Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

N

Nyie ndio endeleeni kukaza fuvu wakati ukweli wote upo kwenye quran..Quran inasema Yesu ni neno la Mungu na ni roho toka kwake..kwa nini awe Yesu na asiwe kipenzi chake muhammad? Mnasema Muhammad ni mtume wa mwisho kwa nini Yesu aendelee kuwa spesho sana mbele ya kipenzi cha Allah Muhammad? Yaani mnayemuita mtu anasifa kubwa kuliko hata kipenzi cha Allah.Hapa kuna namna ,na kwa nini Allah amkaribishe Yesu badala ya Muhammad ambaye ni kipenzi chake.Na kitendo cha Yesu kukaribishwa kwa Allah ina maana amekaa kwa utukufu mmoja na Allah.
Sawa tufanye umeshinda basi. kwani utatusindikiza sisi waislamu kwenye makaburi yetu? Wewe hautaulizwa kwa tunayo fanya sisi. Basi tuache na dini yetu wewe fuata ya kwako. Simple as that
 
Sawa tuzungumzie vitu vinavyoendana na utukufu wa Mungu..Yesu alifunga siku aobaini bila kula,je mtume anaweza,Yesu alituliza bahari je mtume anaweza,Yesu alitembea juu ya maji je Mtume anaweza,Yesu alifufua wafu je mtume anaweza,Yesu aliponya vipofu je Mtume anaweza,Yesu aliumba na kupulizia pumzi ya uhai ,je Mtume anaweza ,Yesu anajua kilichopo nafsini /moyoni kwa mtu je mtume anaweza na mwisho kabisa Yesu anasamehe dhambi je mtume anaweza.Ukija hapa usiniambie alipewa idhini na mwenyezi Mungu maana hiyo itakuwa ni shirki..hizo ni kazi za Mungu.Na kama kutoa idhini angetoa kwa kipenzi chake muhammad
Hayo uliyoyaandika kuhusu Yesu Hakuna ushahidi wowote kuwa kweli aliyafanya , hizo ni hadithi Za vikao vya wazee wa kanisa
 
Sasa nyie wakristo mna matatizo gani na dini yetu mbona kama mnatuonea wivu? Kama dini yetu mbaya basi fuateni hiyo ya kwenu nzuri achaneni na uislamu wetu.

kitu kimoja nimegundua ni kwamba nyie wakristo hamfuati dini yenu mpo mpo tu, kanisani mara moja kwa wiki na wengine hamuendi wala.

huku waislamu tunasali mara 5 kwa siku na watu wako commited. Mwezi wa ramadhani unakuwa na shamrashamra watu wote tunafunga. Watu wanavaa hijabu kwa hiari zao.. Hii inawapa wivu kuona waislamu wanafuata dini yao kila siku 24/7 wakati dini yenu ni dead religion
 
Hayo uliyoyaandika kuhusu Yesu Hakuna ushahidi wowote kuwa kweli aliyafanya , hizo ni hadithi Za vikao vya wazee wa kanisa
Quran yako imeandika Yesu hana dhambi..je kuna binadamu hana dhambi? Quran yako imeandika Yesu ni mwenye heshima duniani na Akhera,je kuna binadamu anaweza kuwa na sifa hizi, Quran yako imeandikwa Yesu amekaribishwa kwa Allah ,je mtume amekaribishwa? Quran yako imeandika yesu ni neno la Allah na ni Roho toka kwake je mtume au kuna binadamu ana sifa hizi.Quran yako imeandika Yesu anaumba na kupulizia uhai na pia alifufua wafu ,Je kuna nabii alishawahi kufanya hivi au manabii wengine hawakuwa na idhini ya Allah?
 
Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani.

Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na historia haijawahi kugusia kwamba katika kipindi hiko chote kama kuliwahi kuwepo uislamu mpaka muhammad alipofikisha miaka 40 ndio akashushiwa qurani na yeye akasema atakuwa wa kwanza katika waliosilimu.

