Mpaka mtu afanye maamuzi ya kujinyonga ni mfumo wa kifikiri umelemewa , ndio maana tiba yake ni ya kisaikolojia zaidi , lugha ya moyo ni ya kijamii tuKama ni ubongo mbona mtu anaejinyonga kisa mapenzi asiache basi kujiua kama maamuzi hayajaanzia kwenye hisia zilizotoka moyoni
Japo umeuliza kwa kejeli kwa kuweka emoji ya kucheka,ukimaanisha kua mimi ni mjinga na wewe ndiye mwerevu zaidi,ila nitakujibu ili na wengine wafaidike,
Yapo kwenye ubongo tu๐ kwenye moyo kinachobaki ni broken heart syndromeAfu yanaenda kwenye moyo ๐คฃ
Boresha swali lako liwe hivi "JE,AKILI INAWEZA KUDHIBITI HISIA?".โKuna minyororo ambayo haionekani kwa macho, lakini humfunga mtu kuliko chuma.
Minyororo hiyo ni hisia.โ
Moyo unataka kile kinachokufurahisha leo.
Akili inapaswa kujiuliza: โHiki ninachotaka leo, kitanigharimu nini kesho?โ
Ndiyo maana mtu anaweza kujua kabisa kwamba jambo fulani linamuumiza, lakini bado akarudi kulifanya.
Anaweza kujua mtu fulani hamfai, lakini bado akampenda.
Anaweza kujua matumizi fulani yanamfilisi, lakini bado akaendelea kutumia.
Anaweza kujua hasira itamletea matatizo, lakini bado akasema maneno ambayo baadaye atayajutia.
Kwa nini?
Kwa sababu katika maamuzi ya mwanadamu, hisia na fikra za kimantiki hufanya kazi kwa kushirikiana; maeneo kama amygdala yanahusika katika thamani na hisia, huku prefrontal cortex ikihusika sana katika kupanga na kutathmini hatua zinazowezekana.
Kama akili inajua jambo ni baya lakini moyo bado unalitaka, nani anapaswa kushinda?
๐ Moyo unaosema: โNataka.โ
au
๐ Akili inayosema: โUsifanye, utajuta.โ
Na je, kujizuia kufanya jambo unalolitamani ni udhaifu wa moyoโau ni nguvu ya akili?
Huenda ushindi mkubwa wa mwanadamu si kupata kila kitu anachokitamani.
Huenda ushindi mkubwa ni kuwa na uwezo wa kusema โHAPANAโ kwa kitu ambacho moyo wako unakitamani sana, kwa sababu akili yako imeona madhara yake.
Sasa wewe unaonaje: JE, AKILI INAWEZA KUUUDHIBITI MOYO, AU MWISHO WA SIKU HISIA NDIZO HUWA NA NENO LA MWISHO?
Shambulio la moyo huanzia wapi?Mhmhhh mkuu hii ni sayansi au mixture na elimu dunia๐
Hapa moyo ni kuchukua tu orders from the brain nakupata sasa vizuriYapo kwenye ubongo tu๐ kwenye moyo kinachobaki ni broken heart syndrome
Shambulio huanza kwenye mishipa , madhara hutokea kwenye misuli ya moyo (myocardium)Mhmhhh mkuu hii ni sayansi au mixture na elimu dunia๐
SINOATRIAL NODES tunaiweka upande gani hapo? ambayo ni sehemu ya moyo upande wa kulia chini kwenye ukuta wa ventrical.Inaonekana hata hujui kazi ya moyo,
hakuna uhusiano wowote kati ya moyo na akili/Brain katika maamuzi ya Binadamu,
Moyo ni Pump inayo sukuma damu through your body,
Kazi ya kufikiri,memory,movement feeling na automatic action kama kupumua na mapigo ya moyo hufanywa na part of the brain inayoitwa Celebrum,
Huo moyo wenyewe unafanya kazi kwa maamuzi ya brain kwa kupokea tiny electrical and chemical signal kwa kupitia kwenye nerves kutoka kwenye brain,hata mapigo ya huo moyo hupata amri kutoka kwenye brain ''Celebrum''
Hisia ni mwingiliano kati ya mfumo wa Neva, Ubongo, Homoni, Kumbukumbu na Mazingira kwa pamoja.Hisia zipo waoi kwenye akili au moyo
Unalazimisha mambo ya dini yaumeze ukweliUkimpendea mtu kwa kuwa ana hela hiyo ni tofauti mapenzi hayo hayajaanzia moyoni so akili ina controll kila kitu maana hakuna hisia hapo so akili inaweza kukuambia namchuna tu huyu hela zake,na upande wa pili atajua tu humpendi kutokana na vitendo vyako utasikua hunipendi ni kweli humpendi maana akili na hisia za moyo hujitenga maana ni jambo halijaanzia moyoni,
Moyo ucontroll hisia na akili uleta matekelezo so the reall boss here ni moyo mkatae tu ila ndiyo hivyo
Vyote tunavyongelea hapa ni software mkuu ๐๐ sasa usi twist hoja ukaleta mkanganyiko swali ni kipi kina contril hisia ni moyo au akiliHisia ni mwingiliano kati ya mfumo wa Neva, Ubongo, homoni Kumbukumbu na Mazingira kwa pamoja.
Hisia sio Hardware ni Software!
Sio Moyo wala Akili bali UBONGOVyote tunavyongelea hapa ni software mkuu ๐๐ sasa usi twist hoja ukaleta mkanganyiko swali ni kipi kina contril hisia ni moyo au akili
SafiSio Moyo wala Akili bali UBONGO
๐๐๐hapo ulipo quote sijaweka neno la dini mkuu umeanza kuelewa sema hutaki tu ku submit facts nilizochakataUnalazimisha mambo ya dini yaumeze ukweli
Mkuu utakuja kuchekwa coz unajibu kwa hisia zinavyokutuma na sio kwa elimu ya kibaiolojia uliyo nayoSio kama umekosa maarifa ya kuchakata majibu umebaki njia panda hivi kweli unaanza kupenda kutumia akili au hisia zilibebwa kwenye moyo,akili inaweza kukuambia yule mwanamke ni mkubwa ki umri kwangu lakini nampenda hiyo lakini nampenda ni hisia zilizopo kwenye moyo
Unatumia metaphor kama uhalisia wa mambo na sio sayansi๐๐๐hapo ulipo quote sijaweka neno la dini mkuu umeanza kuelewa sema hutaki tu ku submit facts nilizochakata
Ubongo una vitu vingi hapo kuna cerebral cereberum nk sema wewe haupo specificSio Moyo wala Akili bali UBONGO
Hakika,Moyo unasukuma damu , moyo hauwezi kutaka , vyote unavyozungumzia bado vinatoka kwenye ubongo tu
Nakupata vizuri sana, Kuna mahali Biblia imetumia neno moyo ila inazungumzia rohoHii ni issue ya kisayansi sio issue ya kidini,
Toka lini Moyo ukabeba hisia? Kama ni imani basi endelea kuamini ila uhalisia haupo hivyo,
Huwezi kusema kinachokula chakula ni miguu wakati chakula hupitia mdomoni,yani kazi inayofanywa na brain wewe unataka kutuaminisha kua kazi hiyo hufanywa na Moyo!