Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Kwanza alishawahi kuwa ktk mahusiano nae baadae Walikuja kugombana baada ya Jide kuolewa na Gardner ilikuwa ni issue ya kimaslahi ktk Kazi clouds wanatabia ya kuwalipa wasanii kiduchu ktk kazi zao so Nahisi Jide alivimba akawa Anataka pesa ndefu , basi ugomvi unaanzia hapo ruge na kusaga wakawa wanapanga mipango ya kumfilisi na walimtingisha kweli kweli ila Jide alisimama imara maana walihakikisha Wana mpokonya wasanii wake wote waliokuwa ktk bendi yake ya machozi band na kama unavyojua that time Mitandao ya kijamii hakuna na radio zenye nguvu ktk burudani zilikuwa Mbili Tu clouds ikiwa ndio the best East Africa radio ikiwa inafuata , Jide aliyumba mpaka alifunga lounge yake inayoitwa nyumbani lounge wakati huo alikuwa anaitumia Hiyo sehemu kipiga show kila weekend akiwa na band yake , so wasanii walivyo mkimbia akakosa kusimamia biashara Hiyo vyema ikafa. Ila now naona umerudi tena
Dduh kama ni kqeli , hawa watu wana roho ngumu sana na mbqya aisee
 
“Mnahonga madem vitara” ??
Dduh kama ni kqeli , hawa watu wana roho ngumu sana na mbqya aisee
Industry ya modelling (fashion)music na movie zimejaa laana Tupu

Binti hatoboi mpaka atoe uchi na awe mshirikina ,Mwanaume pia hautoboi mpaka uwe chawa mdananda na mshirikina kuhusu kuwa Malaya mbwa na kunywa vilevi vikali mixer drugs hapo ndio usiseme
 
Back
Top Bottom