Kitendo cha kusema kuwa wa kwanza katika waliosilimu ina maanisha hakukuwepo na uislamu,japo kuwa wanazuoni wanadai uislamu ulikuwepo kabla hata ya kushushwa quran.

Maswali yangu ni je ,Kabla ya kushushwa quran Allah alikuwa wapi? maana quran pekee ndio imemzungumzia.
swali la pili kama Allah alikuwepo je ni vitabu gani alivishusha kwa waislamu kabla ya quran? na kama vipo hivyo vitabu ni vitabu vipi? Je vipo mpaka leo. Kama itakuwa ni Zaburi, torati na injili je ilikuwaje Allah ashindwe kuvilinda visibadirishwe kama waislamu wanavyodai kuwa vimechakachuliwa na pia wanasema vimetungwa na wanadamu? na kama sio zaburi, torati na injili ilikuwaje uislamu ukacopy zaidi ya asilimia 70 toka kwenye hivyo vitabu?

Karibuni
Kwa kifupi allah ni kiarabu. Kiyunani ni Eloi.

sasa jiulize wapi walipotea njia na kusema yesu ni Eloi wakati yesu mwenyewe alimlillia eloi.

Pili kwani mavazi ya wayahudi, yesu na Maria anafanana na watu wa imani gn

Mwisho utakujajua uislam ulianza kwa adam. Ndio maana Quran imemtaja kwa upana sana adam na hawa
 
Ukitaka kushangaa zaidi soma habari za uumbaji wa dunia kwenye Quran.
 
Na Nani atajitenga na Mila ya Ibrahim isipokuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
Qur'an 2:130

Na Mola wake mlezi alipo mwambia : Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu,nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote. Qur'an 2:131

Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii,basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu,wanyenyekevu. Qur'an 2:132

Je; Mlikuwepo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: mtamuabudu Nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu mmoja tu,na sisi tunasilimu kwake. Qur'an 2:133.
Hivyo hoja yako ya Muhammad kuwa muislamu wa Kwanza kwa mujibu wa hizo Aya haina mashiko.

Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipoinyanyua misingi ya Ile nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika wewe ndiye msikizi Mjuzi. Qur'an 2:127

Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako,na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio Silimu kwako. Na utuonyeshe njia za Ibada yetu na utusamehe. Bila Shaka wewe ndiye mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Qur'an 2:128

Enyi watu muabuduni Mola wenu Mlezi aliyekuumbeni nyingi na wale wa kabla yenu ili mpate kuokoka. Qur'an 2:21

(Mwenyezi Mungu) ambaye amekufanyieni hii ardhi kuwa kama tandiko,na mbingu kama paa,na akateremsha maji kutoka mbinguni,na kwayo akatoa matunda yawe riziki zenu. Basi msimfanyizie Mwenyezi Mungu washirika,na hali nyinyi mnajua. Qur'an 2:22

Na ikiwa man Shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni Sura moja ya mfano wake,na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu ikiwa manasema kweli. Qur'an 2:23

Na mkitofanya na wala hamtofanya kamwe. Basi uogopeni Moto ambao kuni zake ni watu na mawe walioandaliwa hao wanao kanusha.
Ajabu ni kwamba Quran ndiyo kitabu kichanga zaidi ukifananisha na Torah pamoja na Biblia . Kwenye Quran story nyingi zimepindishwa au kubadilishwa ili ziweze fit narrative ya Mohamed.

Hiyo story ya Ibrahim toka kwenye Quran haipo kwenye vitabu vya kale,it's made up tu bila sababu za msingi.
 
Bibilia inasema Yesu alimfufua Lazaro Kwa idhini ya Mungu vipi wewe unapingana na bibilia

Yohana 11:41
Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
Yohana 11:42
Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
Yohana 11:43
Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.

