Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Katika maisha ukiwa mwema sana watu wanatumia fursa hiyo kukudidimiza. Ila ukiwa umepinda unaachwa either kwa kupuuzwa au wakidhani huna thamani.
 
HYule mwamba humuwezi muda wote kalewa tungi
mambo yake ni kubahatisha bahatisha tu ila anatoboa

Zile movie jamaa alizitendea haki..na hii ya kwenye avatar yangu!
Hahaha yeye kaigiza lakini
 
Inahusu story ya mahusiano ya kimapenzi baina ya watu wawili waaliopendana kwa miongo miwili yaan zaidi ya miaka 20 kisha wakaja wakaachana ndani ya siku 1 tu,

VERBOSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…