babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Alishapigwa long timeLilikuwa ni suala la muda tu.
Next stop Dr Dre.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishapigwa long timeLilikuwa ni suala la muda tu.
Next stop Dr Dre.
Sio Marekani tu nchi nyingi iko hivyo, kesi inaisha tu pake ukifa.
Kama uliwahi kufanya misala na kama bado uko hai uchunguzi ukakubaini lazima utimbe mahakamani
Labda uthibitike kuwa chizi lakini kama mzima kibano kipo pale pale,kumbuka hizi case zinazuka pale ametokea mlalamikaji ndiyo wanakaza kuchunguza.
Hawa majamaa wamefanya kweli. Yule aaliyah walimla mapema sana na hata beyonce jay kamuanza akiwa njukaMwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.In a shocking development, rapper Jay-Z, whose real name is Shawn Carter, has been accused of drugging and raping a 13-year-old girl in 2000. This allegation comes from a civil lawsuit filed in federal court on Sunday, which also names Sean “Diddy” Combs as a co-defendant.
Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter, rapper na mfanyabiashara anayejulikana kama Jay-Z, kama mshtakiwa katika kesi ya madai.
Carter ndiye mtu mashuhuri wa kwanza kushtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono kuhusianishwa na Combs.
Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Jane Doe, anasema alikuwa na umri wa miaka 13 wakati anadaiwa kunyanyaswa kingono na Combs na Carter kwenye after party iliyofuata Tuzo za Video Music Awards mwaka wa 2000.
Mwanamke huyo anadai alianza kuhisi kichefuchefu baada ya kunywa kinywaji katika party na kukimbilia katika chumba cha kulala kilicho jirani.
Mwanamke huyo anadai Jay Z alimbaka kwanza, akifuatiwa na Diddy. Mwanamke huyo anasema alimpiga Combs na kukimbia nje ya sherehe, kulingana na kesi iliyorekebishwa.
Kwenye hii kesi Carter "Jay Z" anatambuliwa kama celebrity A
Kesi inasema wakati Jay Z anambaka binti hiyo Diddy na celebrity B ambaye ni mwanamke walikuwa wakiangalia tukio hilo. Swali ni huyo celebrity B ni nani? Wengine wameanza kusema huenda ni J Lo.
Kulingana na kesi hiyo, mawakili wa Doe walifika kwa Carter kuomba "upatanishi wa kutatua suala hili."
Jay-Z alikanusha madai hayo na kumshutumu wakili Tony Buzzbee wa Texas kwa kufungua kesi hiyo dhidi yake.
======\
What are the allegations against Jay Z?
The plaintiff, referred to as “Jane Doe,” claims that the assault occurred at an after-party following the MTV Video Music Awards. According to the lawsuit, she was picked up by a limousine driver who claimed to work for Combs after she was unable to secure a ticket to the awards show. The driver allegedly told her that she “fit what Diddy was looking for” and took her to a house party where she was required to sign a document she believed was a non-disclosure agreement, although she did not receive a copy.Once inside the party, Jane Doe described a chaotic scene filled with celebrities and drug use. She recalled feeling “woozy” and lightheaded after being offered a drink. When she sought a place to lie down, Combs and Carter allegedly entered the room and began to assault her. The lawsuit states that another unidentified female celebrity witnessed the incident but did not intervene.
Legal Proceedings against Jay Z
The lawsuit was initially filed in October in the Southern District of New York, naming only Combs as a defendant. It was refiled on Sunday to include Jay-Z. The attorney representing the plaintiff, Tony Buzbee, has previously filed multiple lawsuits against Combs for various allegations of sexual misconduct. Jay-Z is the first high-profile figure added to these claims alongside Combs.In response to these serious allegations, Jay-Z issued a statement claiming that he is the target of a blackmail attempt aimed at extorting settlement money. He expressed his outrage at the nature of the accusations, stating, “These allegations are so heinous in nature that I implore you to file a criminal complaint, not a civil one!!” He emphasized that anyone who would commit such acts against a minor should face severe consequences.”My only heartbreak is for my family,” he continued. “My wife and I will have to sit our children down… and explain the cruelty and greed of people. I mourn yet another loss of innocence.”
Current Status of Diddy
Sean “Diddy” Combs has denied all accusations against him. Recently, he faced criminal charges related to sex trafficking and racketeering and is currently awaiting trial scheduled for May 5 while being held in a Brooklyn detention center.
Kesi bado, hao bado ni watuhumiwa tu.Wana wanasheria wazuri sana inakuwaje wanashindwa kesi?
Kweli mkuu. Hawa majamaa ni washenzi kishetan kabisaMkuu haya mambo sio uongo, siku waseme wa release hizo footage za kwenye hizo party za Diddy watu watashangaa sana. Industry hii ina ushetani mwingi sana, hata hapa bongo ni vile tu haipewi uzito sana ila kuna mabalaa sana
Mtu mweusi anguko lake kubwa lipo uchini
Mwamba walimzuia kimziki sana hawa manyang'au imagine saivi anaona kama ndio anaamka tenaKashapost
View attachment 3172842
Jay z aliekataa 50 asiwepo pale super bowl half time showWanaheshimiana sana na Jay Z,ila alikuwa na chuki sana na Combs...
Huyu jiga alie tandikwaga vibao na mdogo ake bey kwenyelift kisa kumcheat bey. Mkuu ulikua wapiJiga hakuna wakumpeleka chini hata siku 1.
Jiga yupo mbele ya muda Sana
Kuna shida kwenye music industry hasa upande wa blacks
Mbona black celebs katika tasnia zingine za sanaa kama film industry n.k hatusikii
Hawa jamaa wa music drugs zinawasumbua sana
Kuna clip moja ipo Jay z anafanya mahojiano huku pembeni yake yuko na wacheza porn wanamnyonya jamaa dushe na wanabanduana live ,hyo clip ni ya kitamboNilisema... Mkakati maalumu wa kuipoteza black superiority
Huyu ndio mchafu sana na ushahidi upo wazi wazihawamwachi huyo kuna video yake ya party za ngono niliiona inawezekana wakamzushia au kukawa na watoto pia
Haya mambo ya parry after partyTuangalie pia background zao. Kama unakumbuka miaka ya 80 na 90, most of them were street/ghetto boyz and girlz. So you can imagine the kinda of dude took part in the industry.
Ahaaa
Sio mfanyakazi wake jamaa muulize MONI anapita na ME wenzie ni kuwa tu mfumo unambeba
Ndio unavyoamini, aiseeeh!Kanye aliwataja wengi hadi lebron james na jordan wakaishia kumuita kichaa. Ila kanye hagusiki, kile ni kisiki
Haya mambo ya parry after party
Unaanda kwako unalterable na kujaziwa mademu nursing sana
Hapo mtabanduana madem watabakwa msala unakujia wee
Ova
Na yeye ikiwa zamu yake asisahau ku postKashapost
View attachment 3172842