Kama quraan inasema eden ilikuwa mbinguni na bibilia inasema ilikuwa duniani, alafu bado mnasema kuwa Mungu wa Bibilia ndo mungu wa quraan.OKQur'an ndio kitabu cha Dini nilichojifunza, vyengine kama Bible nimenyapianyapia tu
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Source ambayo nimeitumia ni Qur'an ambacho tunaambiwa ndio kitabu cha mwisho kilichokamilika na kukusanya maneno ya vitabu vyote vitatu (Taurati, Injili, na Zaburi) na kufuatilia nukuu za mtume wa mwisho ambaye ni MuhammadDah nimekufatilia sana ila wacha nijaribu kwenda sawa na wewe mana naona kuna mambo hayako sawa tutayajadili
Source ambayo umefatilia ni ipi mkuu ikakuambia maneno hayo?
Sasa mkuu naomba uniambie ni sehsmu gani kwenye quran inasema walishushwa saudia mkuu?Source ambayo nimeitumia ni Qur'an ambacho tunaambiwa ndio kitabu cha mwisho kilichokamilika na kukusanya maneno ya vitabu vyote vitatu (Taurati, Injili, na Zaburi) na kufuatilia nukuu za mtume wa mwisho ambaye ni Muhammad
Mkuu uliposema "kuna watu hawajui kusoma wala kuandika je hayo mambo ya kiimani wangeyajuaje?"Swali hilo ungewauliza wale wanaotuambia tusome badala ya kusimuliwa....
Hakuna walichomkosea mkuu ni matakwa yake Mungu hakuna wakumuhoji katika hiloJe wanaozaliwa vipofu,vilema ,matahira walimkosea nini MUNGU
Mkuu sisi wengine hatusemi hivyo kwa mujibu wa hoja zetu sahihi,labda watu wa mitaani tu wasioelewa lolote .Kama quraan inasema eden ilikuwa mbinguni na bibilia inasema ilikuwa duniani, alafu bado mnasema kuwa Mungu wa Bibilia ndo mungu wa quraan.OK
Ufasaha upi mkuu labda nielekeze nijue tu huwenda ufasaha unaousema ukawa tofauti na ninavyowaza mkuuIla mkuu inaonekana unajifunga kiakili hutaki kujadili kiufasaha
Ndo nipate hizo reejea ulizosoma ni wapi mkuuNimesema walikutana Saudia sio kushushwa, kushushwa kila mmoja alishushwa kwake
Umesoma Quran wewe? rudi tena Madrassa.... Maana katika uisilam hakuna Malaika Mkosefu. Malaika hawamkosei Mungu wala hawapingi amri ya Mungu.Qur'an ndio kitabu cha Dini nilichojifunza, vyengine kama Bible nimenyapianyapia tu
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Okay, mi sio mmezaji wa aya kujua ni aya gani ila hayo ndio ninayoyajua. Hatupo hapa kubishana bali ni kueleweshana sasa hebu kama nipo tofauti eleza ukweli wako unavyojua wewe ili tupime kama upo sahihi kuhusu ilikuwaje Adam na Hawa walitolewa Eden na hiyo Eden ipo Mbinguni au huku Duniani?Ndo nipate hizo reejea ulizosoma ni wapi mkuu
Mkuu ibilisi hakuwa malaika kwa mujibu wa quran alikuwa katika majini tu kama inavothibitisha quran yenyewe.Ibilisi alikuwa malaika kabla ya kumkosea mungu. Bishaa
Dah jamaa kanishangaza sana wallah,miongoni mwa kujadilmisingi ya kujadili jambo lazima kwanza ujue hilo jambo na misingi yake,sasa jamaa anataka kujadili kwa ufasaha(kama anavosema)kuhusu quran ilhali hajaijua bado lazima ataharibu tu.Umesoma Quran wewe? rudi tena Madrassa.... Maana katika uisilam hakuna Malaika Mkosefu. Malaika hawamkosei Mungu wala hawapingi amri ya Mungu.
Tatizo mkuu ujinga ndo tatizo,samahani kama nakutukana ila sikuona neno lingine la kuweka hapo linalokustahiki kwa kuingilia sehemu nyeti kama hizo mkuu. Samahani sana kukuita mjinga(katika suala hilo)Okay, mi sio mmezaji wa aya kujua ni aya gani ila hayo ndio ninayoyajua. Hatupo hapa kubishana bali ni kueleweshana sasa hebu kama nipo tofauti eleza ukweli wako unavyojua wewe ili tupime kama upo sahihi kuhusu ilikuwaje Adam na Hawa walitolewa Eden na hiyo Eden ipo Mbinguni au huku Duniani?
Kwako mkuu Abuhafsa
Asante mkuu inabidi niwe mpole ili nione werevu wako ktk swala hili ili na Mimi nije kukuita Mjinga huko mbele.Tatizo mkuu ujinga ndo tatizo,samahani kama nakutukana ila sikuona neno lingine la kuweka hapo linalokustahiki kwa kuingilia sehemu nyeti kama hizo mkuu. Samahani sana kukuita mjinga(katika suala hilo)
Pili niseme kwamba hakuna aya inayosema walikutana saudia na nina hakika hujasoma quran ile maarufu(labda kuna ingine) sijui umetunga kichwani ama umeyatoa wapi nashindwa kuelewa kabisa yani
Ilikuwa useme tu ulikotoa hayo maandiko yako mabovu yenye uongo mwingi(nakuwa mkali kwa sababu unaongea pasi na elimu jambo ambalo ni baya sana)
Sipo kubishana ila lazima tudai marejeo kwa sababu imeisingizia quran uongo jambo ambalo ni ovu sana pia.
Unataka nielezee ukweli wangu kupitia kitabu changu cha imani(quran) ama nitumie utashi wa akili tu kama unavotumia wewe mkuu?
Kwa mujibu wa quran nabii adam alipoumbwa akaja umbwa na hawa walikaakatika bustani za peponi wakiwa tayari mtu na mkewe.Asante mkuu inabidi niwe mpole ili nione werevu wako ktk swala hili ili na Mimi nije kukuita Mjinga huko mbele.
Haya nieleze kwa utashi wako tumia evidence zozote ili mradi uwe ktk maelezo yenye mtiririko na kueleweka
Kwaiyo Wa Iraq ndiyo watu Wa kwanza.Nikusahihishe kwanza Eden haikuwa mbinguni mkuu ilikuwa duniani maeneo ya Iraq ya sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aksante sana kwa uelewa ulio tukuka.Mkuu sisi wengine hatusemi hivyo kwa mujibu wa hoja zetu sahihi,labda watu wa mitaani tu wasioelewa lolote .
Unaposema tunasema jua sio wote labda baadhi tu