Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

Nakuelewaa kuliko unavofikiria na unachokiamini yawezekana kipo sahihi ...

Lakini pitia era katika ya miocene mpaka pliocene kwenye human evolution kuna baadhi ya mambo ukiyasoma (make hatuna namna ndo evidence) kuna uhusiano wa kile nachokiamini lakini hata hiyo elimu ya form 4 unayoudharau ndo inatupa mwanga wa order ya primates ambayo nahisi hao apes wapo na human lakini nakumbuka speciation ya homo kutoka kwa pan bado naamini kile nachokiamini..

Sikupingi kabisa ila jaribu kuzisoma complex hybrid speciation bila kusahau kuipitia genera of hominini lakini ata hiyo molecular unayoizungumziaa ukizama kwenye mambo ya single nucleotide polymorphisms unaweza ukaniunga kwa asilimia sana
 
sawa ...sijakataaa unachokiamini...sijamanisha kuwa elimu ya Form 4 tunapaswa tuizalau,hapana nimeongelea kwenye kipengele cha Rhesus factor ambayo elimu yake imeanza kutolewa ufafanuzi katika mtaala wa form 4 lakini kadri unavyozidi kwenda juu ndipo unoana kinachongelewa ni tofauti kabsaa...sijaikataaa ila nasema tunalishwa vitu indirectly....

Halafu nikwambie tu ukweli..
Unaweza ukaimold genome yoyote ile na ikakupa desired characteristics unayoitaka wew kwa kufuata mfumo huo huo..

Mpakaa sasa DNA za Dinosasi zipo na hizo ndizo zinatumika kutengenezea wanyamaa wenge magamba magumu kwa lengo flani..wanachokifanya nimkuchukua gene factor control kwenye DNA base arangement inayohusika na skin kisha wanaifanyia genetic editing kisha kuifanyia superhybrid kisha kupata gene recombinant flani kisha wanaunganisha kwa kutumia micopipette innoculation na desired plasmid kisha tunapata mabilioni ya genes mpya na tayari tunazisambaza kwenye game research institute zinazohusika na conservation ya wanyapori waliokatika hatari ya kutoweka..lengo ni kuconserve DNA ZAO au kizazi cha walau kwa kuwafanyia superhybrid cloning system..

kwa hiyo swala la kusema kuwa tuna the same ancestors hapana...

The universe is too frexible to allow changes ili mradi ufuate universal laws zinazogovern existance
 
Uko vizuriii kabisaa...ila natamani uamini kuwa ancestor anaweza kuwa ni mmoja ambaye tunashare some common
 
Uko vizuriii kabisaa...ila natamani uamini kuwa ancestor anaweza kuwa ni mmoja ambaye tunashare some common View attachment 868788
Na hili la kuamini kuwa ancestor ni mmoja ndo linakufanya uwe limited kujua kama tunaweza othee species new ones kabsaa from pree existing species...
Mimi nishakuelewa kwa sababu point yako mwishoni utauliza kuwa hiyo genetic diversity ilitokea wapi ,,manake ilitokea kwenye singe nucleotide.( kwa maelezo ambayo unayo wewe))..

Lakini how sure are you kuwa kulianza single nucleotide?? na je kama kulitokea super eruption ya bilions of nucleotide zenye sequence tofauti kila mmoja na kuleta general diversity..? huoni hiyo nayo ni point..??

manake unarudi kul kule kwenye nani aliumba ulimwengu...kama ni Mungu na je nani alimuumba Mungu..??

Ndo mana nakwambia project za sasa hivo zinataka kuprovu nguvu inayocontrol yote hayo...
 
Nachokiamini evolution ni pana sana na ambayo haina majibu ya kujitosheleza na kila ukisoma na kubase kwenye evidence flan unaamin ni kweli ndo maana different theories has been postulated na mm nilitumia evidence ndogo ya rhesus factors ila wewe ukaichukulia main point

Ni kipi unakiamini kwenye evolution ukiweka pembeni molecular and biochemical evidence-based
 

Hapo ndipo mungu wenu anavyojichanganya mwenywe daima kosa hilo tayari, kwanini alianza kuumba moto kabla ya kuumba mtu ?

