Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

Tat
Tatizo hicho kitabu kamba nyingi ila bibilia iko wazi kabisa
 



Suala muhimu hapo ni je Adamu alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa ? ,je Biblia inasemaje?
 
Duuh hivi kumbe ibilisi anaruhusiwa kujivinjari tu peponi ndo maana akakutana na hao ndugu na kuweza kuwarubuni?
 
It seems like Satan was so useful to fulfill the God plan..vp Adam na Hawa wangeshinda hill jaribu?
 
Swali limejengwa katika msingi kwamba kuna Mungu.

Unaweza kuthibitisha kuna Mungu?
 
50/50 si uthibitisho, ni probability.

Unaelewa kwamba uthibitisho si probability na probability si uthibitisho?
My answer was based to the fact that it is also impossible to have concrete scientific proof that he is not there.
 
Mtu mweusi ndo aliletwa duniani kwa makusudi ya Mungu lakini hizi rangi nyingine ni uasherati wa shetani na malaika waasi
 
My answer was based to the fact that it is also impossible to have concrete scientific proof that he is not there.
First things first, the question I posed is not to prove whether he is not there, the question is to prove he is there.

Why are you trying to answer a question I did not ask, while you are not answering the question I asked?

If he is not there, how would one prove that he is not there, apart from conceptual proofs such as "proof by contradiction", which are already done?

Do you know that it can be proved logically, that, an omnipotent, omniscient and all benevolent God who created this universe does not exists, and therefore, your assertion that "it is impossible to have concrete proof he is not there" is a simpleton's malarkey?
 
Please am dying to have such proof...Just prove it to me and I will be free.
 
Please am dying to have such proof...Just prove it to me and I will be free.
First things first, let us establish definitions, so that when you ask for red, when I give you my red, my red is actually your red.

I don't want you to ask for red, while what you call red is my blue, and I give you my red, which is your blue, and you refuse by saying "this is not red, this is blue", while I cry foul "but it is red,it is my red!".

What constitutes a proof? How do you know this is a proof, and this is not a proof?.

What is the primary, central and irrefutable characteristic of a proof?

I am asking this question, so that, when I am giving you my proof, I should adhere to this primary characteristic, if at all it is acceptable to me as well, so that what I call a proof, will also be acceptable as a proof to you.

I don't want to prove to you that a triangle has 180 degrees, while you do not accept the primary axioms of Euclidean geometry.

Do you catch my drift?
 
Hahaha hayo maswali kamuulize manufacturer (God)
 
Sijui kizungu kabisa ila naamini ndugu yangu kiranga bado yuko na msimamo wake wa kupinga uwepowa mungu.

Pole sana bosi kubwa lakini tunamuomba Mungu akusaidie kukuonyesha msimamo wa sawasawa.

Asante sana
 
Sijui kizungu kabisa ila naamini ndugu yangu kiranga bado yuko na msimamo wake wa kupinga uwepowa mungu.

Pole sana bosi kubwa lakini tunamuomba Mungu akusaidie kukuonyesha msimamo wa sawasawa.

Asante sana
Ingekuwa vizuri sana kama ungethibitisha Mungu yupo kabla ya kuniombea kwa huyo Mungu.

Thibitisha yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…