Nyinyi wagalatia sijui mnakwama wapi
Yesu kamuita Mungu baba na nyie mnasema allah hana mtoto.
Itakuwa Yesu hakupata idhini ya allah bali ya Mungu ambaye ni baba yake
 
Tukisema Muhammad aliuiga utamaduni huu kwa sababu aliona wakisali tutakuwa tumekosea?
Kumbuka hata suala la adhana mlitaka kuiga upiga kengele wa kanisani pia?
Huo ndo utamaduni wa Mitume na ndio mafundisho ambayo Mitume wameleta. Uisilamu upo clear kuhusu msg yake ndio maana unaona pia ni dini inayokua kwa kasi, mtu yoyote makini anaefuatilia na kusoma deep anajua nani wanafuata mafundisho na nani wanafuata nafsi zao ziinavyowatuma.
 
Kukujibu hili boss, kama wewe ni Mkristo, Hebu acha kufuata ulichozoea na badala yake Soma Biblia na mfuate Yesu.

1. Fuga ndevu kama yesu
2. Vaa kanzu fupi kama Yesu
3. Vaa makubazi kama Yesu
4. Swali kama Yesu kwa kufunga mikono na kusujudu

Wakati ukifanya yote hayo watu wakuangalie, je watasema wewe unafuata mafundisho ya nani? Wengi watasema wewe ni muisilamu.

Mitume wote walileta message moja tu, ukifuata mafundisho yao kwa asilimia kubwa utajikuta unafuata mafundisho ya Kiislamu. Leo hii wakristo na waisilamu wanatofautiana sababu kubwa ni wakristo kuacha mafundisho ya Biblia na kufuata maneno ambayo hayapo kwenye Biblia.

Huyu mchungaji akionesha namna wakristo wa zamani walivyo kuwa wakiswali, wayahudi na Waisilamu nao wanaswali almost hivyo hivyo.
View attachment 3140427

So mtume ama waisilamu kufuata mafundisho ya Ibrahim ni sawa na kufuata ya Yesu ni sawa na kufuata ya Musa etc mitume wote walikuja na msg moja ndio maana pia hizi dini zinaitwa Abrahamic.
Mathayo 3:17
Na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

Allah hana mwana sasa inakuaje hapa Eloi anamtambua Yesu kama mwanae anayependezwa nae?

Yohana 20:18
[17]Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

Yesu anamwita Mungu wake baba basi hawezi kuwa nabii wa Allah.

Quran 112
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
 
Hii mada haihusu unachosema tusiiharibu, anzisha mada yako tujadili unaweza kunitag,

Ila kifupi ni kwamba issue ya Trinity imewekwa kwenye Ukristo miaka 300 baada ya Yesu kufa, jiulize kwanini ipite hadi miaka 300 ndio hio debate ianze? Kwanini isiwe tu Natural?

Mark 10:18 - Why do you call me good?” Jesus answered. “No one is good—except God alone.
 
Mimi nilikua najibu hoja ya mdau kwamba Yesu alikua muislamu,kitu ambacho sio kweli.
 
Nashukuru ume quote kifungu ambacho Yesu anamuita Mungu baba yake ,je muhammad ameshawahi kufanya hivyo?..Je hoja Mungu hana mwana bado ipo? .Na nikuambie tu ,Yesu kutamka msaada Kwa Mungu ni kwa sababu ya kujidhihirisha kwake kama binadamu,hakutaka watu wajue Nguvu zake direct.
Yani unayumba yumba tu mara Yesu Mungu mara Yesu mwana wa Mungu Yani wewe yawezekana umeshaota mvi lakini bado Hadi Leo haumjui Mungu aliyekuumba Ili umuabudu Jahanamu inakusuburi
Na sio wewe tu wagalatia wote Mungu hamumjui Wazungu wamekuingizeni Chaka
Mzee wa upako anasema Yesu sio Mungu
Sijui mchungaji gani anasema Yesu Mungu
Mchungaji mwingine anasema Mungu wapo 3
Mchungaji Ndacha anasema hakuna utatu katika Mungu

Ukweli ni kwamba nyinyi wagalatia Mungu hamumjui na Kwa ubishi wenu Jahanamu inawasubiri

Quran 5:72
- Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.