Alikuwa anao uhakika gani kama hao watu atakao waumba watakuwa waovu?
 
Tatizo evulution inafeli sana kuelezea procedure za kuchange scientifically ndo mana hatuoni changes hizo zikieendelea..

manake nini ...ili tuweze kaumini juu ya usemi huo labda tugeuze genetic cloning hybrid na kuita evulution..make ukiangalia sasa hivi kila aina ya mnyama au kitu unachokijua wewe kinaweza kurudihswa kwa mfumo wa cloning .

Ndo nasema naweza nikaconclude kuwa evolution does not exists only clonning under superhybrid technique..

mechanism ya evolution inakosa mashiko kabsaa...

evolution is a late word hence current word cloning..
 
Mkuu maswali yangu umeyajibu yote
 
Ndo nasema naweza nikaconclude kuwa evolution does not exists only clonning under superhybrid technique......japo nilitamani mjadala uendelee but umeumalizaa
napata lunch kwanza....nikimaliza kama vip nakukaribisha..coz we learn a lot through sharing knowlege though we can not share intelligence!! 😀 😀
 
napata lunch kwanza....nikimaliza kama vip nakukaribisha..coz we learn a lot through sharing knowlege though we can not share intelligence!! 😀 😀
Mjadala ulikuwa mtamu kwa sababu kila mtu alikuwa anasimamia anachokiamini ...bt now hautanoga
 
Mjadala ulikuwa mtamu kwa sababu kila mtu alikuwa anasimamia anachokiamini ...bt now hautanoga
but ngoja nikulize kitu...what is the difference between evolution and modern cloning...??
 
Reactions: Lee
but ngoja nikulize kitu...what is the difference between evolution and modern cloning...??
Kwangu mimi naona ni tofauti kabisa evolution kwangu naiamini tokeaa tulipoanziaa kwenye ancestors japo nayo mda mwingine inanichanganya ...hapa ntakuunga mkono kwamba life arose from pre existed one...hapo hapo kama sichachanganya na maneno ya kijiweni nikiichimba modern evolution naweza nikasema hapa ndo kuna chimbuko la cloning japo sio sawa ...

Uzuri wa modern cloning ni proved kabisa ipo mifano ambayo inajitoshelezaa huku kwingine ndo changamoto ....
 
hatare sana..
isijekuwa tunadanganywa kuwa tylitokea sijui wapi kumbe mambo yapo wazi mpkaa leo yanafanywa...!!!

nawaza tu kimya kimya mkuu
 
Reactions: Lee
hatare sana..
isijekuwa tunadanganywa kuwa tylitokea sijui wapi kumbe mambo yapo wazi mpkaa leo yanafanywa...!!!

nawaza tu kimya kimya mkuu
Yaaan hapo ndo huwa sipendi kuchanganya evolution na uumbajii kabisa
 
Mkuu, mengine siyajui but hili la binadamu wa kwanza kuishi mbinguni wewe unalitoa wapi!? Adamu aliumbwa hapa hapa duniani, sio mbinguni, ni pale mashariki ya kati na hiyo bustani ilikua pale pale mashariki ya kati and most probably ni nchini Iraq ya leo, soma vizuri Biblia, utakuta hiyo bustani ya Eden inaoneksana Mto Frati ni miongoni mwa mito ilioizunguka hiyo bustani, mto huo upo hadi leo, angalia kidogo atlas/ramani ya mashariki ya kati pale, mto huo upo Iraq ya leo. Sema baada ya makosa ya Adamu na Hawa ndipo walifukuzwa kwenye hiyo bustani na kuishi nje ya bustani cause waliambiwa, "kwa jasho mtakula (Adam, may be wanaume wote) na mtazaa watoto wenu kwa uchungu (Hawa and may be wanawake wote)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…