Je, akili inaweza kuudhibiti moyo?

nimehuzunika na kucheka kwa pamoja,, mi nahisi kilicho muuma ni mda na mali alizo wekeza ila kuhusu kumng'ang'ania mtu nahisi si kweli,,,

kwenye maisha mi siamini kwenye mambo ya kubembelezana et oooh stay with me mara blaah blaah, kama unamtu au kama tumeshindwana huwa kuachilia siwezi kukaa na janga la roho😆😆
 
Nini kina maintain mapigo ya moyo? kama brain ina adjust?
 
Zinatoka kwenye moyo zinachakatwa kwenye akili,
Moyo hauhusiani na hisia sema tumefunikwa na local believes tu maana hata wanasanaa huwa wanatoa maudhui wakihusisha moyo, kuna feeling zinakuja ambazo unaweza kuamini moyo unataka jambo lakini sio kweli hapo moyo hushirikishwa na ubongo tu hasa kwenye kusukuma damu ipeleke vitu muhimu mbalimbali za mwili, vitu hivyo ni kama sehemu maji, oxygen antibodies, ikitokea unawaza sana ndio hadi moyo unafanya kazi sana. Hapo ukihusanisha na mawazo yako utadhani moyo unanaamuzi yoyote na kile achowaza lakini sio kweli.
 
Zinatoka kwenye moyo zinachakatwa kwenye akili,

Sasa cordination ya biology a level nayo ni shul ya maana ya kujua anatomy ya mwili wa binadamu mkuu?
 
Shambulio la moyo huanzia wapi?
Bwashee hapa watu huchanganya kati ya Heart attack ''Myocardial infarction'' na Heart attack with stroke,

  1. Heart attack inaanzia kwenye Moyo inapotokea coronary artery gets blocked,inasimamisha flow ya damu kwenda kwenye heart muscle.
  2. Stroke yenyewe huanzia kwenye Brain ''Brain Attack'' ambapo damu hua ina flow kisha ina block na kubursts Heart Attack affect the heart muscle coz of blocked blood flow in the chest,Stroke,Affect the brain coz of blocked or broken blood vessels in the head.
 
Yeah , hii ni faida ya members Bwashee
 
Tafakari nzuri kabisa na hapa moyo unakuwa unamaanisha nafsi, na hapo unazungumzia vifungo vya nafsi, akili inachakata kwamba hili ni ni haya lakini bado unasukumwa kulitenga, inawezekana kabisa kudhibiti kwa msaada wa Mungu
 
Bado nasema moyo ndiyo boss wa viungo vyoto vya binadamu ukifa moyo ukiacha peleka damu mwilini hata hiyo akili haitafanya kazi,hisia huvebwa moyoni akili inatekeleza simple
Tuna zungumzia ubongo na sio akili
 
Homeostasis.
Umeongea kitu kipana sana mkuu, sema ukweli hata mimi ni asilimia za uelewa japo siyo sana kwa hiyo nikikuuliza nataka tujadili tu na sio sio kwamba sijui kabisa! Sasa ukisema homeostasis hiyo condition ambayo ipo chini ya ubongo pamoja na hormonal system. Sasa mkuu ebu turudi kwanza kwenye natural pacemarker (SAN) kazi yake nini hasa na je maisha yanawezekana bila yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…