Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

Kabla ya Muhammad kulikuwepo na Issa ,kwa nini asifuate tamaduni za Issa akaenda kufuata tamaduni za Ibarahimu mtu wa zamani sana.
Kukujibu hili boss, kama wewe ni Mkristo, Hebu acha kufuata ulichozoea na badala yake Soma Biblia na mfuate Yesu.

1. Fuga ndevu kama yesu
2. Vaa kanzu fupi kama Yesu
3. Vaa makubazi kama Yesu
4. Swali kama Yesu kwa kufunga mikono na kusujudu

Wakati ukifanya yote hayo watu wakuangalie, je watasema wewe unafuata mafundisho ya nani? Wengi watasema wewe ni muisilamu.

Mitume wote walileta message moja tu, ukifuata mafundisho yao kwa asilimia kubwa utajikuta unafuata mafundisho ya Kiislamu. Leo hii wakristo na waisilamu wanatofautiana sababu kubwa ni wakristo kuacha mafundisho ya Biblia na kufuata maneno ambayo hayapo kwenye Biblia.

Huyu mchungaji akionesha namna wakristo wa zamani walivyo kuwa wakiswali, wayahudi na Waisilamu nao wanaswali almost hivyo hivyo.
Your browser is not able to display this video.


So mtume ama waisilamu kufuata mafundisho ya Ibrahim ni sawa na kufuata ya Yesu ni sawa na kufuata ya Musa etc mitume wote walikuja na msg moja ndio maana pia hizi dini zinaitwa Abrahamic.
 
Muhammad siyo.mtume wa mungu anaye bisha anyoshe kidole juu nimshushie nondo ...mimi siyo shabiki wa ukristo wala uislamu hivyo ninapo sema kitu kuhusu dini ninskuwa ki logic zaidi
S a w alikua mtume tena ndio wa mwisho qur an imesema hivyo na huu ukweli hautabadilika kua s a w ni mtume wa Allah
 
SWALI LA MSINGI

Ili Uwe Muislam unapaswa kushuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Muhammad ndiye Mtume wake wa mwisho....

Sasa hayo yote Muhammad alishuhudia kwa nani? Na alishudia kuwa yupi ndiye Mtume pekee wa Mwenyezi Mungu ilihali hakuwepo?
 
Kuna tatizo kubwa ndani ya utume wa muhammad...sema mashabiki wa dini ni ngumu kugundua
 
S a w alikua mtume tena ndio wa mwisho qur an imesema hivyo na huu ukweli hautabadilika kua s a w ni mtume wa Allah
Nikikupiga swali utanijibu? FaizaFoxy ukuje kuna mtu amejitolea kunipa ilimuu huku anataka kunijibu maswali yangu nitakayo muuliza ili na mimi niwe muislamu maana najua wewe FaizaFoxy huwa unanikimbia sasa kaja kidume kunipa majibu na subiri ruhusa tu ya kuuliza maswali
 
Heheheee asipo elewa hapa hata kaa aelewe tena ila qur an imenyooka wallah niwewe mwenyewe tu uchague kushukuru ama kukufuru
 
Tafadhari naomba andiko litakalotetea hoja hii, nami nijifunze kitu kupitia maelezo Yako mkuu.
 
umeshasema kabla ya kuja kwa Yesu..mimi nazungumzia baada ya kuja kwa Yesu,iweje ampuuzie Yesu ambaye alikuja kuutangaza uislamu akabaki na utaratibu wa Ibrahimu ambaye alikuwa mtume wa kale sana?
Mitume wote kuanzia nabii Adam as mpaka Muhammad s a w walikuja na lengo moja kama alimfata Ibrahim basi ujue alimfata mussa issa ishaqa ilyasaai yaaqub nuh lutw nk
 
Ili Uwe Muislam unapaswa kushuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Muhammad ndiye Mtume wake wa mwisho....

Sasa hayo yote Muhammad alishuhudia kwa nani? Na alishudia kuwa yupi ndiye Mtume pekee wa Mwenyezi Mungu ilihali hakuwepo?
Hem eka swali vyema kidogo
 
Mkuu, umejibu vizuri hakika.
 
