FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Umemsikiliza alichosema kwamba ni hicho, au lugha ni tatizo?Naungana nae mkono umasikini wetu umesababishwa na sisi wenyewe na sio wao.
Watawala wa kiafrica ndio chanzo cha waafrika kuwa masikini na ndio chanzo cha waafrika kudharaulika.
Msikilize vizuri."sisi ndio fault ya matatizo yetu"Umemsikiliza alichosema kwamba ni hicho, au lugha ni tatizo?
Kasema wao wazungu kazi yao ni kutuaminisha waafrika kwamba haya yanayotukumba sisi ndio chanzo bila kujua kwamba kila wanachofanya wao kinalengo la kuturudisha nyuma.., anyway, kila anaeielewa hiyo lugha asikilize.., inawezekana mi naona 9 we unaona 6Msikilize vizuri."sisi ndio fault ya matatizo yetu"
Nimepoint mikopo , ila kaongelea mifumo yote ya kitaasisi kwamba ina lengo moja tu. Moja ya taasisi hizo ni zile za mikopo, lengo lake Rais wetu analijua?!Brother shida ya Africa sio kukopa...
Kukopa hata huku mtaani kunawanaokopa na kutoboa na wapo wanaokopa na kuanguka, mikopo yote huwa na masharti magumu tu, issue ipo kwenye akili ya mkopaji na kichwa chake..
Shida ya Africa na WaAfrica iko kichwani, imeanzia kwenye ubongo, Tatizo hili lipo kwa WaAfrica wote, kuanzia viongozi mpaka raia wa kawaida..
Maendeleo yana stages, hakuna shortcut, lazima uzipitie zote na kuzifaulu..ukiruka stage lazima uteseke huko mbele.
Africa tumeruka stages kadhaa huko nyuma ikiwemo moja ambayo ndio muhimu na ndio daraja la transformation ya kila mahala, STAGE YA KUTESEKEKA, KUFA, KUUMIA TUKIJENGA MATAIFA YETU, stage hii WaAfrica hawaitaki lakini ndio stage inayofanya akili ziwe active na watu wake na mentality za kujitegemea.. HAKUNA LAINI LAINI KUYAFIKIA MAENDELEO..
Unaweza kuniambia ni nani amebisha hilo? Au ni nani kahoji juu ya familia zinazoendesha dunia?Familia tano zinazomiliki dunia ni
1.The Rotchchild family... USA
2.The Rocefeller family
3.The Oppenheimer family
4.The Warburg family
5.The Dupont family.
Hawa ndio wanacontrol uchumi na siasa ulimwengu pote.
Ni top illuminati family ndio wanamiliki bank ya Dunia, IMF, media zote kubwa duniani, madini, mafuta na raslimali zote za dunia ni zao.
Wao ndio upanga bei, wapanga sera na ajenda zote.
AlisemajeUnaweza kuniambia ni nani amebisha hilo? Au ni nani kahoji juu ya familia zinazoendesha dunia?
Anyway, turudi kwenye mada, baada ya kuona hii video, anaweza kudiriki kurudia ile kauli yake juu ya mikopo?
Alisema akipata nafasi ya kukopa atakopa tena, kama kwamba hao wanaotukopesha wanatupenda sana, ili hali lengo lao lipo kwenye hiyo videoAlisemaje
Ukishasema raisi, unatakaje watu waachane nae? Hakuna mtu aliyemtuma kuwa rais, hivyo Kama Kuna lawama au pongezi ni haki ya wananchi woteEmbu achana na Rais,fanya mambo yako.watafutie wanao ugali wale basi, Rais embu achana nae tafadhali.
Huwa nasononeka sana kumuona mtu nnayeamini amesoma akiamini na kuyasadiki mashudu anayoyasoma mtandaoni..Eti familia za kiluminati,mara et zinamiliki dunia,Familia tano zinazomiliki dunia ni
1.The Rotchchild family... USA
2.The Rocefeller family
3.The Oppenheimer family
4.The Warburg family
5.The Dupont family.
Hawa ndio wanacontrol uchumi na siasa ulimwengu pote.
Ni top illuminati family ndio wanamiliki bank ya Dunia, IMF, media zote kubwa duniani, madini, mafuta na raslimali zote za dunia ni zao.
Wao ndio upanga bei, wapanga sera na ajenda zote.
Huwezi elewa wewe unadhani haya mambo mara corona, ugaidi,uzazi wa mpango nk yanajitokeza tu.Huwa nasononeka sana kumuona mtu nnayeamini amesoma akiamini na kuyasadiki mashudu anayoyasoma mtandaoni..Eti familia za kiluminati,mara et zinamiliki dunia,
pole sana brother,ila dunia nnayoishi mimi haimilikiwi na binadamu yoyote yule,labda unayoishi wewe