Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?

================================
Update: 15/02/2022

================================
Update: 19/02/2022

Njia pekee ya afrika kuendelea ni kununua management nje ndio ije isimamie mambo ya uchumi.

Hiki wamefanya wenzetu waarabu. Mameneja, wataalamu, wasimamizi wa miradi, ni wazungu , masales people
wahindi ndio wamejaa, madada wa Kazi maphilipines ndio wengi.

Waarabu wao wamekaa.
So hata sisi tufanye hivyo. Mashirika yote, miradi yote wapewe foreigners waendeshe.
 
Msikilize vizuri."sisi ndio fault ya matatizo yetu"
Kasema wao wazungu kazi yao ni kutuaminisha waafrika kwamba haya yanayotukumba sisi ndio chanzo bila kujua kwamba kila wanachofanya wao kinalengo la kuturudisha nyuma.., anyway, kila anaeielewa hiyo lugha asikilize.., inawezekana mi naona 9 we unaona 6
 
Brother shida ya Africa sio kukopa.

Kukopa hata huku mtaani kunawanaokopa na kutoboa na wapo wanaokopa na kuanguka, mikopo yote huwa na masharti magumu tu, issue ipo kwenye akili ya mkopaji na kichwa chake..

Shida ya Africa na WaAfrica iko kichwani, imeanzia kwenye ubongo, Tatizo hili lipo kwa WaAfrica wote, kuanzia viongozi mpaka raia wa kawaida. Maendeleo yana stages, hakuna shortcut, lazima uzipitie zote na kuzifaulu..ukiruka stage lazima uteseke huko mbele.

Africa tumeruka stages kadhaa huko nyuma ikiwemo moja ambayo ndio muhimu na ndio daraja la transformation ya kila mahala, STAGE YA KUTESEKEKA, KUFA, KUUMIA TUKIJENGA MATAIFA YETU, stage hii WaAfrica hawaitaki lakini ndio stage inayofanya akili ziwe active na watu wake na mentality za kujitegemea.. HAKUNA LAINI LAINI KUYAFIKIA MAENDELEO..
 
Brother shida ya Africa sio kukopa...
Kukopa hata huku mtaani kunawanaokopa na kutoboa na wapo wanaokopa na kuanguka, mikopo yote huwa na masharti magumu tu, issue ipo kwenye akili ya mkopaji na kichwa chake..

Shida ya Africa na WaAfrica iko kichwani, imeanzia kwenye ubongo, Tatizo hili lipo kwa WaAfrica wote, kuanzia viongozi mpaka raia wa kawaida..

Maendeleo yana stages, hakuna shortcut, lazima uzipitie zote na kuzifaulu..ukiruka stage lazima uteseke huko mbele.
Africa tumeruka stages kadhaa huko nyuma ikiwemo moja ambayo ndio muhimu na ndio daraja la transformation ya kila mahala, STAGE YA KUTESEKEKA, KUFA, KUUMIA TUKIJENGA MATAIFA YETU, stage hii WaAfrica hawaitaki lakini ndio stage inayofanya akili ziwe active na watu wake na mentality za kujitegemea.. HAKUNA LAINI LAINI KUYAFIKIA MAENDELEO..
Nimepoint mikopo , ila kaongelea mifumo yote ya kitaasisi kwamba ina lengo moja tu. Moja ya taasisi hizo ni zile za mikopo, lengo lake Rais wetu analijua?!

Pia wewe ni taahira? unaposema stage ya kuteseka, kufa, kuumia unamaanisha nini? Waafrika waioenda kuuzwa utumwani hawakuumia, mateso waliyopotia waAfrica toka kwa wakoloni hawakuumia? Hata sasa watu kama akina Patrice Lumumba na wengine wengi waliouawawa wakipigania nchi zao hatujaumia? Anyway, turudi kwenye mada
 
Namuona kama anafakamia kukopa tu bila kujali hiyo mikopo itakuja lipwa vipi na athari zake!

Ameagiza ndege kama sifa bila hata kufanya cost:/benefit analysis!! Ndege zilizopo haziendi hata South Africa na Ulaya kuogopa kukamatwa sababu ya madeni; hizo mpya zitakwenda mwezini?
 
Familia tano zinazomiliki dunia ni
1.The Rotchchild family... USA
2.The Rocefeller family
3.The Oppenheimer family
4.The Warburg family
5.The Dupont family.
Hawa ndio wanacontrol uchumi na siasa ulimwengu pote.
Ni top illuminati family ndio wanamiliki bank ya Dunia, IMF, media zote kubwa duniani, madini, mafuta na raslimali zote za dunia ni zao.
Wao ndio upanga bei, wapanga sera na ajenda zote.
 
Unaweza kuniambia ni nani amebisha hilo? Au ni nani kahoji juu ya familia zinazoendesha dunia?

Anyway, turudi kwenye mada, baada ya kuona hii video, anaweza kudiriki kurudia ile kauli yake juu ya mikopo?
 
Alisemaje
 
Embu achana na Rais,fanya mambo yako.watafutie wanao ugali wale basi, Rais embu achana nae tafadhali.
 
Embu achana na Rais,fanya mambo yako.watafutie wanao ugali wale basi, Rais embu achana nae tafadhali.
Ukishasema raisi, unatakaje watu waachane nae? Hakuna mtu aliyemtuma kuwa rais, hivyo Kama Kuna lawama au pongezi ni haki ya wananchi wote
 
Familia tano zinazomiliki dunia ni
1.The Rotchchild family... USA
2.The Rocefeller family
3.The Oppenheimer family
4.The Warburg family
5.The Dupont family.
Hawa ndio wanacontrol uchumi na siasa ulimwengu pote.
Ni top illuminati family ndio wanamiliki bank ya Dunia, IMF, media zote kubwa duniani, madini, mafuta na raslimali zote za dunia ni zao.
Wao ndio upanga bei, wapanga sera na ajenda zote.
Huwa nasononeka sana kumuona mtu nnayeamini amesoma akiamini na kuyasadiki mashudu anayoyasoma mtandaoni..Eti familia za kiluminati,mara et zinamiliki dunia,
pole sana brother,ila dunia nnayoishi mimi haimilikiwi na binadamu yoyote yule,labda unayoishi wewe
 
Huwezi elewa wewe unadhani haya mambo mara corona, ugaidi,uzazi wa mpango nk yanajitokeza tu.
Unadhani bei za madini, mafuta,nk zinajipangia tu pole
 
Back
Top Bottom