Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hakuna mtu mwenye akili timamu duniani atapigia kura umagufulification wenu huo.Yani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke.
Watanzania hawako tayari kuongozwa na utawala wa kinyama tena.
Uzuri Mungu katuokoa na huo ushenzi.
Never Never Never again.