JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

Hiyo ilikuwa ni hoteli ya nani au alinunua kutoka kwa nani?

Paradise Hotel inamilikiwa na msomali Kwa jina Mohamed ingawa yeye ni mrithi, hawa ndio wanamiliki wa Paradise Hotel ya Bagamoyo ile iliyoungua moto mwaka 2009 na ndio wanamiliki mgahawa wa city garden pale ppf tower pembeni ya imalaseko na atc, na pia mgahawa wa city garden wa pale gerezani, na hotel za arusha zijulikanazo kama east africa, kwa faida ya wengine baba wa Mohamed ni moja ya mawaziri kipindi cha UTAWALA WA SIAD BALEH
 

Hotel za East Africa Arusha ni za PPF. Hawa wasomali wanaendesha tu - management lakini majengo ni ya PPF.
 

Mkuu akuna anaye underrate umahili wa Omukama Baguma katika biashara zake na PR yake, lakini mbona nimesoma humu akisema alijaribu kupata franchise za ku-run MacDonalds chains in Uganda akashindwa sijuhi kutokana na nini! Halafu kilicho nitisha kidogo ni hiki cha kusema Baguma ni "DON!!" - hivi ujuhi mfanya biashara akihitwa DON anaweza kuwa associated na under world business ambazo mtu kama Baguma hawezi kujihingiza/kujishughulisha na biashara za namna hiyo, ameishi Uingereza na anjua vizuri wazungu walivyo mahili kwa ku-track dowm watu wa aina hiyo, rain or shine watakutia mbaroni tu at the end of the day and you will end up in a slammer na kufilisiwa kila kitu - hilo lilikuwa nia ANGALIZO LANGU tu, wakati mwingine tuwe makini maneno tunayo tumia. "Banyankole ichwena tukole tuta! okulima, nakwo nindamamu KAKE"
 

Hujafika Dodoma wewe UDOM ndo kinashika Chart.
 
watu tunajadili hili na ww unakurupuka na lako..alah!
John locke, na hilo pia kiongozi. Issue ya kutofautiana na M7 iko kurasa za mwanzo - ukipata wasaa soma thread nzima. Pia kumbuka hoja hapa tunataka kumjua JB ni nani, au wewe ulielewa nini hasa kuhusu hii thread?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Bukyanagandi.

Mie ninavyojua maana ya "DON" ni Mwungwana hata mwalimu wa chuo Kikuu nae anaitwa "DON".

Kuhusu MacDonalds alikosa wateja Kampala.
 
Last edited by a moderator:

Same old stories, kila biashara ya wakubwa!

Hebu acheni hizi stori za vijiweni, kama huna evidence kaa kimya
 
Mbona kuna wahindi wengi wa Kenya wapo Tanzania wanafanya biashara kubwa kuliko za JB hamuhoji uhalali wa biashara zao?
 
pia huyu bwana amepamgisha godown pale mlimani city la vitu vya electronics used toka UK, possible hiyo biashara pia imempatia faida kubwa, hilo la kuajiri watu wenye elimu ndogo na kuwa train nakubaliana nalo coz kuna jamaa mmoja wa kipare anaitwa Luka yeye ndo kama Manager wake na ni std 7 tu.
 
Mkuu Bukyanagandi.

Mie ninavyojua maana ya "DON" ni Mwungwana hata mwalimu wa chuo Kikuu nae anaitwa "DON".

Kuhusu MacDonalds alikosa wateja Kampala.

Mkuu heshima yako kwanza, najua vizuri kwamba mwalimu wa chuo kikuu anaweza kuitwa DON au Mtu Mungwana, lakini ukumbuke hii forum inasomwa na watu wengi na wengine awachangii chochote kazi zao ni kuangalia mtililiko wa mada husika - unaweza kuwa umetumia term hiyo kwa nia nzuri tu, lakini ukakuta unamtia mwenzio kwenye limelight ambayo anaweza kujukuta anafuatwa fuatwa bila sababu, kumbuka dunia siyo Tanzania TU-sijuhi kama nime eleweka. Msalimie emanzi BAGUMA.
 
nakubaliana na wewe...mwenzetu akifanikiwa sisi ni kumpiga mawe na majungu tu. Raha yetu tutumikishwe na waarabu na wahindi. Give the man a break! Kila mtu akifanikiwa anakwepa kodi!!! Hii mentality inatumaliza jamani tufunguke..sio kila tajiri ni mwizi.
 
Hujafika Dodoma wewe UDOM ndo kinashika Chart.

Ni kweli sijwawahi kufika chuo cha Dodoma, nakiona kwa mbali. Je mwenzagu umewahi kutembelea KIU hivi karibuni - na mimi nilikuwa nafikili ni kidogo lakini nilipo fika pale nilichoka.
 

Mkuu nimekusoma ngoja nikafute hilo neno na wewe futa, pamoja sana.

JF Daima.
 
i wish hii thread ifungwe sababu imegeuka uwanja wa nani anajua zaidi mali za jb,wasomali, na wamiliki wa mahotel ...then WHAT?kama kuna mwenye uthibitisho wa uhalali wa biashara na mali za watajwa au la, tuwekee tujadili kama hamna huu mjadala unageuka POROJO.atakuja mtu na hoja yA "MMILIKI WA DOUBLE TREE NI NANI APA" sasa ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…