Je anachofanya Israel kinakuza au kuondoa Ugaidi ?

Je anachofanya Israel kinakuza au kuondoa Ugaidi ?

An Israeli air strike has killed at least 33 people including 21 women at a refugee camp in northern Gaza, the strip's Hamas-run authorities say.

There was no immediate comment on the reported attack at Jabalia from Israel, whose forces have been besieging the densely-populated camp for weeks.



My Take: If that isn't terrorism tell me what is ?

the unlawful use of violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political aims.
 

We must not turn blind eye to antisemitism, says Dutch king after attacks on Israeli football fans


My Take: Israel lilikuwa taifa linalochukiwa kwa muda mrefu kutokana na stereotypes nyingi na nyingine za uongo..., tulishatoka huko ila sasa hivi kinachoendelea ni fodder kwa watu kuwachukia..., Hitimisho; Anachoendelea kufanya does not protect World Peace...
 
Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi kunakoonekana kila kona, ni kwamba unawapa njia rahisi maghaidi wa kesho au maghaidi wa leo kuweza kufanya recruitment zaidi.

Binafsi nilikuwa naitetea sana Israel kwa kipindi kirefu ambapo kulikuwa na Anti-Semitism kila kona na jinsi Hitler alivyowanyanyasa na kuwafanya hawa watu kama sio binadamu...

Ingawa leo hii anachofanya sidhani kama kina manufaa yoyote kwa mustakabali na amani ya dunia ya leo na kesho sababu anazidi kuwatengeneza magaidi..

Ushauri
United Nations ipate meno na iwe na nguvu sawa bila VETO ya taifa lolote na nchi zote ziwe wanachama, ili kama kuna mtu / taifa litaleta za kuleta tuweze kudeal nalo kama dunia kwa pamoja.., kwa kufanya hivi kutakuwa hakuna uwezekano wa watu kuona kwamba wanaonewa, hivyo kuondoa ile fodder (Chakula) ambacho Fundamentalists wanaitumia kuwarubuni (brainwash) watu ili kujiunga nao...

“Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.”​
Konakuza,akibisha hata yeye mwenyewe ajaribu kutangaza ajira kwa kificho aone.
 
Back
Top Bottom