Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

Hakuna mtu mwenye akili timamu duniani atapigia kura umagufulification wenu huo.

Watanzania hawako tayari kuongozwa na utawala wa kinyama tena.

Uzuri Mungu katuokoa na huo ushenzi.

Never Never Never again.
 
Mwambie mtoto wako shujaa wa africa ni mmoja tuu alitokea Tanzania mpaka baraza la umoja wa mataifa kuket kuheshimu uongozi wake uliotukuka wazungu sio wapumbavu kama wewe na watu wa aina yako
Shujaa wa nini?
 
Katika harakati za kuua legacy ya mwendazake wanasahau kua yeye ametangulia wanasahau kufanya wanayopaswa kufanya sasa wakiwa wameshika madaraka...
Ipo siku hata miti itaongea pumzika kwa amani mwamba wa africa
Kwanini wasumbuke na mfu ?
 
Tuliza ball Statesman. Hata awamu ya tano ilikuwa busy kubonyeza undo button ya mambo ya awamu ya nne. Ndiyo maisha yalivyo, asiyekuwepo na lake halipo.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu duniani atapigia kura umagufulification wenu huo.

Watanzania hawako tayari kuongozwa na utawala wa kinyama tena.

Uzuri Mungu katuokoa na huo ushenzi.

Never Never Never again.
Bro time will tell the new version of magufuli is on the wey
 
Aliongoza nchi katika uhalisia kwa vitendo na maneno hakuwa muumini wa polifix hio ndo shida muulize mwanao raisi wa Tanzania ni nani atamtaja mwamba wa africa alijaa kwenye mioyo ya watu amekufa kwa heshima hayupo lakini anaishi pamoja nasi
Mioyo ya wengi ?
 
Kwanza hongera sana kwa kujua kuna makosa yanarekebishwa
 
Ndo utumbo uliofikiria kuandika.. Ccm mnatesekaje..[emoji23][emoji23]
 
Mioyo ya wengi ?
Yes ukiwepo moyo wako mkuu najua ukikaa peke yako unashukuru maisha ya jpm kwa siri lakini amini nakwambia yote yanayofanyika sirini yatajulikana siku moja
 
Ingewapa tabu sana wao kupata political will from the voters wasipofanya hii kitu kwakua jamaa ameacha alama kubwa mnoo
Mauaji na Mateso ni alama kubwa sana kwa wanadamu hayo ndiyo unataka yatumike kama agenda ya kutafutia kura ?
 
Wajinga kama wewe bado wengi,ona matakataka uliyoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…