Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

Wewe unadhani mtukufu mtume (saw) aliposema tutafute elimu hadi China,ulidhani ni elimu ya dini??.

Wewe unadhani Pia aliposema "kutafuta elimu ni faradhi kwa kila muislamu mwanamme na mwanammke" ilikuwa ni elimu ya dini pekee??

We unadhani Qur'an tukufu ni kitabu cha kumbukumbu za miaka ya maisha ya manabii hadi tukute humo kwamba Mtume fulani na fulani waliishi miaka kadhaa!!

Hayo yanapatikana katika vitabu vya historia (taarikh) na hizo ndizo elimu alizotuagiza mtukufu mtume Muhammad (saw) tukajifunze hata ikibidi tuende China.

Baadaye nitatoa reference (rejea) ya kitabu/vitabu vya historia juu ya miaka (makadirio) aliyoishi Adam (as) hadi hii leo (zama zetu).

Angalizo:- usitukane.
Msumali wa moto sana huu kwa Abuhafsa
 
Nasubiri marejeo ya vitabu hivyo ambavyo natarajia ni vitabu vya huyo alomuumba mtu wa kwanza ambae anajua lini kamuumba na kampa jina gani na alikaa mda gani na wapi,ila kama ni vitabu vya watu tuuh ambao wamekuja baadaye lazima tuhoji walijuaje mambo hayo ikiwa wao wamekuja baadae kama sio makisio tuh?

Alafu nataraji watataja humo kwamba Mtu wa kwanza alikuwa fulani na fulani wala sio Adam kama inavodaiwa,nataraji watasema hivi Kwa sababu si ndo vitabu waviamini.

Pia Usivunge vunge kaka.
We si ndo ulitaka uthibitisho kutoka katika quran kwamba NABII ADAM awe mtu wa mwanzo?

Mbona sasa wakimbilia kwenye vitabu vinginne waiacha quran?

Ama kweli mfamaji haeshi kutapatapa.
Alafu pia hiyo hadithi ya kutafuta elimu mpaka china ni ضعيف موضوع yaani ni hadithi dhaifu tena ya kutungwa wala haina asli kabisa imetungwa tuh haikuthibiti sanadi yake
Unakimbilia katika hadithi dhaifu baada ya kuona quran iko mbali na wewe mkuu?

Hadithi ilo thibiti katika mambo la ilmu ni hii ومن سلك طريقا يلتمس فيه علما سهل الله له طريق الى الجنة

Na mwenye kuiendea njia akatafta ilmu basi Allah atamsahilishia njia ya kwenda peponi.

Mambo ya china umeyatoa katika vitabu gani kati ya vile kutubu sittah vinavyotegemewa?(sina maana unijibu lakini nakuonyesha tu kwamba usikimbilie hadithi dhaifu mkuu)

Wewe mwanzo umejifanya unastadilli na quran na ukataka ushahidi kupitia quran nikakupa adillah mbali mbali ila kwa kuwa الجنون فنون ukajifanya hukuona.
Unadhani sikuziona hadithi za kustadilli nazo?

Ila tu nimeona ikiwa quran wajifanya huielewi na ndyo maneno ya Allah basi nikaona hutoshindwa kujifanya huyaelewi maneno ya Mtume ambae ni mja.sasa uzuri unadhihiri ukweli wako kwa sababu unakimbilia vitabu vya wazungu nakuacha maneno ya mtume wako kuhusu Nabii Adam.

NARUDIA KUSEMA NA KUULIZA WAPI KWENYE QURAN IMETAJA KWAMBA NABII ADAM ALIISHI MIAKA 6000 ILOPITA????

Angalizo:hapa hutukanwi kaka bali unawekwa katika manzila yako tu sema huifurahii.

Hata mwizi akiambiwa mwizi anachukia,mzinifu akiambiwa mzinnifu atachukia hata kama anazini kweli,hivyo tunakuweka katika manzila yako(

Wapi kitabu kitakatifu,cha ukweli,(kwa waislamu)kimesema nabii adam aliishi miaka 6000 ilopita?
 
Mimi sijui kama yupo,na sijakubaliana na fact zinazo sema yupo
.nadhan umenielewa hapo WATU WA DINI WANAAMINI ILA KUAMINIKWAO HAIMAANISHI KUWA KWELI MUNGU YUPO AU HAYUPO ila wanaamini tu kuwa yupo coz ya fact walizo zielewa
Suala lenyewe la uwepo wa Mungu linahitaji imani na si kwamba watu wanaamini tu kwa sababu kumekosekana uthibitisho. Hivyo wewe ambaye haujui kama yupo au hayupo na wale wenye kusema hayupo,nyie wote ni kundi moja la wasioamini Mungu,hamjaona lolote lenye kuwafikirisha hadi mfikie hata kuona kuna uwezekano wa kuwepo Mungu.

