Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Lini Majaliwa alijitoa sukuma Gang….?? Huyu si ndiyo alipewa nafasi ya kuzunguka nchi nzima kwenye kampeni Mwaka 2020.
Huyuhuyu ambaye alikuwa hapindui hata kwa mwenye Dar Es salaam yake???
 
Jamaa sio muadilifu hata kidogo, uzalendo anaouamini ni kuning'iniza skafu na tai mfano wa bendera ya taifa ili hali mbadhilifu na mtapanyaji mkubwa wa mali za umma hasa anapopatia nafasi!

Akimaliza na huyo mnyiramba ahamie kwa yule msambaa aliyegeuzwa mpiga debe wa gas ya Rostam, ameshindwa kuisimamia na kuishauri TPDC ku come up mipango endelevu ya kuwa na product ya gas ambayo i thought ndo ingekuwa iitwe taifa gas!

Sawa ameshindwa kuishauri TPDC, Je kwenye ameshindwa kunadi gas ya wabia wakubwa wa serikali kwenye mambo ya nishati kwa ujumla ambapo kwa kufanya vile angeinufaisha serikali pia.

Mama Samia akumbuke kuwa kuna watu wameingia kwenye lile baraza kimkakati na aghalabu asipotizama watazamisha jahazi.

cheza vzr mama na yule wa ardhi pia, sio wema kwako watakuharibia!!!
 
Kwani kuna uhusiano gani kati yake huyo kiongozi na huyo mama?
 
Serikali ikianza na PM kwa kuwa ni dagaa hata Papa watashtuka siku zote kamba hukatikia pembamba.

Hakuna bunge lenye jeuri ya kumtoa Gaddafi waziri mkuu kura. Ingekuwa wameingia madarakani kwa kura halali wangekuwa na jeuri hiyo.
 
Chungulia jikoni utuletee ukweli wa hili maana una mengi sana nyuma ya pazia

Siku hizi hana access hiyo, na yeye anavizia tetesi humu humu jf. Waliokuwa wanampa za jikoni wote wamestaafu.
 
Duh, hii nchi ngumu sana.... Anyway tusubirie yajayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…