Hapo Kuna Maneno Yesu aliyasema kuwambia Wana wa Israel ambayo Allah ameyanukuu na kumwambia mtume Muhammad kuwa Yesu aliwambia
Muabuduni mwenyezi Mungu mola wangu mlezi na mola wenu mlezi

JE ! wapi Yesu alisrma hayo maneno

Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

Na Kwa mujibu wa Yesu nyinyi wagalatia wote mtaenda Jahanamu

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Quran inasema Yesu sio Mungu na Injili inasema Yesu sio Mungu

Sasa nyinyi wagalatia endeleeni tu kudanganyana
 
MUHAMMAD ALIUPATAJE UTUME??
Muhammad s.a.w alipotimiza umri wa miaka 38kutokana na maisha magumu ,alihama toka nyumbani kwake, akahamia katika mapango(JABAL HIRA) yaliyokuwa hapo karibu na mji wa
Makka. Alipofikisha umri wa miaka 40 siku moja alitokewa na kiumbe ambacho Waislamu leo wanakiita Malaika Jibril.
Wahyi (ufunuo) uliokuja kwa Muhammad alisikia makengele,uso kuwa mwekundu,jasho kumtoka. Katika Bukhar, Hadithi na 2, Juzuu na 1,Al-Lu’lu Kitabu cha 3.Uk. Na.874 Hadithi na1505 “Hadithi ya Aisha r.a mama wa waumini amesema, kuwa Al Harith ibn Hisham r.a alimuuliza mtume wa Allah s.a.w ‘ Ewe mtume wa Allah hivi wahyi (ufunuo) hukujia vipi?’
mtume wa Allah s.a.w akajibu, “ Wakati mwingine hunijia kama mlio wa kengele, na aina hiyo ndiyo ngumu zaidi kwangu, inaondolewa hali hiyo kwangu wakati tayari
nimeshapata wahyi.

Na nyakati nyengine malaika anakuja kwangu akiwa katika mfano wa mtu, kwa hiyo ananieleza na ninayazingatia aliyoyasema.” Aisha r.a alisema , Na hakika nilimwona unamshukia wahyi siku ya baridi kali na ilipomuondoka hali hiyo, paji lake la uso lilichuruzika jasho.”
Qurani 53:2 – 6 Suratul Najm (Nyota) “Kwamba
mtu wenu huyu Nabii Muhamad (hakupotea kwa ujinga) na wala hakukosa (Na hali ya kuwa anajua). Wala hasemi kwa matamanio (ya nafsi yake). Hayakuwa haya (anayosema) ila ni wahyi (ufunuo) uliofunuliwa (kwake).Amemfundisha
(malaika) mwenye nguvu sana. Mwenye uweza na yeye (huyu Jibril) akalingana sawa sawa.

Ngoja tuendelee na mawaidha!!
Alipokuwa pangoni alichezewa na Shetani:Katika kitabu kiitwacho “ Wakeze Mtume
Wakubwa Na Wanawe” kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy uk.12 tunasoma maneno haya “Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamhadithia; na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo.Mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga”. Bibi Khadija palepale alimdakiza akamwambia; “ Wacha hayo; Siyo yatakayokuwa hayo. Wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako. Wewe unatazama vyema jamaa zako, unachukuwa mizigo ya hata watu wasiokuwa wako, unawadhihirishia watu sifa zako nzuri ambazo hakuna mwenye nazo.

Unafanya hivi na unafanya hivi. Furahi ndugu yangu. Tua moyo wako, Wallahi! Mimi naona
umekwishakuwa mtume”.
 
HEBU SOMA HAPA KWANZA
 
HEBU SOMA HAPA KWANZA
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).Q3:45
 
Back
Top Bottom