Hivyo hadi sasa kusema kuwa hujui kama yupo au hayupo,maana yake haujaona lenye kuhitaji uwepo wake na hivyo uwezakano wa kutokuwepo kwake una make sense kwako kwa sababu hauoni haja ya kuamini uwepo wake na ndiyo unaona suluhisho ni uthibitisho kwa wenye kusema yupo.

Nasisitiza kuwa tatizo sio uthibitisho na ndiyo maana walikuwepo watu aina kama yako na wengine zaidi yako ila sasa wanaamini uwepo wa Mungu,laiti ingekuwa kikwazo ni uthibitisho basi hili lisingewezekana,hivyo kukosa kuona yenye kufikirisha uwepo au uhitaji wa Mungu ndio sababu ya kutokuamini.
 
Hizi ni ndoto juu ya ndoto. How can you explain vitu vya nje ya box wakati wewe umo ndani ya box.
Yaani ni sawa na kuelezea habari za under the see wakati wewe unaishi nchi kavu.
Haya masuala ya vitabu ni kwamba vimeandikwa na watu tu kama sisi wenye uwezo wa kutunga fiction stories.

So we exist because we are not from any source.
 
Kumbe hizi ni ngano tu 😕 😕 afadhali mkuu Annael umekuja huku nitapata jibu....
Sasa je km we are not from any source where we go through death?
 
Mkuu ibilisi hakuwa malaika kwa mujibu wa quran alikuwa katika majini tu kama inavothibitisha quran yenyewe.

Mkuu uislamu ukitumia kufikiri sana pasi na kusoma utaangukia pua tu ndyo mana jamaa wengi wanaanguka na kuidharau dini yao kwa sababu ya kutokuisoma wanaona haieleweki.

Ibilisi hakuna malaika mkuu bali alikuwa katika majini rejeaa

وَإِذْ قُلْنَا لِلْمَلَائِكَةِ اسْجُدُوا لِآدَمَ فَسَجَدُوا إِلَّا إِبْلِيسَ كَانَ مِنَ الْجِنِّ فَفَسَقَ عَنْ أَمْرِ رَبِّهِ ۗ

[ AL - KAHF - 50 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi...)
Soma hio haya tena mkuu hafu niambie kosa la ibilisi kama yeye hakuwa malaika, amevunjaje amri ya Mola wake kwakuwa amri ilikuwa ni kwa malaika sio majini

Huoni hapo haya inajichanganya au tafsiri ya haya haipo vizuri

Hebu jibu nisaidie hapo kiongozi
 
Swali zuri saana
 
Swali zuri sana hili na nimefurahi umeuliza kwa mujibu wa quran yenyewe na quran yenyewe ndo itajibu na atajibu ibilisi mwenyewe...

Ibilisi hakuwa malaika bali alikuwa ni jinni ambae alikaa pamoja na malaika na kufanya amri mbali mbali za Mungu(ibada)na ndiyo maana akahesabika ni katika malaika.

Vipi kuhesabika huku?
Kuna kuhesabika katika malaika kiumbile(الشكلية)
Na kuhesabika katika malaika kimatendo (العملية)

Mfano tukisema waingereza wote wahame bara lao basi bila shaka wapo waingereza kiuraia tu(matendo)na sio kiasili yao(umbile)

Mfano kuna rafiki yangu yupo zanzibar ila ni mtu wa nyumbani kusini. Huko lakini sasa hivi naye ni mzanzibari,ila ni mzanzibar kimatendo tu(mkazi)na wala sio kiasili(umbile,kwa maana hana asili ya huko)

Wapo wahindi ni watanzania ile je ni watanzania kiasili au kimakazi tu?

Mathalan sheria ya tanzania inasema kila mtu alipe kodi,ila kuna mhindi majuzi kakamatwa hajalipa kodi.

Swali linakuja jeee vipi alipe kodi na yeye ni mhindi sio mtanzania?
Yeye muhindi shwria za tanzania zinamuhusu nini?

Kumbe majawabu mepesi ni kuwa yeye keshaingia tanzania hivyo atafata sheria za hapa ambazo zinawahusu watanzania hata kama yeye sio mtanzania.

