Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Nakuelewaa kuliko unavofikiria na unachokiamini yawezekana kipo sahihi ...Nimegundua kuwa unachanganya sana kati ya human au existing races na Ancestors...
Uwepo wa utofauti wa race tayari ninkigezo kikubwa cha kukuweka kwenye grup jingine la ancestor mkuu..
Kuwepo kwa Rhesu factor kwa kila baadhi ya races haikufanyi uamini kuwa unatoka kwenye the same ancestor..no no no no big noooooo..
NI hivi,kwanza unatakiwa ujue kwanza kwanini viumbe wana Rhesus protein katika RBC surface glycoprotein zao na kisha ufahamu juu ya matumizi( faunction) ya hizo protein kwenye surface RBC badae ujue uhumimi wa kutokuwepo kwa Rhesus protein( Rhesus negative) katika surface membrane..
ujue utofauti wa mnyama mwenye protein ile( Rh +) na ambaye hana( Rh -) ..
Nini utofauti wao katika kuishi...??
Je mwenye RHESU +ve inamanisha kaoriginate toka ancestor nyingine au laaaah..??
Ukishalijua hilo unatakiwa kujua kuwa mambo ya Uwepo wa Rhesus kwenye mwilli wa kiumbe wowote hasa mamals ni kitu muhimu kwa kiwango gani...
unapaswa pia ujiulize kuwa kama GOLLILA sijui monkey wana Rhesus antigen haimanishi kuwa Rhesus antigen comfiguration ya monkey ipo sawa na yako wewe.. hapana...big no..tena big noo..Rhesu antigen ya monkey ni tofauti kabsaa na Rhesus antigeni ya binadamu .fahamu hilo ndo mana huwezi ongezewa damu ya mnyama unapokuwa umelazwa..umewahi sikia kama damu ya golila tunampa binadamu kwa point yako ya kuwa na the same Rhesus antigen( kwa ufahamu wako)..??
yani wew unafikilia kitu kidogo sana tena factor ya Rhesus protein ndo mana unasema tumetoka kwenye same ancestor..
kama ni hivyo basi hupishani na mtu aliyesema kuwa wew una masikio,mbwa nae ana masikio ,tembo ane ana masikio ,kwa hoyo wote ni familia moja ya ancestors..
hapana..
understand things at molecular level utajua mengi snaa...achana na shule ya form 4 uongo mwingi kule hakuna kitu kabsaaa...
Ukibishana na mtu aliyekata mambo haya atakuachia comment zako tu anatembea wew unajua amekuelewa ila kaamua kuachana na wew kwa sababu ya shule yako ambayo ipo katika surface level wakati yeye kajua membo in molecular level..
Be frexible utajua mengi mkuu..
Lakini pitia era katika ya miocene mpaka pliocene kwenye human evolution kuna baadhi ya mambo ukiyasoma (make hatuna namna ndo evidence) kuna uhusiano wa kile nachokiamini lakini hata hiyo elimu ya form 4 unayoudharau ndo inatupa mwanga wa order ya primates ambayo nahisi hao apes wapo na human lakini nakumbuka speciation ya homo kutoka kwa pan bado naamini kile nachokiamini..
Sikupingi kabisa ila jaribu kuzisoma complex hybrid speciation bila kusahau kuipitia genera of hominini lakini ata hiyo molecular unayoizungumziaa ukizama kwenye mambo ya single nucleotide polymorphisms unaweza ukaniunga kwa asilimia sana