Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 224
- 246
Nini maana ya ugaidi maana is isijee ikawq wao ndio magaidi wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makafiri Mkiambiwa hamuna akili mnaona munatukanwa wakati sifa yenu mwapewa haya taja hizo nchi tatu zinazopigana na taifa lenu teule hemu tuzijueYaani israel ndio taifa pekee linalochangia na magaidi wa mataifa 7 ili wamfute halafu anaitwa mchokozi?
Moja hivi kuondoka kwa Gaddafi Libya na Saddam Hussein Iraq kumesaidia peace and security katika hizo sehemu ?Anaondoa kumbuka Marekani ilichofanya kwa mtandao wa kigaidi ilipiga Gaddafi Libya ikapiga Osama Afghanistan ikapiga Saddam Husen Iraq sasa hivi huwezi sikia kuna magaidi wameongezeka dhidi ya marekani
Ndio maana nakwambia hujui maana ya ugaidi..., ugaidi ni ku terrorize na hadi mtu aweze kutumia terror lazima awe na sababu ya kwamba tunaonewa sasa unapiga na kuua kizazi cha mababu unategemea mjukuaa atakuwa nini kama sio kutumia mbinu za terror kufanikisha ambacho babu yake alishindwa (after all ataona kwamba amefanya heroic thing)Israel ndicho anafanya anapiga hamas Israel anapiga Hezbollah Lebanon anapiga wa houthi Yemen ,Anapiga magaidi Syria anapiga Iran kuua viongozi wao
Wanawake wazaaji na watoto wa magaidi kuua kizazi cha magaidi kisiwepo
Lengo lilikuwa kuwe ni security Marekani walikochokoza na kubomoa twin towerMoja hivi kuondoka kwa Gaddafi Libya na Saddam Hussein Iraq kumesaidia peace and security katika hizo sehemu ?
Fact moja ambayo wengi hawafahamu majority ya holocaust survivor wapo Against Israel na Zionist ambao ndio waanzilishi wa Israel walikua na Mkataba na HitlerNaam anachofanya sasa ni ugaidi ingawa alichofanyiwa na Hitler au kipindi cha vita vya siku sita haikuwa ugaidi, na ndio maana alijizolea admirers na sympathizers dunia nzima.., ila hiki anachofanya sasa matunda yake sio tu hasara kwake bali she is not making the world a safer place...
Je kuna hio Security sasa hivi ? Na walichosema wanamfuata Saddam sababu ya weapons of Mass Destruction wakati hazipo ni kwamba imepunguza authenticity ya USA na UK; na hata wakati Obama anaingia hii ilikuwa moja ya points alizosema kufanya vita kwa gharama kubwa ya raia bila kupata any significant result..., na ndio maana aliondoa watu wake huko... Na achana huko hata Somalia alishindwa kuendelea sababu ya kipigo alichokuwa anapata kwa wanajeshi wake bila any significant gains... (Kwahio nachoweza kusema a stealth mission ya kumuua Sadam moja kwa moja na sio raia wa Afghanistan; that's how it's supposed to be done)Lengo lilikuwa kuwe na security Marekani walikochokoza na kubomoa twin tower
Haijakamilika USA is no more safer now than then.., kumbuka hawa so called terrorist works in cells (terrorist cells) na chakula cha hawa watu ni propaganda na brainwashing.., inawezekana leo mtoto wako au mke wako akaamua kujiunga na kufanya jambo bila kukutana na so called viongozi... ndio maana an American Born Citizen anaweza kuamua kulipua au kuua mtu (and what is happening now is giving fodder to brainwashers)Lengo la vita halikuwa security kwenye hizo nchi baada ya vita Kuwa wao hata kama kwao hakutakuwa na security hiyo haikuwa lengo la Marekani watajijua wenyewe
Cha msingi objective ya Marekani kuwa salama ilishakamilika It is non of their business
Palestina hawajawahi kuwa na nchiPalestina wanapigania uhuru wa nchi yao.