Kwa hivyo baada ya hapo tunarudi katika mada ni kuwa ibilisi alishakuwa katika himaya tukufu na yeye akifuata ya pale ambayo yakifanywa na malaika,hivyo ilipokuja amri hii naye ilimuhusu hata kama tamko limekuja kwa malaika(kama zinavomuhusu mhindi sheria za tanzania kwa kuwa tu anakaa hapa)

Sasa je ibilisi alipokataa ikawaje?

Anasimulia Mwenyezi asema

قال يا إبليس ما منعك أن تسجد لما خلقت بيدي أستكبرت أم كنت من العالين

[ S'AAD - 75 ]
Mwenyezi Mungu akamwambia: Ewe Iblisi! Kipi kilicho kuzuia kumt'ii yule niliye muumba kwa mikono yangu? Je! Umejiona mkubwa, au umekuwa katika wakuu kweli?

قال ما منعك ألا تسجد إذ أمرتك قال أنا خير منه خلقتني من نار وخلقته من طين

[ AL - A'RAAF - 12 ]
Mwenyezi Mungu akasema: Nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo.

Hapo mola akampa chansi aseme kile ambacho kilichomzuia je akasemaje?

Akasema muulizwaji(ibilisi)

قال أنا خير منه خلقتني من نار وخلقته من طين

[ S'AAD - 76 ]

Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, na yeye umemuumba kwa udongo.

Umeyaona majibu ya ibilisi hayo?
Kumbe alijua kama na yeye amri inamuhusu kwa sababu alikuwa ni katika malaaika kimatendo na sio kijinsia(Asili) na amri nayo imetaka kifanywe kitendo cha kusujudu kwa maana hapo kilichokuwa kinahitajika ni kitendo na sio Asili ya mtendaji.

Akasema tena

قال لم أكن لأسجد لبشر خلقته من صلصال من حمإ مسنون

[ AL - HIJR - 33 ]
Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yenye sura.

Unaona dharau za jamaa huyo bado akawa anatia jeuri

Kwa hivyo amri ya kitendo iliwahusu wote na ndyo mana hata mwenyewe ibilisi akajua hilo na wala hakutia hoja hiyo kwa sababu ni jambo linafahamika.

Mfano mtu ambae anakuja kutalii tu tanzania na kurudihuwezi ukamuambia aende NIDA akasajjili kitambulisho cha mtanzania.

Bali wale waliokaa hapa tanzania kwa muda mrefu wakalowea hapa hao wanajumuishwa ni katika wao.

Ndyo mana hata rais akisema watanzania lipeni kodi basi ujue anahusika na manji muhindi yule na wala hawezi kujitetea akasema mimi sio mtanzania silipi kodi.

والله تعالى أعلم
 
Wewe unadhani mtukufu mtume (saw) aliposema tutafute elimu hadi China,ulidhani ni elimu ya dini??.

Wewe unadhani Pia aliposema "kutafuta elimu ni faradhi kwa kila muislamu mwanamme na mwanammke" ilikuwa ni elimu ya dini pekee??

We unadhani Qur'an tukufu ni kitabu cha kumbukumbu za miaka ya maisha ya manabii hadi tukute humo kwamba Mtume fulani na fulani waliishi miaka kadhaa!!

Hayo yanapatikana katika vitabu vya historia (taarikh) na hizo ndizo elimu alizotuagiza mtukufu mtume Muhammad (saw) tukajifunze hata ikibidi tuende China.

Baadaye nitatoa reference (rejea) ya kitabu/vitabu vya historia juu ya miaka (makadirio) aliyoishi Adam (as) hadi hii leo (zama zetu).

Angalizo:- usitukane.
Ukianzia kwa adam hadi yesu hamna haja ya kuangaika sana biblia ipo clear its about 4000 years
 
Swali zuri sana hili na nimefurahi umeuliza kwa mujibu wa quran yenyewe na quran yenyewe ndo itajibu na atajibu ibilisi mwenyewe...

Ibilisi hakuwa malaika bali alikuwa ni jinni ambae alikaa pamoja na malaika na kufanya amri mbali mbali za Mungu(ibada)na ndiyo maana akahesabika ni katika malaika.

