Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Hawa kuna kitu wamepishana na Lucifer.waka renew tu mikatabaWengi walisema baada ya Sean Combs watahamia kwa Shawn Carter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa kuna kitu wamepishana na Lucifer.waka renew tu mikatabaWengi walisema baada ya Sean Combs watahamia kwa Shawn Carter
Mimi naona mkakati kwa weusi unaweza kweli kuwepo. Lakini, nionavyo maisha ya hawa jamaa huwaponza. Yani hapa msemo ule "Ukiishi nyumba ya vioo,usirushe mawe", unahusika. Kwa mfano, hilo bata wanalipiga la kufuru mkiwa na watu wengine vitoto kabisa. Hamjui mnajiweka kwenye hatari? Mnaweza kusingiziwa tu jambo.Nilisema... Mkakati maalumu wa kuipoteza black superiority
Yaani hili uweze kusalimika huko labda uwe mjinga mjinga tu ambaye hauna mafanikio, hauna hela Wala Influence yoyote kama Ray J au Cassidy.Lilikuwa ni suala la muda tu.
Next stop Dr Dre.
HIZO party hata Kamala Haris naye alikuwa muudhuriaji na Kuna mambo Mengi sana alikuwa anayashuudia... Ambayo akiyasema yanaweza kumweka hata yeye matatani hasa kulingana na wadhifa alionao.Mkuu haya mambo sio uongo, siku waseme wa release hizo footage za kwenye hizo party za Diddy watu watashangaa sana. Industry hii ina ushetani mwingi sana, hata hapa bongo ni vile tu haipewi uzito sana ila kuna mabalaa sana
Blacks have been programmed to destroy each other, if they don't gun each other they use alternative ways and what we are seeing here is definitely one of those alternatives.Sasa ungejua huku msukumo mkubwa unatoka kwa black community.
Card B ana kesi za kunyanyasa watoto wa kidogo wa kiume kijinsia na alishagafunguliwa mashtka siku nyingi sana na wazazi wa wale watoto...ila najua huwezi kuskia sababu yeye ni KE na hakuna pressure yoyote kutoka kwenye jamii inayomtaka awajibishwa.Mwanamke hana kibakio, yeye ana kibakiwo hivyo kamwe mwanamke habaki labda wawe 7 kwa mwanamme mmoja au awe anakuzidi umri mara 3 zaidi.
Nje ya hapo mwanamke hawez kumbaka mwanaume itabid upimwe akili ndugu mbakwaji.
Huyo Binti(ambaye Sasa hivi ni mmama maana ana miaka 37) naskia alishinikizwa sana na watu akiwemo mwanasheria wake amjumuishe na Jigga kwenye ile kesi yake na Didy.... Naona Sasa hatimae ameamua kufuata maelekezo.Jay z Ana miaka 55 mwaka 2000 alikuwa na miaka 31.
Kuna uwezakano hii kesi itakuwa imejaa UONGO mwingi.
Nakumbuka kwenye lile sakata la Bretty kavanough walijitokeza wahanga 30+ waliodai kuwa eti wamebakwa na bwana Brett Kavanough... Kuna wengine walikuwa hata hawakumbuki sehemu waliofanyiwa tukio ni wapi.Lakini ni kesi ambazo zina tata sana katika kuunganisha ushahidi. Nyakati nyingine unaweza kukuta hata mashahidi wa msingi hawapo au wazee balaa
😛
Bongo kuna wamama wanaweza kuuza watoto wao wenyewe kwa ma celebrity mradi pesa tu.Hakuna mkakati wowote watu weusi mna mambo ya ajabu sana.
Hata hapa bongo yapo sana tu ni vile ni corrupt country no body cares. Yapo zaidi ya hayo
Hatari sana kwa afrika ni balaaBongo kuna wamama wanaweza kuuza watoto wao wenyewe kwa ma celebrity mradi pesa tu.
Kuna mchizi kala mtu na mamaye halafu nchi nzima inajua na bado anapewa promo mpaka na rais.
Umesema vyemaHawa majamaa wamefanya kweli. Yule aaliyah walimla mapema sana na hata beyonce jay kamuanza akiwa njuka
Tuangalie pia background zao. Kama unakumbuka miaka ya 80 na 90, most of them were street/ghetto boyz and girlz. So you can imagine the kinda of dude took part in the industry.
Kuna tetesi pia kuwa Jay Z alikuwa anamkula Foxy Brown kipindi Foxy akiwa minor.Hawa majamaa wamefanya kweli. Yule aaliyah walimla mapema sana na hata beyonce jay kamuanza akiwa njuka
Weupe waliharibu sana msingi wa nigaz, ambao ni familia. Familia zao nyingi ni za hovyo. Wanaume hawawajibiki, masingo mama, watoto wengine wanajilea wenyewe. Yaani ni shidaaHapa umeongea kitaalamu sana nakubaliana nawe
Mkuu, dini zimetuharibu mno medula zetu?Hawa kuna kitu wamepishana na Lucifer.waka renew tu mikataba