Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

"Hupewa na papa" hii sentesi ndio nikamuuliza kwani papa ni MUNGU? Kama sio MUNGU Basi Hakuna jipya,Sasa Nani Alie kurupuka Kama sio wewe kilaza[emoji23][emoji1787][emoji2960]
We ndie umeolewa na kilaza mwenzio
 
Sawa, lakini sidhani kama ukitaja 'dini' una'exclude' imani. Kwa hiyo, unapoongelea 1) serikali 2) dini (kwa upande wangu ni pamoja na imani) na 3) siasa. Mfano, kiongozi wa kiroho/dini/imani akihubiri na kusema "viongozi au watumishi wa umma wajitahidi kutenda haki", kwangu yuko sahihi kwa sababu ujumbe wake unaenda kwa audience yake aliyoilenga au pia kwa watu wengine watakaoguswa na ujumbe huo. Watu wengine wakisikia hivyo huwa wanadai "kiongozi wa kiroho/dini/imani leo amechanganya dini na siasa." Lakini pia mwanasiasa akisema "viongozi wa dini/kiroho/imani mtuongoze vizuri maana kuna wakati mnatuchanganya kwa kuacha kuishi mliyoapa kuyatimiza" kwangu pia ni sahihi, lakini kuna baadhi ya watu watadai 'leo mwanasiasa kachanganya siasa na dini'. Ndiyo maana nikasema 'a well-integrated person/religious leader/politician' anaishi without dualism - yaani ni yuleyule akiwa upande wa siasa au dini na anajua lugha gani atumie ili ujumbe wake ufike kwa hadhira aliyokusudia na akifanya hivyo anakuwa ametimiza wajibu wake. Na hapa ndipo niliposema dini/imani na siasa vinamhusu mtu ambaye kwa upande mmoja anaweza kuwa anaamini katika imani fulani na kwa upande mwingine ni mwanasiasa.
Neno 'imani' ni neno lenye tafsiri mtambuka, linatumika kwenye dini na kwingineko. Japokuwa imani ndio msingi wa dini ukilinganisha na litakavyotumika sehemu nyingine.

Nakushauri, weka wigo wa chambuzi zako na ziwe fupi.
 
Papa ni binadamu kama binadamu mwingine.mi nlidhani uaskofu wanazaliwa nao. Kwanza anzia nini maana ya askofu. Kupewa na papa,pweza au nguru huo ni utaratibu ambao watu wanaweza jiwekea

Acha ubishi usio na tija.Huo utaratibu waliojiwekea ndiyo huo utaratibu thabiti unaotumika.Mbona wengine hawakujiwekea?
 
Papa ni binadamu kama binadamu mwingine.mi nlidhani uaskofu wanazaliwa nao. Kwanza anzia nini maana ya askofu. Kupewa na papa,pweza au nguru huo ni utaratibu ambao watu wanaweza jiwekea
Ndio wameweza kujiwekea na umefanikiwa kupitia Mungu mwenyewe aliyeweka kupitia watu hao! Usiforce ubishi

Chizi Jinga
 
Papa ni binadamu kama binadamu mwingine.mo nlidhani uaskofu wanazaliwa nao. Kwanza anzia nini maana ya askofu. Kupewa na papa,pweza au nguru huo ni utaratibu ambao watu wanaweza jiwekea
Uchizi wako unakufanya ujione unajua mambo kumbe mjuaji 0.Hujui maana ya pope ni supreme pontiff na vicar of christ au mwakilishi wa Yesu mwenyewe na mamlaka ya kufunga na kufungua jambo duniani alikabidhiwa.Sasa unapoforce kwamba mkuu wa wilaya hawezi kuamrisha ulale ndani kisa sio rais mbona utapona uchizi [emoji1]
 
Papa ni binadamu kama binadamu mwingine.mi nlidhani uaskofu wanazaliwa nao. Kwanza anzia nini maana ya askofu. Kupewa na papa,pweza au nguru huo ni utaratibu ambao watu wanaweza jiwekea

Ndio wameweza kujiwekea na umefanikiwa kupitia Mungu mwenyewe aliyeweka kupitia watu hao! Usiforce ubishi

Chizi Jinga
 
Mwakilishi wa Yesu ni Roho Mtakatifu. Papa ni papa tu mtu mmoja kama mimi na weww sema yeye ana ngozi nyeupe. Acha ubwege.

Uchizi wako unakufanya ujione unajua mambo kumbe mjuaji 0.Hujui maana ya pope ni supreme pontiff na vicar of christ au mwakilishi wa Yesu mwenyewe na mamlaka ya kufunga na kufungua jambo duniani alikabidhiwa.Sasa unapoforce kwamba mkuu wa wilaya hawezi kuamrisha ulale ndani kisa sio rais mbona utapona uchizi [emoji1]
 
Uchizi wako unakufanya ujione unajua mambo kumbe mjuaji 0.Hujui maana ya pope ni supreme pontiff na vicar of christ au mwakilishi wa Yesu mwenyewe na mamlaka ya kufunga na kufungua jambo duniani alikabidhiwa.Sasa unapoforce kwamba mkuu wa wilaya hawezi kuamrisha ulale ndani kisa sio rais mbona utapona uchizi [emoji1]
Unaweza kudhibitisha kuwa papa ni muwakilishi wa Yesu kwa kutumia biblia?

