Gwappo Mwakatobe
R I P
- Nov 22, 2019
- 1,796
- 2,345
Kwa mtu aliyekombolewa kuabudu katika roho na kweli ni siku yoyote na kila siku, si Jumapili tu. Soma Luka 18:1 na Yohana 4:23-24Umekumbolewa asa jumapili unaenda kanisani kufanya nini
Kwa mtu aliyekombolewa kuabudu katika roho na kweli ni siku yoyote na kila siku, si Jumapili tu. Soma Luka 18:1 na Yohana 4:23-24Umekumbolewa asa jumapili unaenda kanisani kufanya nini
huyo luka na yohana wanatokea Igunga au Nyegezi?Kwa mtu aliyekombolewa kuabudu katika roho na kweli ni siku yoyote na kila siku, si Jumapili tu. Soma Luka 18:1 na Yohana 4:23-24
Okay!huyo luka na yohana wanatokea Igunga au Nyegezi?
Kama hawatokei huko, basi watakuwa miungu wa mashariki ya kati, ambao babu yako mzaa bibi hajawahi kuwajua wala kuwasikia......
Hujui maana ya kukombolewaKwa mtu aliyekombolewa kuabudu katika roho na kweli ni siku yoyote na kila siku, si Jumapili tu. Soma Luka 18:1 na Yohana 4:23-24
Hongera unayejua, nakupongezaHujui maana ya kukombolewa
"...Dini za Kiafrika zinafuata imani maalumu, sawa kabisa na hizo za nje ambazo zimeleta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia mapangoni au misituni kama Waafrika walio wengi walivyofanya kwa karne nyingi, zimehimiza kujenga makanisa na misikiti kwa ajili ya kumwabudu Mungu kadiri ya ufunuo wake mwenyewe."Nilikuwa nina swali Bwana Mkubwa. Utamaduni wa kiafrika katika kuamini na kusali ni upi? Naomba jibu kama hutajali mkuu.
Kwa ujinga wako hata hewa utasema ni ya wazunguWe mbona unatumia simu na magari ya wazungu uoni kwamba ni utumwa