Vipi kuhesabika huku?
Kuna kuhesabika katika malaika kiumbile(الشكلية)
Na kuhesabika katika malaika kimatendo (العملية)

Mfano tukisema waingereza wote wahame bara lao basi bila shaka wapo waingereza kiuraia tu(matendo)na sio kiasili yao(umbile)

Mfano kuna rafiki yangu yupo zanzibar ila ni mtu wa nyumbani kusini. Huko lakini sasa hivi naye ni mzanzibari,ila ni mzanzibar kimatendo tu(mkazi)na wala sio kiasili(umbile,kwa maana hana asili ya huko)

Wapo wahindi ni watanzania ile je ni watanzania kiasili au kimakazi tu?

Mathalan sheria ya tanzania inasema kila mtu alipe kodi,ila kuna mhindi majuzi kakamatwa hajalipa kodi.

Swali linakuja jeee vipi alipe kodi na yeye ni mhindi sio mtanzania?
Yeye muhindi shwria za tanzania zinamuhusu nini?

Kumbe majawabu mepesi ni kuwa yeye keshaingia tanzania hivyo atafata sheria za hapa ambazo zinawahusu watanzania hata kama yeye sio mtanzania.

Kwa hivyo baada ya hapo tunarudi katika mada ni kuwa ibilisi alishakuwa katika himaya tukufu na yeye akifuata ya pale ambayo yakifanywa na malaika,hivyo ilipokuja amri hii naye ilimuhusu hata kama tamko limekuja kwa malaika(kama zinavomuhusu mhindi sheria za tanzania kwa kuwa tu anakaa hapa)

Sasa je ibilisi alipokataa ikawaje?

Anasimulia Mwenyezi asema

قال يا إبليس ما منعك أن تسجد لما خلقت بيدي أستكبرت أم كنت من العالين

[ S'AAD - 75 ]
Mwenyezi Mungu akamwambia: Ewe Iblisi! Kipi kilicho kuzuia kumt'ii yule niliye muumba kwa mikono yangu? Je! Umejiona mkubwa, au umekuwa katika wakuu kweli?

قال ما منعك ألا تسجد إذ أمرتك قال أنا خير منه خلقتني من نار وخلقته من طين

[ AL - A'RAAF - 12 ]
Mwenyezi Mungu akasema: Nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo.

Hapo mola akampa chansi aseme kile ambacho kilichomzuia je akasemaje?

Akasema muulizwaji(ibilisi)

قال أنا خير منه خلقتني من نار وخلقته من طين

[ S'AAD - 76 ]

Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, na yeye umemuumba kwa udongo.

Umeyaona majibu ya ibilisi hayo?
Kumbe alijua kama na yeye amri inamuhusu kwa sababu alikuwa ni katika malaaika kimatendo na sio kijinsia(Asili) na amri nayo imetaka kifanywe kitendo cha kusujudu kwa maana hapo kilichokuwa kinahitajika ni kitendo na sio Asili ya mtendaji.

Akasema tena

قال لم أكن لأسجد لبشر خلقته من صلصال من حمإ مسنون

[ AL - HIJR - 33 ]
Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yenye sura.

Unaona dharau za jamaa huyo bado akawa anatia jeuri

Kwa hivyo amri ya kitendo iliwahusu wote na ndyo mana hata mwenyewe ibilisi akajua hilo na wala hakutia hoja hiyo kwa sababu ni jambo linafahamika.

Mfano mtu ambae anakuja kutalii tu tanzania na kurudihuwezi ukamuambia aende NIDA akasajjili kitambulisho cha mtanzania.

Bali wale waliokaa hapa tanzania kwa muda mrefu wakalowea hapa hao wanajumuishwa ni katika wao.

Ndyo mana hata rais akisema watanzania lipeni kodi basi ujue anahusika na manji muhindi yule na wala hawezi kujitetea akasema mimi sio mtanzania silipi kodi.

والله تعالى أعلم
Mfano mkuu ukaenda shinyanga ikatoke amri wasukuma wote nyoosheni mikono juu hafu wewe ni mmakonde haukunyoosha itakuwa kosa kwelii hilo ??????
 
Namie niulize tuu.

Mfano ikatokea rais akasema watanzania wote walipe kodi,je akina manjii watalipa mkuu??
 
Ninavyojua Mimi kwa elimu yangu ndogo...Majinni wameumbwa kwa upepo sasa huyu Ibilisi alisema yeye kaumbwa kwa Moto ni jini gani huyu....? Hebu nifute tongotongo hapa
 
Kwa mujibu wa akili yako wameumbwa kwa upepo.

Lakini kwa mujibu wa quran majini wameumbwa kwa moto.
Sasa hapo kazi kwako tu ikiwa utafuata akili yako basi kwako itakuwa kaumbwa kwa upepo

Ila akina sisi tunaofuata quran tunanukuu kama ilivyokatika quran kwamba kaumbwa kutokana na moto.
 
