Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Sheria za kanisa la Gwajima zilitungwa na akina nani?Maaskofu wote wapo sawa tu. Hakuna utofauti wa gwajima na hao maaskofu wakatoliki. Wote wanafuata Sheria zilizitungwa na watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria za kanisa la Gwajima zilitungwa na akina nani?Maaskofu wote wapo sawa tu. Hakuna utofauti wa gwajima na hao maaskofu wakatoliki. Wote wanafuata Sheria zilizitungwa na watu
Una utani na yuleeee mpayu payuPia na wengine wakishajitangaza kuwa maaskofu wanajitangaza pia kuwa wanacheza filamu za ngono
Sijakuelewa,Kwa hiyo uliomba ushahidi wa biblia ili na wewe uje na mstari wa kupinga au nia yako ni ipi? Maana umeuliza sehemu Petro aliyopewa mamlaka,Nami nimekuonyesha.Hayo mengine yanabaki kuwa mengineyo.Hata Papa anabatiza na kusistiza waumini wa Kristo wabatizwe na anamtangaza roho mtakatifu kama roho wa kweli aliyetoka kwa Bwana.Karibu Katoliki ndugu yangu upate mafunzo thabiti kuhusu imani yako,Achana na imani za msimu!Soma uelewe petro alimaanisha nini
Soma hili fungu
“Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.
”
— Matendo ya Mitume 2:38 (Biblia Takatifu
Mateno 10🙁44 Petro alipokuwa akisema maneno hayo Roho Mtakatifu akawashukia wote waliolisikia lile neno.
45 Na wale waliotahiriwa, walioamini, wakashangaa, watu wote waliokuja pamoja na Petro, kwa sababu Mataifa nao wamemwagiwa kipawa cha Roho Mtakatifu.
46 Kwa maana waliwasikia wakisema kwa lugha, na kumwadhimisha Mungu. Ndipo Petro akajibu,
47 Ni nani awezaye kuzuia maji, hawa wasibatizwe, watu waliopokea Roho Mtakatifu vile vile kama sisi?
48 Akaamuru wabatizwe kwa Jina lake Yesu Kristo. Ndipo wakamsihi azidi kukaa siku kadha wa kadha.)
MAFUNGU YOTE HAYO PETRO ANAZUNGUMZIA UBATIZO WA MAJI MENGI
SWALI MBONA PAPA WA SASA ANAPINGANA NA PETRO?
Watu wanajisahaulisha tu...Kwani mzee Slaa anasemaje?
Hili neno halitakiwi kusikika na wazee wa kubeba mabango na mapambioPia na wengine wakishajitangaza kuwa maaskofu wanajitangaza pia kuwa wanacheza filamu za ngono
Mbona hamubatizi kwa maji mengi kama ambavyo petro alifanya?Sijakuelewa,Kwa hiyo uliomba ushahidi wa biblia ili na wewe uje na mstari wa kupinga au nia yako ni ipi? Maana umeuliza sehemu Petro aliyopewa mamlaka,Nami nimekuonyesha.Hayo mengine yanabaki kuwa mengineyo.Hata Papa anabatiza na kusistiza waumini wa Kristo wabatizwe na anamtangaza roho mtakatifu kama roho wa kweli aliyetoka kwa Bwana.Karibu Katoliki ndugu yangu upate mafunzo thabiti kuhusu imani yako,Achana na imani za msimu!
VP KUHUSU MCHUNGAJI PETER MSIGWA?Watu sijui kwanini tumeumbwa na kutoridhika. Huyu jamaa angejua angebaki na uchungaji kondoo wake tu mambo ya siasa angeyaacha tu au kama anahisi ni lazima kufanya siasa basi angekuwa low profile. Yale madudu yake ya mapicha ya uchi yatachokonolewa upyaaaaaaaaaaaa yaani. Kama alifanikiwa kuyazima kipindi kile ajiandae kwa maushahidi mapya sasa hivi.
Sijui ubunge unakuwaga na nini sijui, huyu mbona ameshafanikiwa tu hadi hapo alipo, anahisi akiwa mbunge atakuwa na pesa kuliko sasa? Au umashuhuri wake utaongezeka? Mbona ameshapiga bao sana tu hapo alipo.
Labda kama kuna kanuni/sheria mpya za kanisa Katoliki, Nakumbuka marehemu Padri Severino Supa wa kanisa la Katoliki jimbo la Dodoma, alikuwa mbunge machachari wa TANU mwaka 1975 - 1980, lakini dhahama ilimkuta katika uchaguzi wa mwaka 1980 ambapo aliangushwa na Mchungaji Simon Chiwanga wa kanisa la Anglican, lakini alipambana vilivyo mahakamani akitetewa na wakili marehemu Chambakali, na mwaka 1982 Hukumu ya Judge Marehemu Rukagikingira ikamvua ubunge Chiwanga aliyekuwa akitetewa na wakili Marehemu Mbezi, na uchaguzi uliporudiwa mwaka 1983, Padre Severino Supa akarejea kwenye ubunge wake. Kumbukumbu zangu zinaonyesha kipindi chote Padre Supa alikuwa akiendelea na upadre.Anaweza akitaka lakini akiamua kuingia kwenye siasa atavuliwa upadre na uaskofu isipokuwa Kama Kuna mazingira ambayo Vatican (papa) ataona aruhusu.
Ni Khalfa wa mtume PetroKwani papa Ni MUNGU? Nae si binadamu tu
Hata akiwa khalifa sio MUNGU Ni binadamu tuNi Khalfa wa mtume Petro
duh,sio kwa kujikurupikia hukuKwani mzee Slaa anasemaje?
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
Kanisa Katoliki ni taasisi kubwa na ndiko waliko maaskofu. Daraja la uaskofu ndani ya kanisa hilo ni kubwa mno. Si rahisi kwa askofu wa kikatoliki kuhangaika na Ubunge hata kama amestaafu. Na zaidi haiwezekani kwa askofu aliyeko madarakani kugombea ubunge kwanza atapata wapi muda? Viongozi hawa huwa na ratiba tite mno ya majukumu ya kikanisa. Hawa wengine wa kuamka na kujitanga mwenyewe kuwa ni askofu hawana tofauti na rais aliyeingia madarakani kijeshi maana naye hujitangaza mwenyewe!!!Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Pia na wengine wakishajitangaza kuwa maaskofu wanajitangaza pia kuwa wanacheza filamu za ngono