Wao wanadai hata Yesu alikuwa muislamu. Ukiwaambia mbona yesu alikuwa havui malapa anapoenda hekeluni wanaanza braah braah kibao na ukali juu
Hata nabii mussa nae pia alikua muislam kama sijakosea alivyo kua anaenda kwenye mlima turi kama sijakosea alikua anavaa viatu mpaka Allah alipo mwambie avue viatu kwani yupo mahala patakatifu
 
umeshasema kabla ya kuja kwa Yesu..mimi nazungumzia baada ya kuja kwa Yesu,iweje ampuuzie Yesu ambaye alikuja kuutangaza uislamu akabaki na utaratibu wa Ibrahimu ambaye alikuwa mtume wa kale sana?
Nishasema hili kwamba kabla ya kuja kwa muhamad mafundisho ya Yesu/ Issa hayakufika sehemu nyingi hivyo watu wa eneo la al jazeera walifuata mafundisho ya ibrahimu, pia mainly Issa/ Yesu alitumwa hasa kwa watu wa makabira ya wa israel, kama vile wa israel kufuata sana mafundisho ya Musa haimanishi haku kuwa na mitume sehemu nyingine ila mafundisho ya mitume wengine hayakufika huko, kabla ya kuja kwa Muhamad mitume walikuwa wanatumwa kwenye sehemu flani kwa watu wake, kama vile kina Mariam, yohana kwa nini hawakufata mafundisho ya Suleimani, huenda mafundisho yake hayakufika huko
 
Mtume muhamad alishuhudia kwa nani? Au kwa namna nyingine, Muhammad alitoa Shahada yake kwa nani?
Shahada ni Ile Ile boss sababu s a w alikua anasali na ili sala ikubalike ama itimie lazima kuwe na shahada na shahada ni Ile Ile nashuhudia kua Allah ni mmoja na Hakika Muhammad ni mtume wake
 
Leta swali kwa uwezo wa Allah nitakujibu kama sitakua msikitini leo ijumaa ila angalizo usije ukafa kabla hujasilimu
Sawa,...Refa nimemteua muislam mwenzio FaizaFoxy nimemchagua huyo maana sipendi kupendelewa swali lenyewe lipo kilogic hivyo litakuja kwa mtiririko usishangae ...swali la kwanza
1)issa bin maliam ni mtume au ni mungu
2)muhammad ni mtume au ni mungu.
3)mtume wa mwisho kuja duniani ni nani?
4)je issa yupo hai au amekufa
5)je kila nafsi itaonja mauti au la?

Haya maswali usije ukaja kichwa kichwa wameshindwa kunijibu mashehe 6 kwa pamoja ..kwa hiyo nimekutadhalisha mapema ..usije ukayaona ya kitoto maana majibu utakayo jibu ndiyo yatakayo kuchapa viboko mwenyewe..yajibu kwa namba kama nilivyo uliza..kisha nitakuja tena
 
Shahada ni Ile Ile boss sababu s a w alikua anasali na ili sala ikubalike ama itimie lazima kuwe na shahada na shahada ni Ile Ile nashuhudia kua Allah ni mmoja na Hakika Muhammad ni mtume wake
Mtume Muhammad alishuhudia kuwa Mtume yupi ndiye ambaye ni mmoja tu aliyetumwa na Allah?
 
Sawa je Allah ayezungumziwa kwenye Biblia na huyu aliyezunguzmiwa kwenye quran ni sawa? na kama ni sawa kwa nini Biblia izungumzie kusulubiwa kwa Yesu halafu Allah wa quran aje kukataa?
WAislamu na jews wanaamini mungu ni mmoja na kaleta mitume kama musa na yesu
Huku wakristo wakiamini huyu mtume wa mungu yesu wakaamua kumfanya mungu , na wakristo wakatengeneza kitabu chao ambacho ni agano jipya ambacho kinapingana na mafundisho yote ya mungu yakiwemo ya musa na muhammad
 
Tafadhari naomba andiko litakalotetea hoja hii, nami nijifunze kitu kupitia maelezo Yako mkuu.
Nina andiko Muhammad aliamriwa awe muislam wa kwanza kuslimu.
ila sina/hakuna andiko Muhammad alitii amri hiyo badala yake akamslimisha mke wake.
Muhammad hadi anakufa hakuslim,yeye alikuwa anaslimisha wengine tu,yete hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…