Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Hata huelewi ulichochangia,kama umemtukana mtu kwa kufanya kile kisicho sawa na mtazamo wako,hapo unakuwa unafanya nn?
Umegundua makosa yako ndio maana umejibu neno kama neno na sio concept
mkuu jamaa hajatukana ila kashangaa ya jide kutoa kauli zinazopingana, anaponda halafu na yeye anafanya anachoponda, kama kamove on haya ya nini? ni dalili tosha bado yanamuuma, jamaa lilimkomesha haswaaa.
 
jide sijui sikuhizi mwalimu wake nani..
ndo shida ya kudate vijana na we unaharibikiwa
kuna siku nilisema kazidi show off sikuhizi wakaniponda Sana kwamba nna wivu...

sasa ndo nini talaka mitandaoni[emoji23][emoji23][emoji23]
act your Age grandmaa
 
Maisha yanaenda Kasi Sana kinyume na matarajio ya wengi. Ngoja niongeze bia hapa mwaka mpya unikute nshapendeza.
 
Hivi ndo huyu alikojozwa 15 years? Zimemruka.
 
Amepanic maskin ningemheshimu Sana kama angekaa kimya
 
One day Gadna atamla tena mark my word

Huyu ana arosto ya kukojozwa .

Atarudi kama msanii Fulani hivi aliyerudia dona.

Arosto itamrudisha hahhah
Kwakuwa we una mimba unataka wenzako wote wawe nazo jiandae kwa klinik boxing day ya mwaka mpya Monday
 
Huyu Mwanamke mbona hakuwi.... ana vidudu gani Kichwani???
 
Sahihi kbs, aluvunja ndoa ya mwanamke mwenzie akidhani atawin, kalipwa hapahapa duniani, leo anaonesha vikaratasi akidai amemove on~shame on her. Komando aliyekamilika hanaga hizo, na mnigeria atakojoza weeeee bila mafanikio. Malaya ni malaya tu iwe Afrika hata Ulaya na kwingineko. Sugulisha kipochi manyoya komando si mali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…