Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

Ulisoma St. Francis , Kasita Seminary , Yerusalem Mji wa Amani ?
 
Toka Ile video yake ya ngono waumini walimkimjia na sadaka imekata
 
In short hata kifedha. Askofu huwezi kumfananisha na mbunge.
 
Kama kuna Kanisa lenye Watu very Intelligent and Intellectuals duniani ni la Katoliki. Hawana wala hawatokuwa na huu Upumbavu wa wengineo.
Upo very true.Kwa kuongezea ni kwamba kanisa katoliki ndilo linalo regulate masuala ya kisiasa na kiuchumi kwa weledi wa hali ya juu bila kuonekana hivi physically
 
Upo very true.Kwa kuongezea ni kwamba kanisa katoliki ndilo linalo regulate masuala ya kisiasa na kiuchumi kwa weledi wa hali ya juu bila kuonekana hivi physically
Wakatoliki mnajipa promo sana.
 
All over the world mkuu ! soma chimbuko la JESUITS ndani ya kanisa katoliki.Jesuits are there for special and unique invisible mission.Haya mambo ni ngumu kuelezea lakini mkuu trust me,Im not here to mislead you but merely to make you to be aware of things that are operating beyond human reasons,ni hivyo mkuu
Hilo wazo lako lina work kwa Tanzania tu au hata nchi nyingine ?
 
Unaweza kuitumia Marekani kama case study katika kuielezea hiyo program ya church control in world politics ?
 
Naweza kuitumia Marekani kama case study BUT the gist here is that the Roman Catholic Church ina special place in terms of INFLUENCE and SHAPING the world at large
Unaweza kuitumia Marekani kama case study katika kuielezea hiyo program ya church control in world politics ?
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa Moslow's hierarchy of needs!! Ngazi ya juu kabisa ya mtu kulizika inaitwa "SELF ACTUALIZATION" ipo kwny fundi la growth needs ambalo linasema hivi "Growth needs do not stem from a lack of something, but rather from a desire to grow as a person. Once these growth needs have been reasonably satisfied, one may be able to reach the highest level called self-actualization."
Binafsi sidhan kama Lowasa aligombea uraisi 2015 kwaajili ya kutafuta pesa na siamini kama Gwajima kuingia kwenye siasa nae anatafuta pesa bali ni SELF ACTUALIZATION.
 
Tafuteni kwanza ufalme wa mbingu na mengine yote mtapewa kwa ziada
 
Mbona hamubatizi kwa maji mengi kama ambavyo petro alifanya?
Kwanijuavyo kanisa katoliki linachukulia maji Kama ishara haijalishi uwingi au eneo yalipo.
Kanisa linaruhusu ubatizo uwe wa maji mengi au machache kwa kuamini tendo la ubatizo linatendeka rohoni na nnje zinabaki ishara Za wazi.
Kwamba Kama Sehemu hakuna mto basi watu wasibatizwe?
Ubatizo katika hatari ya kufa unaweza kufanyika na muumini yoyote kikubwa ni imani ya mbatizwa.
Sacrament inategemea zaidi mpokeaji sio mtoaji wala mazingira wala vifaa vilivyotumika.
 
Yohana 3:5 Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.)

Hilo fungu Yesu anatoa Amri ya kwamba mtu asipozaliwa kwa maji hawezi kuingia Ufalme wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…