PConsultant
Member
- Aug 30, 2011
- 7
- 2
shida yako ni kasi ya kumiliki ama uhalali wa umiliki?Inaonekana umeathiriwa na snail-pace attitude ya Kitanzania,ile ya mtanzania kununua kiwanja then anakaa miaka kumi ndio anaweka msingi.Waganda wanafanya kazi na wame-embrace ujasiriamali kwa moyo wa ujasiri na bidii.
Ujinga kama huu wako ndio janga halisi la kitaifa-watu kupenda uzushi au ku-conclude mambo bila hoja au ushahidi wowote!JB(ingawa simjui) ni janga la taifa kivipi?Halipi kodi?Yeye ndie anayefanya sisi tusifanye kazi na kuishia kuimba nyimbo za ufisadi na freemason?Kuna mtanzania amezuiliwa kufanya biashara Uganda?Tatizo letu ni elimu ya kukariri na kujibu mitihani ya darasani tu.Huu ndio utandawazi uliokariri darasani,watu wanazunguka dunia nzima kutafuta business opportunities.Acha JB afanye kazi huku sisi tukiendeleza porojo zetu za kuogopa kujiunga na EAC kwa sababu ya uvivu wetu.Unamwita JB malaya na kusahau kuwa kama ni umalaya si anaufanya na Watanzania wenzetu,kwa nini tusiwalaume hao watanzania wenzetu,let's deal with our own failures first.
Unaposoma comments za wachangiaji wa hii Thread unazidi kupata picha halisi ya elimu yetu na uwezo wa kufikiri.Mtu anaandika kuwa JB ni janga la taifa(huu nao umekuwa msemo ambao kila asiye na hoja anautumia kuficha utupu wake) bila kutoa sababu yoyote.Wengine wanadai Kasi ya JB inatisha,haya ni madhara ya watu kuzoea kasi ya kobe,kila kitu foleni,mipango kuchukua miaka mingi kuliko utendaji.Uvivu wetu unazidi kukua kwa kasi kwa hio wakija wageni wakaona nafasi za kukua kwa biashara zao hapa Tanzania tunaishia kwenye porojo zetu za kila siku ilhali ripoti zote za kimataifa zinaonesha kuwa tunaongoza kwa uzembe kwenye EAC.
I find your statement to be too subjective...ni kama umesha-form an opinion about this 'JB character'.Ni sawa na mtu kukuuliza ' You look so nervous,how do you feel?'
Mzee Mwanakijiji.
Mbona Wazungu matajiri wa Tanzania utaki kufahamu habari zao wewe na weusi tu.
Mbona hujauliza yule Mzungu mmiliki wa Hoteli ya Sleep Way, ni nani na anafanya nini Tanzania.
pia huyu bwana amepamgisha godown pale mlimani city la vitu vya electronics used toka UK, possible hiyo biashara pia imempatia faida kubwa, hilo la kuajiri watu wenye elimu ndogo na kuwa train nakubaliana nalo coz kuna jamaa mmoja wa kipare anaitwa Luka yeye ndo kama Manager wake na ni std 7 tu.
Si ndio hapo, jamaa ananikumbusha mshikaji wangu mmoja long time katika stori za kijiweni akawa anawaponda wenzake kwa kula maharage kila siku huku yeye ganda la harage limegandia kwenye jino..basi akawa anakaza mshipa wa shingo kuyaponda maharage watu wanacheka kuliona lile ganda la harage..alipokuja kujua alitaka kubadilisha stori ghafla ikawa ngumu akakimbia kijiwe kwa muda.ikabaki masela wanamtania maharage,ila jina hali kudumu maana alimanusura atoe uhai wa mtu na chupa..Hajui kusema tu sitochangia tayari ameshaingiia kwenye rekodi ya wachangiaji wa thread,sema amechangia negatively maana ajaendana na madaUmechangia lakini!
Kwani ni lazima mimi niulize; kwanini na wewe usiulize?
Heri mimi sijasema.
Mzee Mwanakijiji,
Mr Justus Baguma, a Ugandan entrepreneur in Tanzania, owns the JB Belmont, Savannah and some shops at Quality Centre and has also been elected the chairman of the Ugandan Community in Tanzania.
He is a self-proclaimed self made man and attributes his success to hard work... Whether "hard work" means "trouble for Tanzania" I don't know....
Unaposoma comments za wachangiaji wa hii Thread unazidi kupata picha halisi ya elimu yetu na uwezo wa kufikiri.Mtu anaandika kuwa JB ni janga la taifa(huu nao umekuwa msemo ambao kila asiye na hoja anautumia kuficha utupu wake) bila kutoa sababu yoyote.Wengine wanadai Kasi ya JB inatisha,haya ni madhara ya watu kuzoea kasi ya kobe,kila kitu foleni,mipango kuchukua miaka mingi kuliko utendaji.Uvivu wetu unazidi kukua kwa kasi kwa hio wakija wageni wakaona nafasi za kukua kwa biashara zao hapa Tanzania tunaishia kwenye porojo zetu za kila siku ilhali ripoti zote za kimataifa zinaonesha kuwa tunaongoza kwa uzembe kwenye EAC.
JB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre
Paradise Hotel inamilikiwa na msomali Kwa jina Mohamed ingawa yeye ni mrithi, hawa ndio wanamiliki wa Paradise Hotel ya Bagamoyo ile iliyoungua moto mwaka 2009 na ndio wanamiliki mgahawa wa city garden pale ppf tower pembeni ya imalaseko na atc, na pia mgahawa wa city garden wa pale gerezani, na hotel za arusha zijulikanazo kama east africa, kwa faida ya wengine baba wa Mohamed ni moja ya mawaziri kipindi cha UTAWALA WA SIAD BALEH
Ni kweli sijwawahi kufika chuo cha Dodoma, nakiona kwa mbali. Je mwenzagu umewahi kutembelea KIU hivi karibuni - na mimi nilikuwa nafikili ni kidogo lakini nilipo fika pale nilichoka.
Kwa kiasi kikubwa inaonekana watu wanamjua kile kilichowekwa mbele yao. Kitu pekee ambacho naona kimekosekana sana ni kushindwa kuhusisha influx pia ya baadhi ya waganda ambao wameamua kubadilisha majina... ili kufanya biashara fulani fulani.