Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi kunakoonekana kila kona, ni kwamba unawapa njia rahisi magaidi wa kesho au magaidi wa leo kuweza kufanya recruitment zaidi.
Binafsi nilikuwa naitetea sana Israel kwa kipindi kirefu ambapo kulikuwa na Anti-Semitism kila kona na jinsi Hitler alivyowanyanyasa na kuwafanya hawa watu kama sio binadamu...
Ingawa leo hii anachofanya sidhani kama kina manufaa yoyote kwa mustakabali na amani ya dunia ya leo na kesho sababu anazidi kuwatengeneza magaidi..
Ushauri
United Nations ipate meno na iwe na nguvu sawa bila VETO ya taifa lolote na nchi zote ziwe wanachama, ili kama kuna mtu / taifa litaleta za kuleta tuweze kudeal nalo kama dunia kwa pamoja.., kwa kufanya hivi kutakuwa hakuna uwezekano wa watu kuona kwamba wanaonewa, hivyo kuondoa ile fodder (Chakula) ambacho Fundamentalists wanaitumia kuwarubuni (brainwash) watu ili kujiunga nao...

“Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.”