Naam anachofanya sasa ni ugaidi ingawa alichofanyiwa na Hitler au kipindi cha vita vya siku sita haikuwa ugaidi, na ndio maana alijizolea admirers na sympathizers dunia nzima.., ila hiki anachofanya sasa matunda yake sio tu hasara kwake bali she is not making the world a safer place...Gaidi wakwanza israhell bila israhell Dunia ingekua mahala salama sana pamoja na Americant
According to the best of my knowledge,and according to the best of information I have,and according to the best of diffent articles which I read ,I have realized Islamic believes and teaching are no.one terrorist in our planetGaidi wakwanza israhell bila israhell Dunia ingekua mahala salama sana pamoja na Americant
All the beliefs if believed without any reasoning leads to fundamentalism..., Persians and other Arab countries used Islam to unite people and fight against their so called enemies just like St Constantine said he had changed his faith and become a Christian thus uniting all Christians to fight against their so called enemies..., thus no much difference between the two....; People using it for their own political benefits...According to the best of my knowledge,and according to the best of information I have,and according to the best of diffent articles which I read ,I have realized Islamic believes and teaching are no.one terrorist in our planet
Embu tufafanulie israel imewahi wapi kuanzisha vita kama sio inachokozwa kwanza?Gaidi wakwanza israhell bila israhell Dunia ingekua mahala salama sana pamoja na Americant
Yaani israel ndio taifa pekee linalochangia na magaidi wa mataifa 7 ili wamfute halafu anaitwa mchokozi?Gaidi wakwanza israhell bila israhell Dunia ingekua mahala salama sana pamoja na Americant
Upuuzi wao unatufikia huku..., Kuna watu walilipua Ubalozi wa Marekani, Tanzania na Kenya sababu ya Chuki na USA...
Tushachoka na mambo yao, wanyoshane tu...Upuuzi wao unatufikia huku..., Kuna watu walilipua Ubalozi wa Marekani, Tanzania na Kenya sababu ya Chuki na USA...
Zamani USA ilikuwa kupanda ndege ni kama daladala ila baada ya September 11 check ups zikawa nyingi..., Upuuzi wa Israel kutumia zile Pager zinaweza kufanya watawala kwenye nchi tofauti kuacha kuagiza bidhaa za nje kwa kuepuka so called infiltration...
In short kinachoendelea does not make the World a better Place..., far from it...
Hata Mandela alikuwa gaidi.., ugaidi sio kile unachokiamini au rangi yako bali ni mbinu unazotimia..., kama mbinu hizo zina terrolize basi wewe ni terrorist...Hata history wengi hawaijui
Mmelishwa chuki na kuingia mazima
Wakenya walipodai haki yao baada ya wahamiaji kutoka europe na 🇺🇸 kuchukua mashamba ya hekari million 7.5
Wananchi waliuwawa zaidi ya laki moja na kuitwa Magaidi
Acheni kukariri na kufuata chuki za wazungu kuwa kila anaedai haki yake ni Gaidi
Kama isingekalia ardhi za palestina ungeona hiki kinacho endelea Leo hapo MEEmbu tufafanulie israel imewahi wapi kuanzisha vita kama sio inachokozwa kwanza?
Ugaidi; Terrorizing nadhani sio kile unachogombania kama kina tija au hapana bali ni means za kupata kile kitu..., mfano mnaweza mkawa kabisa mnapigania haki yenu ila kwa kufanya hivyo mnateka watu wasio na hatia na kuwachinja (the means you are using is terror hence terrorizing)Palestina wanapigania uhuru wa nchi yao.
Tangu zamani watu wakipigania uhuru wao huitwa magaidi.
Ilikuwa hivyo kwa Frelimo, ANC, ZANU PF, Swapo nk.
Adolf Hitler aliua mamilioni ya Wayahudi, chakushangaza kile kilichofanywa na Hitler miaka 80 iliyopita ndicho kinachofanywa na Mayahudi kwa Wapalestina, lakini Dunia imekaa kimya.