Katika uislamu tofauti ya jinni na malaika ni ipi ??

Ibilisi kama jini ilikuwaje akawepo katika kusanyiko la malaika (sababu zipi) ??

Hafu je katika uislamu anaepaswa kusujudiwa sio Mungu tyu ? Iweje malaika wamsujudie mwanadamu kiumbe tu cha Mungu ??

Naomba unisaidie hayo kwanza kiongozi
Ningeomba uanzishe uzi ungine kwa ajili ya maswali hayo namimi nitakuja kuchangia,humu naona haileti na tija kwa sababu atakuja mwingine atuliza lake ,na yule atauliza lake sasa kuepusha hilo anzisha uzi kisha huko kutakuwa na uwanja mpana wa kujadili
 
Kwa mujibu wa akili yako wameumbwa kwa upepo.

Lakini kwa mujibu wa quran majini wameumbwa kwa moto.
Sasa hapo kazi kwako tu ikiwa utafuata akili yako basi kwako itakuwa kaumbwa kwa upepo

Ila akina sisi tunaofuata quran tunanukuu kama ilivyokatika quran kwamba kaumbwa kutokana na moto.
Sasa huyu Ibilisi km kaumbwa kwa Moto halafu tunaambiwa nae atatupwa motoni sasa si itakuwa km kaenda nyumbani kwake
 
Ningeomba uanzishe uzi ungine kwa ajili ya maswali hayo namimi nitakuja kuchangia,humu naona haileti na tija kwa sababu atakuja mwingine atuliza lake ,na yule atauliza lake sasa kuepusha hilo anzisha uzi kisha huko kutakuwa na uwanja mpana wa kujadili
kama unamajibu unaweza jibu hapahapa hamna haja uzi mwingine kwakuwa ulileta haya za kuelezea chimbuko la mwanadamu na ibilisi katika uzi huu huu
 
Manji ni Mtanzania usimbague kisa rangi.Na waarabu,wahindi wote ni race moja hawa ni wanadamu.
(kama ulikuwa hufahamu sidhani mtu wa dini unaweza ukawa racist)

Naomba nikusahihishe kidogo mkuu suala la kodi haliwahusu watanzania tu bali kila mtu afanyae shughuli hapa nchini awe mchina, mzungu au myahudi wote tunalipa kodi kwa mujibu wa sheria

Mfano wako naona hauleti maana kwa kesi hii malaika na majini ni viumbe tofauti (kwa mujibu wa dini yako)

ni kama unafananisha nyani na binadamu havihusiani kabisa so mfano wako sijui mtanzania wa asili na mgeni hapa inakuwa hauleti maana
Wewe utakuwa umemzidi ibilisi kwa sababu unamjibia ambayo keshajibu mwenyewe sasa wewe wamtetea?

Haya tuchukue yako ama yaibilisi?
Ibilisi ametaja sababu ya kumsujudia kwamba yeye kaumbwa kw udongo.

Aya na wewe unatuambia sababu hakuwa malaika?
Ama kweli nimeamini kuna mambo ibilisi anakaa pembeni mana kazidiwa akili na binadamu.

Ubishani huo hauleti tija yeyote kwa sababu ibilisi keshasema sababu ya kutosujudu sasa wewe kama unajua zaidi ya ibilisi,NA UNAMKAIDI MPAKA ALICHOSEMA MWENYEWE SASA VIPI NA MIMI NIANZE KUBISHANA NA MTU AMBAE ANAMBISHIA HATA HUYO IBILISI?

siwezi poteza mda kwa jambo ambalo tayari lina majibu mkuu tena kayajibu mhusika hasa.

Wewe wa leo tenaaa
 
Sasa huyu Ibilisi km kaumbwa kwa Moto halafu tunaambiwa nae atatupwa motoni sasa si itakuwa km kaenda nyumbani kwake
Hiyo ni kwa mujibu wa akili yako inavowaza.ila kwa Allah anaweza akaenda kuadhibiwa kwa moto huo huo ambao kaubwa nao,ikiwa unaaminin kama Allah ndo kauumba moto na huyo jini basi sidhani kama utakuwa huamini kama anaweza kuadhibu kwa moto huo huo.

Kwani huoni watu walididimizwa katika ardhi(udongoni)na wameumbwa kwa dongo hilo hilo je wamerudi homu siyo?

Dah kazi kweli kweli wallah...........!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom