mengi sana alikuwa anayashuudia... Ambayo akiyasema yanaweza kumweka hata yeye matatani hasa kulingana na wadhifa alionao.

Hili suala la Didy ni zito sana kuliko watu wanavyolichukulia.
 
Mwanamke hana kibakio, yeye ana kibakiwo hivyo kamwe mwanamke habaki labda wawe 7 kwa mwanamme mmoja au awe anakuzidi umri mara 3 zaidi.
Nje ya hapo mwanamke hawez kumbaka mwanaume itabid upimwe akili ndugu mbakwaji.
Card B ana kesi za kunyanyasa watoto wa kidogo wa kiume kijinsia na alishagafunguliwa mashtka siku nyingi sana na wazazi wa wale watoto...ila najua huwezi kuskia sababu yeye ni KE na hakuna pressure yoyote kutoka kwenye jamii inayomtaka awajibishwa.
 
Jay z Ana miaka 55 mwaka 2000 alikuwa na miaka 31.

Kuna uwezakano hii kesi itakuwa imejaa UONGO mwingi.
Huyo Binti(ambaye Sasa hivi ni mmama maana ana miaka 37) naskia alishinikizwa sana na watu akiwemo mwanasheria wake amjumuishe na Jigga kwenye ile kesi yake na Didy.... Naona Sasa hatimae ameamua kufuata maelekezo.

Halafu naskia huyo mwanasheria wake anasifika kwa kusimamia kesi kama hizi... Kuna kesi nyingine pia kama hii inamuhusu mchezaji wa NFL huyu huyu mwanasheria ndio anaisimamia upande wa mshitaka.
 
Alisikia kichefuchefu akakimbilia chumba cha kulala. Okay, I trust her
 
Lakini ni kesi ambazo zina tata sana katika kuunganisha ushahidi. Nyakati nyingine unaweza kukuta hata mashahidi wa msingi hawapo au wazee balaa
😛
Nakumbuka kwenye lile sakata la Bretty kavanough walijitokeza wahanga 30+ waliodai kuwa eti wamebakwa na bwana Brett Kavanough... Kuna wengine walikuwa hata hawakumbuki sehemu waliofanyiwa tukio ni wapi.

Hili sula la mtu kufanyiwa tukio miaka 30 iliyopita halafu eti anakuja kushtaki leo na Bado watu wanalichukulia serious sijawahi kulielewa kabisa.
 
Hakuna mkakati wowote watu weusi mna mambo ya ajabu sana.

Hata hapa bongo yapo sana tu ni vile ni corrupt country no body cares. Yapo zaidi ya hayo
Bongo kuna wamama wanaweza kuuza watoto wao wenyewe kwa ma celebrity mradi pesa tu.

Kuna mchizi kala mtu na mamaye halafu nchi nzima inajua na bado anapewa promo mpaka na rais.
 
Hapa umeongea kitaalamu sana nakubaliana nawe
Weupe waliharibu sana msingi wa nigaz, ambao ni familia. Familia zao nyingi ni za hovyo. Wanaume hawawajibiki, masingo mama, watoto wengine wanajilea wenyewe. Yaani ni shidaa
 
Back
Top Bottom