Pia hayo mamlaka ya kufunga na kufungua jambo duniani alipewa na nani? Jibu kwa kutumia biblia

Mbona papa alishindwa kuzuia corona ndani ya mwezi?
 
Mwakilishi wa Yesu ni Roho Mtakatifu. Papa ni papa tu mtu mmoja kama mimi na weww sema yeye ana ngozi nyeusi. Acha ubwege.
Papa ana ngozi nyeusi ?[emoji15] Kwa hiyo ni kwamba unabishana na Biblia au?.. Mathayo 16 : 18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.” Kwamba Yesu hakujua kwamba tayari ana mwakilishi mpaka ampoint Petro au alikosea? Acha kujifanya mjuaji kwa mambo usiyoyaelewa
 
Unaweza kudhibitisha kuwa papa ni muwakilishi wa Yesu kwa kutumia biblia?

Pia hayo mamlaka ya kufunga na kufungua jambo duniani alipewa na nani? Jibu kwa kutumia biblia

Mbona papa alishindwa kuzuia corona ndani ya mwezi?
Mathayo 16:18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.” Petro ndiye Papa wa kwanza wa Kanisa na mamlaka hayo bado yanabaki mikononi mwa Papa
 
Awe Mungu, awe binadamu, HABAR NDO IYO USHAPEWA TAYARI.
Hilo swali muulize Yesu kwanini kumteua Petro,Kwani naye si binadamu [emoji16] Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.” 20
 
Huu uongo nani kakulisha? Petro si papa na papa si petro.

Mathayo 16:18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.” Petro ndiye Papa wa kwanza wa Kanisa na mamlaka hayo bado yanabaki mikononi mwa Papa
 
Mathayo 16:18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.” Petro ndiye Papa wa kwanza wa Kanisa na mamlaka hayo bado yanabaki mikononi mwa Papa
Soma uelewe petro alimaanisha nini

Soma hili fungu
“Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.

— Matendo ya Mitume 2:38 (Biblia Takatifu

Mateno 10🙁44 Petro alipokuwa akisema maneno hayo Roho Mtakatifu akawashukia wote waliolisikia lile neno.
45 Na wale waliotahiriwa, walioamini, wakashangaa, watu wote waliokuja pamoja na Petro, kwa sababu Mataifa nao wamemwagiwa kipawa cha Roho Mtakatifu.
46 Kwa maana waliwasikia wakisema kwa lugha, na kumwadhimisha Mungu. Ndipo Petro akajibu,
47 Ni nani awezaye kuzuia maji, hawa wasibatizwe, watu waliopokea Roho Mtakatifu vile vile kama sisi?
48 Akaamuru wabatizwe kwa Jina lake Yesu Kristo. Ndipo wakamsihi azidi kukaa siku kadha wa kadha.)

MAFUNGU YOTE HAYO PETRO ANAZUNGUMZIA UBATIZO WA MAJI MENGI

SWALI MBONA PAPA WA SASA ANAPINGANA NA PETRO?
 
Hakuna mtu anayeandaliwa kuwa Askofu bali anaandaliwa kuwa Padre. Na Padre yeyote anaweza kuwa Askofu. Kitu msichokijua ni kwamba hata Pope Francis hana tofauti na padre yeyote bali kile ni cheo kilichowekwa na kanisa. Kuna siku vijana waliobadili dini kutoka uislamu kwenda Ukatoliki walimuuliza padre mmoja anaitwa Padre Peter Morgan, ni paroko wa parokia mmoja Liverpool, kwamba nini tofauti ya yeye na Francis Papa. Akawaambia kwanza wote ni mapadre ila mmoja ni kiongozi wa ngazi ya juu. Hivyo hilo swala la kwamba wanaandaliwa wakiwa wadogo kuwa maaskofu ni uongo wa hali ya juu na uliotukuka.

Maaskofu wanapendekezwa na kwa tabia zao, majina matatu yanapelekwa kwa Pope yeye analichagua moja na kurudisha kwa waliolipeleka na hivyo kuwa Askofu Mteule kabla hajawekwa wakfu. Askofu Filbert Mhasi kwa mfano wa jimbo la Masasi, nilikua naye Seminarini kabla sijaacha na alikua nyuma yangu madarasa manne na nilikua kiranja wake na mpaka anateuliwa hakujua kabisa kama angekuwa Askofu. Hata alipopigiwa simu na mjumbe wa Baba mtakatifu hakujua kwanini alipigiwa simu.

Jaribuni kuandika vitu mnavyovijua ama fanyeni utafiti kabla hamujawadanganya watu hapa kwenye Forums
Masasi?
 
True Askofu wa Kanisa Katoliki ni nafasi kubwa sana na sana...hili halina ubishi kwa anayejua

Ila kukiwa kuna uhitaji wa yeye kuwa mbunge nadhani anaweza kuwa....Catholic Church wana maaskofu ni majenerali wa majeshi

Ungeandika kabisa hapa majina ya Maaskofu wa RC ambao in majenerali wa majeshi.
 
Back
Top Bottom