Nimesoma topic ya cordination kwenye biology A Level vizuri sana naelewa vyema nachokisema sijakurupuka,usijali nikichekwa ni vitu vidogo sana huwezi ukaogopwa kuchekwa ukiwa unajielezea hutakiwi kujali nani anacheka nani anakuinaje jambo la msingi ni nini unachokiamini na kukielewa ni hivyo tuMkuu utakuja kuchekwa coz unajibu kwa hisia zinavyokutuma na sio kwa elimu ya kibaiolojia uliyo nayo
Basi tufanye upo sahihi kwa upande wako.
Umekubaliana na jibu langu au unanipinga?Ubongo una vitu vingi hapo kuna cerebral cereberum nk sema wewe haupo specific
eti unavunjika vunjika ila pastor😅😅😅Kwanini ukiachwa moyo ndiyo unaomuia moyo ndiyo unaovunjikavunjika
Bado nasema moyo ndiyo boss wa viungo vyoto vya binadamu ukifa moyo ukiacha peleka damu mwilini hata hiyo akili haitafanya kazi,hisia huvebwa moyoni akili inatekeleza simpleUmekubaliana na jibu langu au unanipinga?
😂😂😂😂 ndiyo moyo huleta masikituko makubwa 😀,uachwe unazimia ulazwe then unamka unamkumbuka kilitokea nini tena unakumbushwa unazimia tena😂😂eti unavunjika vunjika ila pastor😅😅😅
😆😆😆😆 sitaki kuamini kama kuna watu wanafikiaga hiyo stage walah, naona cycle yangu inawatu mioyo migumu😀😂😂😂😂 ndiyo moyo huleta masikituko makubwa 😀,uachwe unazimia ulazwe then unamka unamkumbuka kilitikea nini tena unakumbushwa unazimia tena😂😂
Kwa muktadha wako unamaanisha nini unaposema neno "moyo na pia neno Hisia"“Kuna minyororo ambayo haionekani kwa macho, lakini humfunga mtu kuliko chuma.
Minyororo hiyo ni hisia.”
Moyo unataka kile kinachokufurahisha leo.
Akili inapaswa kujiuliza: “Hiki ninachotaka leo, kitanigharimu nini kesho?”
Ndiyo maana mtu anaweza kujua kabisa kwamba jambo fulani linamuumiza, lakini bado akarudi kulifanya.
Anaweza kujua mtu fulani hamfai, lakini bado akampenda.
Anaweza kujua matumizi fulani yanamfilisi, lakini bado akaendelea kutumia.
Anaweza kujua hasira itamletea matatizo, lakini bado akasema maneno ambayo baadaye atayajutia.
Kwa nini?
Kwa sababu katika maamuzi ya mwanadamu, hisia na fikra za kimantiki hufanya kazi kwa kushirikiana; maeneo kama amygdala yanahusika katika thamani na hisia, huku prefrontal cortex ikihusika sana katika kupanga na kutathmini hatua zinazowezekana.
Kama akili inajua jambo ni baya lakini moyo bado unalitaka, nani anapaswa kushinda?
👉 Moyo unaosema: “Nataka.”
au
👉 Akili inayosema: “Usifanye, utajuta.”
Na je, kujizuia kufanya jambo unalolitamani ni udhaifu wa moyo—au ni nguvu ya akili?
Huenda ushindi mkubwa wa mwanadamu si kupata kila kitu anachokitamani.
Huenda ushindi mkubwa ni kuwa na uwezo wa kusema “HAPANA” kwa kitu ambacho moyo wako unakitamani sana, kwa sababu akili yako imeona madhara yake.
Sasa wewe unaonaje: JE, AKILI INAWEZA KUUUDHIBITI MOYO, AU MWISHO WA SIKU HISIA NDIZO HUWA NA NENO LA MWISHO?
Wapo ndugu yangu kuna watu wanapenda 😀😀😀😆😆😆😆 sitaki kuamini kama kuna watu wanafikiaga hiyo stage walah, naona cycle yangu inawatu mioyo migumu😀
Moyo kusukuma damu ndio kucontrol hisia?Bado nasema moyo ndiyo boss wa viungo vyoto vya binadamu ukifa moyo ukiacha peleka damu mwilini hata hiyo akili haitafanya kazi,hisia huvebwa moyoni akili inatekeleza simple
akipatikana mmoja naomba uniite nije kushuhudia☺️Wapo ndugu yangu kuna watu wanapenda 😀😀😀
😂😂😂usijali ndugu unataka kuona watu wanavyotaka kujitoa uhai kisa mapenzi?akipatikana mmoja naomba uniite nije kushuhudia☺️
Watu wengi hudhani moyo hua una feel au ndio wenye maamuzi kama vile kupenda! hakuna kitu kama hicho,kila kitu kinaanzia kwenye Brain,
Eti utasikia Moyo wangu umekupenda,
Toka lini moyo ukawa na hisia ya kupenda!
haswaaaaa nataka kushuhudia maana mi huwa naona kwenye movie tu najua ni maigizo😅😂😂😂usijali ndugu unataka kuona watu wanavyotaka kujitoa uhai kisa mapenzi?
Sawa mkuu 😀Moyo kusukuma damu ndio kucontrol hisia?
Kwahiyo hisia hazitoki kwenye MOYO?Kwa muktadha wako unamaanisha nini unaposema neno "moyo na pia neno Hisia"
Kwakua mkuu hou moyo unaouzungumzia hapa sio Moyo ni hisia[emotions] ambazo nazo zinazalishwa na huohuo UBONGO ukiwa katika hali fulani...
Moyo tunaoujua sote kwa mujibu wa sayansi yasasa jukumu lake ni kusukuma damu. Nao pia utaathiliwa na hali ya ubongo katika mapigo yake na kutengeneza various electromagnetic waves.
Kwa kifupi sana Moyo ni pump ya damu mwilini inayoongozwa na ubongo.
Hivyo UBONGO ndio unaamua kila kitu itategemea na utashi wa mtu kama anaendeshwa na hisia[moyo] au logic. [Ubongo] hivi ndivyo umemaanisha.
Mkuu hii Sinoatrial Nodes ni Natural Pacemaker,ingawa hua inafanya kazi on its own but still inapokea command kutoka kwenye brain,SINOATRIAL NODES tunaiweka upande gani hapo? ambayo ni sehemu ya moyo upande wa kulia chini kwenye ukuta wa ventrical.
Miaka ya nyuma kidogo nipo chuo jamaa alitaka kujirusha ghorofani kisa mapezi yani alidakwa chapu bila kumzuia alikua anajitupa,jamaa alipenda halafu alikua mbishi kuamini alimuhudumia sana yule demu hadi ada wakati wote walikua wanachuo,akaambiwa kuwa mpenzi wake ana mwanaume mwingine,watu wabaya wakamletea ushahidi 😁😁 ah acha banah ,ila sahivi anajiona alikua mjingahaswaaaaa nataka kushuhudia maana mi huwa naona kwenye movie tu najua ni maigizo😅
Zinatoka kwenye moyo zinachakatwa kwenye akili,Kwahiyo hisia hazitoki kwenye MOYO?