certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 814
"kukojoza"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu jamaa hajatukana ila kashangaa ya jide kutoa kauli zinazopingana, anaponda halafu na yeye anafanya anachoponda, kama kamove on haya ya nini? ni dalili tosha bado yanamuuma, jamaa lilimkomesha haswaaa.Hata huelewi ulichochangia,kama umemtukana mtu kwa kufanya kile kisicho sawa na mtazamo wako,hapo unakuwa unafanya nn?
Umegundua makosa yako ndio maana umejibu neno kama neno na sio concept
huu ni upumba.vu wa kutupwa, unajisifia kwa jambo la aibu hivyo na chukizo kwa Mungu, alipokuwa anaapa katika shida na raha hakujua maana yake??![]()
![]()
Hongera Jide kwa kufanya kile moyo unapenda.
Marioo toka lini akatoka jasho..Mbona mgawanyo wa walichochuma pamoja hajatuwekea?
Haaaa haaaa uwiiiii ...Mbona wewe hua unaelezea jinsi wanaume wanavyokukula tigo humu, hua yanamuhusu nani au na wewe hua unana ni akili?
Siwezi kumsingizia,sema watu hufanya mambo kisha husahau,tatizo humu ukiandikatu hovyo hovyo hata ukisahau hua zipo tu.Haaaa haaaa uwiiiii ...
The Unknown mbona unaua hivo...
Btw Miss hajawahi sema hivyo hata siku moja!
Heee makubwa! embu ngoja nitafute Thread + comments zakeSiwezi kumsingizia,sema watu hufanya mambo kisha husahau,tatizo humu ukiandikatu hovyo hovyo hata ukisahau hua zipo tu.
Kwakuwa we una mimba unataka wenzako wote wawe nazo jiandae kwa klinik boxing day ya mwaka mpya MondayOne day Gadna atamla tena mark my word
Huyu ana arosto ya kukojozwa .
Atarudi kama msanii Fulani hivi aliyerudia dona.
Arosto itamrudisha hahhah
Sahihi kbs, aluvunja ndoa ya mwanamke mwenzie akidhani atawin, kalipwa hapahapa duniani, leo anaonesha vikaratasi akidai amemove on~shame on her. Komando aliyekamilika hanaga hizo, na mnigeria atakojoza weeeee bila mafanikio. Malaya ni malaya tu iwe Afrika hata Ulaya na kwingineko. Sugulisha kipochi manyoya komando si mali yakoila kwa miaka 9, amekoma ubishi. ameumiza moyo, adhabu tosha ya kuiba wake za watu. alipora ndoa ya mwenzake akajaribu kuipalilia kwa miaka 9 akaishi kwa machungu na majuto hadi alipoachia. anatapatapa tu na anayemtumia kwa kimuziki.wanawake mjifunze.