Nadhani kwa ridhaa ya Kanisa lake anaweza kuwaNauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
Tumsifu Yesu Kristu 🙏
Kanisa Katoliki ni moja ulimwenguni kote!Nadhani kwa ridhaa ya Kanisa lake anaweza kuwa
sasa na hao watakao taka kufanya siasa hawana budi kuasi kanisa.Dr Slaa aliasi ili aoe.
Siasa alianza baadae sana!
Anaweza akitaka lakini akiamua kuingia kwenye siasa atavuliwa upadre na uaskofu isipokuwa Kama Kuna mazingira ambayo Vatican (papa) ataona aruhusu.Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
Usiamini stori za kijiweni soma semi-biography take ya "NYUMA YA PAZIA".Dr Slaa aliasi ili aoe.
Siasa alianza baadae sana!
Acha kumsema mzee wa mkono wa baunsa.Pia na wengine wakishajitangaza kuwa maaskofu wanajitangaza pia kuwa wanacheza filamu za ngono
Kwanza askofu wa Kanisa Katoliki akigombea ubunge anakuwa amejishusha sana, ni sawa na rais agombee udiwani. Pili Kanisa haliruhusu maaskofu na mapadre kuchukua nafasi za kisiasa labda kwa ruhusa maalumu ya Papa. Kuna askofu Amerika ya Kusini aliruhusiwa na Papa kuwa rais wa nchi kwa rukra maalumu na katika mazingira maalumu. Nafikiri ilikuwa kipindi cha mpito tu. Mara nyingi njaa ndio zinazowapeleka watu kugombea nafasi za siasa. Wahudumu wa Kanisa Katoliki hawana njaa hizo.Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
Labda anauwaza u-Chakwera.Watu sijui kwanini tumeumbwa na kutoridhika. Huyu jamaa angejua angebaki na uchungaji kondoo wake tu mambo ya siasa angeyaacha tu au kama anahisi ni lazima kufanya siasa basi angekuwa low profile. Yale madudu yake ya mapicha ya uchi yatachokonolewa upyaaaaaaaaaaaa yaani. Kama alifanikiwa kuyazima kipindi kile ajiandae kwa maushahidi mapya sasa hivi.
Sijui ubunge unakiwaga na nini sijui, huyu mbona ameshafanikiwa tu hadi hapo alipo, anahisi akiwa mbunge atakuwa na pesa kuliko sasa? Au umashuhuri wake utaongezeka? Mbona ameshapiga bao sana tu hapo alipo.
Slaa hakuwa Askofu. Pia wakati anaingia katika siasa alishaacha na upadre. Sasa watu wanatamani kujua kama ni fear Askofu kuwa Mbunge katika nyakati za sasa.Kwani mzee Slaa anasemaje??
kwa katoliki lazima afanye uasi dhidi ya kanisaSlaa hakuwa Askofu. Pia wakati anaingia katika siasa alishaacha na upadre. Sasa watu wanatamani kujua kama ni fear Askofu kuwa Mbunge katika nyakati za sasa.
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
👏👏Kwanza askofu wa Kanisa Katoliki akigombea ubunge anakuwa amejishusha sana, ni sawa na rais agombee udiwani. Pili Kanisa haliruhusu maaskofu na mapadre kuchukua nafasi za kisiasa labda kwa ruhusa maalumu ya Papa. Kuna askofu Amerika ya Kusini aliruhusiwa na Papa kuwa rais wa nchi kwa rukra maalumu na katika mazingira maalumu. Nafikiri ilikuwa kipindi cha mpito tu. Mara nyingi njaa ndio zinazowapeleka watu kugombea nafasi za siasa. Wahudumu wa Kanisa Katoliki hawana njaa hizo.
Mkubwa, umefunga thread... Ubarikiwe sana. Nadhani mtoa mada keshapata jibu maridhawa kabisaCanon Law No 285(3): "Clerics (bishops, priests and deacons) are forbidden to assume public office whenever it means sharing in the exercise of civil power."
Practically, ukiliwaza jimbo kuu katoliki la Dar lenye wabunge kadhaa, lina askofu mmoja... AU jimbo kuu katoliki la Songea lenye majimbo kadhaa ya kisiasa, lina askofu mmoja, hivyo kieneo, kwenda kwenye ubunge ukitokea kwenye uaskofu ni kupunguza ukubwa wa eneo unalolitawalaKwanza askofu wa Kanisa Katoliki akigombea ubunge anakuwa amejishusha sana, ni sawa na rais agombee udiwani. Pili Kanisa haliruhusu maaskofu na mapadre kuchukua nafasi za kisiasa labda kwa ruhusa maalumu ya Papa. Kuna askofu Amerika ya Kusini aliruhusiwa na Papa kuwa rais wa nchi kwa rukra maalumu na katika mazingira maalumu. Nafikiri ilikuwa kipindi cha mpito tu. Mara nyingi njaa ndio zinazowapeleka watu kugombea nafasi za siasa. Wahudumu wa Kanisa Katoliki hawana njaa hizo.
Na ndiyo maana, maparokia mbalimbali yalishawahi kufiwa na maparoko wao, lakini maparokia hayo yapo vile vile... Lao hii mtazame Kakobe na kanisa lake...Gwajima ile ni sawa na NGO binafsi,Policy,sheria na miongozo ya kanisa anatunga yeye.....so anaweza kufanya vyovyote vile maana kila kitu kipo chini yake,hao wengine wanaongozwa na sheria na kanuni zilizowekwa