Tangu zamani watu wakipigania uhuru wao huitwa magaidi.
Ilikuwa hivyo kwa Frelimo, ANC, ZANU PF, Swapo nk.
Adolf Hitler aliua mamilioni ya Wayahudi, chakushangaza kile kilichofanywa na Hitler miaka 80 iliyopita ndicho kinachofanywa na Mayahudi kwa Wapalestina, lakini Dunia imekaa kimya.
Israel anakalia ardhi za mababu zake wala hakuna taifa au dola lililowahi kuitwa palestina hata qoroani haijataja palestina popoteKama isingekalia ardhi za palestina ungeona hiki kinacho endelea Leo hapo ME
Ilianzisha hata hiyo vita ya first Arabic war kuanzia 1947 maana walikalia kimabavu ardhi ya palestina kinyume na makubaliano ya UN. Hata leo bado inakalia kimabavu Golan Heights sehemu halali ya Syria, je ikivamiwa leo na Syria hapo Golan Heights utasema wamevamiwa?Embu tufafanulie israel imewahi wapi kuanzisha vita kama sio inachokozwa kwanza?
Tanzania tumewahi kuwa na nchi kabla ya wakoloni? Embu ondoa upumbavu humu.Palestina hawajawahi kuwa na nchi
Kasome biblia yako kule nyuma imewekwa picha embu tuambie imeandikwa Israel au palestina?Israel anakalia ardhi za mababu zake wala hakuna taifa au dola lililowahi kuitwa palestina hata qoroani haijataja palestina popote
Mbona Mandela alitumia hizo mbinu huwa hatumuiiti gaidi? Au mbona Israel inatumia mbinu hizo hizo kuua viongozi wa Iran mnaita ujasusi ila wakifanya hivyo nchi za kiarabu mnaita magaidi!!Ugaidi; Terrorizing nadhani sio kile unachogombania kama kina tija au hapana bali ni means za kupata kile kitu..., mfano mnaweza mkawa kabisa mnapigania haki yenu ila kwa kufanya hivyo mnateka watu wasio na hatia na kuwachinja (the means you are using is terrorizing)
Mandela alipigania uhuru wa nchi yakeMbona Mandela alitumia hizo mbinu huwa hatumuiiti gaidi? Au mbona Israel inatumia mbinu hizo hizo kuua viongozi wa Iran mnaita ujasusi ila wakifanya hivyo nchi za kiarabu mnaita magaidi!!
Naona umeamua kuonesha ule ukweli halisia kua huna au hamna akili sasa kwahio umeanza kuniamini Quran Kuna watu akili zenu zina matatizo haya kulikua na tanganyika kabla ya uhuru amerkant je ilikuepo amakweli ujinga mzigoIsrael anakalia ardhi za mababu zake wala hakuna taifa au dola lililowahi kuitwa palestina hata qoroani haijataja palestina popote
Jamaa huyo akili hanaTanzania tumewahi kuwa na nchi kabla ya wakoloni? Embu ondoa upumbavu humu.
Kabla ya mwaka 1948 magaidi wakiyahudi walikua wanaishi wapiMandela alipigania uhuru wa nchi yake
Israel ni nchi ya waisrael sio wapalestina
Wapalestina ni wavamizi
Hakuna taifa duniani la Palestina halijawahi kuwepo pale.
Nani amesema hayo ? Mimi binafsi ugaidi ni njia zinazotumiwa na watu kufanikisha lengo lao na kama mbinu hizo zinaangamiza Civilians basi hao ni magaidi na kwa kuongelea Mandela hivi unajua mpaka 2013 alikuwa katika baadhi ya list za magaidi ?Mbona Mandela alitumia hizo mbinu huwa hatumuiiti gaidi? Au mbona Israel inatumia mbinu hizo hizo kuua viongozi wa Iran mnaita ujasusi ila wakifanya hivyo nchi za kiarabu mnaita magaidi!!