Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

Tat
Katika Dini ya Kiislamu Adam anajulikana kama Nabii (mtume), hivyo basi kwa taratibu za kawaida ni kwamba Nabii hutokea (hutokana) miongoni mwa watu wake ili aje kuwaonya na kuwafundisha maagizo aliyotumwa kutoka kwa Mungu, hivyo Nabii huwa anazaliwa katika umma atakaokuja kuuonya na jambo hili tunaliona hata kwa mitume wengine.

Kwa muktadha huo, Adam hawezi kuwa mtu wa kwanza kuumbwa,bali ukisema kwamba yeye alikuwa ndiye mtu wa kwanza (katika manabii wote) kufunuliwa/kupata wahy kutoka kwa Mungu au ukasema Yeye alikuwa ni Nabii wa kwanza kutumwa na Mungu hapo ni SAWA kabisa na ninaunga mkono hiyo rai. Lakini yeye hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa bali alikuwa nabii wa kwanza kabisa.

Na hii imewachanganya sana watu wakidhani kwamba Yeye ndiyo mtu wa kwanza kuumbwa---Yeye ni nabii wa kwanza kutumwa (au unaweza kusema yeye ni mtu wa kwanza kuumbwa KIROHO). Kuumbwa kiroho maana yake ni kupokea ufunuo kutoka kwa Mungu ili awapelekee watu (ujumbe).
Tatizo hicho kitabu kamba nyingi ila bibilia iko wazi kabisa
 
Suala muhimu hapo ni je Adamu alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa ? ,je Biblia inasemaje?
 
Kwa mujibu wa quran nabii adam alipoumbwa akaja umbwa na hawa walikaakatika bustani za peponi wakiwa tayari mtu na mkewe.

Kisha walipoasi jambo ambalo waliambiwa wasiukaribie mti fulani huko kattika bustani za pepo,shetani akawapa mawazo mabaya wakaasi ile amri ya mola wao.

Kisha badala ya hapo Allah akawaleta duniani maisha yakaendelea..

Kwa ufupi iko hvyo
Duuh hivi kumbe ibilisi anaruhusiwa kujivinjari tu peponi ndo maana akakutana na hao ndugu na kuweza kuwarubuni?
 
Swali linataka uchambuzi kwanza

"Alikusudia nini binadamu wa kwanza kumweka peponi"

Kwanza kabisa hatuwezi kujua makusudio ya Mungu mwenyewe mpaka atuambie kwamba kafanya hili kwa sababu hii na hii.

Mfano tu baba yako akuambie leo usiende kisimani au usifanye kitu fulani kwa kuwa unamheshimu hutofanya,ila utajiuliza maswali mengi kwa nini kanambia nisiende sehemu fulani(labda shule)hataki nisome,na kama hataki vipi aliniandikisha shule, au vipi?

Ila kwa kujiuliza huku hutopata jibu lake mpaka akuambie mwenyewe makusudio yake.
Sasa ikiwa makusudio ya binadamu mwenzio tu huwezi kuyajua mpaka akuambie vipi kwa Mungu alomuumba mwanadamu utayajuaje makusudio yake pasi na kuambiwa na mwenyewe?

Kusema kwamba
"Ilhali alimuumba kwa lengo la kuja duniani kutawala"

Hili naam aliumbwa kwa lengo hilo na limwtimia,au hakuja duniani ?

Kwa sababu ingekuwa hakufika duniani tungesema ni muongo kwa kuwa kafanya kinyume na alichowaambia malaika,ila ni kweli alimleta duniani na ndyo malengo hayo.

Mfano mtu kaaga ana Malengo ya kwenda Mtwara atafika baada ya wiki mbili,alafu wewe wiki ya kwanza ukamkuta lindi,na mwenzio wiki ya pili akamkuta mtwara kule ambako alikuwa na malengo nako.

Sasa utaweza kumhoji kwamba ilikuwaje na ulikuwa na malengo gani kuwa lindi wakati uliahidi unaenda mtwara?

Atakupa jibu rahisi atakuambia"mimi nilosema nitafika mtwara baada ya wiki mbili Na ndo nimefika kwa kuwa ndo yalikuwa malengo yangu"

Sasa ukisema vipi alipelekwa kwanza peponi wakati malengo aje duniani kutawala.

Nitakuuliza kwamba kama unakubali hayo ndo yalikuwa malengo JE yalitimia malengo ama hayakutimia?
It seems like Satan was so useful to fulfill the God plan..vp Adam na Hawa wangeshinda hill jaribu?
 
Swali limejengwa katika msingi kwamba kuna Mungu.

Unaweza kuthibitisha kuna Mungu?
 
50/50 si uthibitisho, ni probability.

Unaelewa kwamba uthibitisho si probability na probability si uthibitisho?
My answer was based to the fact that it is also impossible to have concrete scientific proof that he is not there.
 
Mtu mweusi ndo aliletwa duniani kwa makusudi ya Mungu lakini hizi rangi nyingine ni uasherati wa shetani na malaika waasi
 
My answer was based to the fact that it is also impossible to have concrete scientific proof that he is not there.
First things first, the question I posed is not to prove whether he is not there, the question is to prove he is there.

Why are you trying to answer a question I did not ask, while you are not answering the question I asked?

If he is not there, how would one prove that he is not there, apart from conceptual proofs such as "proof by contradiction", which are already done?

Do you know that it can be proved logically, that, an omnipotent, omniscient and all benevolent God who created this universe does not exists, and therefore, your assertion that "it is impossible to have concrete proof he is not there" is a simpleton's malarkey?
 
Please am dying to have such proof...Just prove it to me and I will be free.
 
Please am dying to have such proof...Just prove it to me and I will be free.
First things first, let us establish definitions, so that when you ask for red, when I give you my red, my red is actually your red.

I don't want you to ask for red, while what you call red is my blue, and I give you my red, which is your blue, and you refuse by saying "this is not red, this is blue", while I cry foul "but it is red,it is my red!".

What constitutes a proof? How do you know this is a proof, and this is not a proof?.

What is the primary, central and irrefutable characteristic of a proof?

I am asking this question, so that, when I am giving you my proof, I should adhere to this primary characteristic, if at all it is acceptable to me as well, so that what I call a proof, will also be acceptable as a proof to you.

I don't want to prove to you that a triangle has 180 degrees, while you do not accept the primary axioms of Euclidean geometry.

Do you catch my drift?
 
Hahaha hayo maswali kamuulize manufacturer (God)
 
Sijui kizungu kabisa ila naamini ndugu yangu kiranga bado yuko na msimamo wake wa kupinga uwepowa mungu.

Pole sana bosi kubwa lakini tunamuomba Mungu akusaidie kukuonyesha msimamo wa sawasawa.

Asante sana
 
Ingekuwa vizuri sana kama ungethibitisha Mungu yupo kabla ya kuniombea kwa huyo Mungu.

Thibitisha yupo.
 
Back
Top Bottom