Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

ooh nimegundua kumbe Quran ni tofauti na biblia hivyo kuja kufikia mwafaka humu itakuwa ngumu
 
ooh nimegundua kumbe Quran ni tofauti na biblia hivyo kuja kufikia mwafaka humu itakuwa ngumu
Big up sana mkuu kwa akili kubwa ya kuliona hilo ndyo mana inakuwa hatuelewani humu kwa sababu mwingine atatoa ushahidi kupitia bibilia aonavyo sahihi na mwingine atatoa ushahidi kupitia quran kwa namna anavoona sahihi wakati huo kila mmoja ana marejeo yake,.

Kwa hvyo usemalo mkuu ni kweli,hatuwezi fikia muafaka
 
Hivi huyu adam alikua nabii kwa ajiri ya watu gan,wakat yeye ndo alikua binadam wa kwanza?
 
Nimekuelewa mkuu....
Sasa ilikuwa Adam na bibi Hawa wakabadilishiwa maisha mazuri waliyokuwa wakiishi huko Eden maana tunaelezwa Eden ilikuwa pahala pazuri penye kila starehe ilikuwaje wakatoka mule
 
Mkuu inawezekana kweli ukaona ninazunguka zunguka lakini mengine siwezi andika hapa,tuanaongelea imani za watu.Nchi yetu haina dini watu wake ndiyo wanadini,nimekushauri ufike kanisani ili kujifunza zaidi.
Kuna watu wanaishi karibu na kanisa ila hawajawahi kuingia kanisa,sasa sijui wewe umeonaje kuwa ni rahisi tu kuja humu Jf na kumwambia mtu aende kanisani!!! Ningekuwa na shida na kanisa basi ningekuwa nishaenda,humu tunatofautiana uelewa,misimamo na imani ila ajabu wewe bila ushawishi wowote tu unakuja kuwaambia watu waende kanisani.

Ndiyo maana nikasema ukubwa wa imani haufanyi hicho unachokiamini kuwa sahihi na ndiyo maana hata waabudu ng'ombe pia wapo wenye imani kubwa tu kama wewe.

Sasa kila mtu akimwambia mwenzie aende sehemu fulani ili akajifunze imani ya mwenzie basi itakuwa huu mjadala hauna maana basi hapa.
 
Hii habari ya Edeni ilikuwa mbinguni imetoka wapi ,mi ndo Leo naisoma?
 
Mkuu tafuta post zangu za nyuma soma,kama kwenda kanisani kwako ni ngumu hiyo siyo shida yangu ni yako.Mimi hapa
Mkuu nitakuja kukujibu ,kwa sasa fuatilia post zangu za nyuma.Ni kweli imani zipo nyingi,na ninajua imani ina nguvu,imani yeyote hata ya upotevu inanguvu sana.Mimi nikisema nenda kanisani siyo uwezo wangu wa kumshawishi mtu utakaomfanya aende kanisani bali Mungu mwenyewe.Soma post zangu za nyuma.
 


Nasema hivi; toeni ushahidi kutoka Qur'an na Biblia muonyeshe kuwa Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa.
 
Shida sio yangu bali ni yako ambaye unataka kuhamishia huu mjadala kanisani,halafu nisome post zako za nyuma kuhusiana na suala lipi? maana mie nimetaka kujua tu kwako kwamba ni lipi au yapi yanayokufanya uone ukristo ni imani sahihi? Matokeo yake unaniambia nije kanisani sasa sijui unataka nije kuangalia miujiza!
 
Nasema hivi; toeni ushahidi kutoka Qur'an na Biblia muonyeshe kuwa Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa.
Wacha povu mkuu,unaposema tutoe ushahidi lazima ufafanue kwamba ushahidi ili uwe ushahidi kwko uwe na vigezo vipi kisha tutaangalia je hiyo quran au bibilia ina vigezo hivyo unavovitaka wewe.

Sio useme tulete ushahidi alafu ukiletewa unaanza kupeleka huku na kule
 
Hivi huyu adam alikua nabii kwa ajiri ya watu gan,wakat yeye ndo alikua binadam wa kwanza?
Madhali umetumia akili pasi na maandiko basi na sisi tunajibu kwa akili pasi na maandiko.

Kwa akili tu ,Kwani mtu hawezi kuwa mjumbe anayewaonya wanawe kutokana na mabaya?

Hata mtume muhammad alikuwa ni mtume mpaka kwa watoto wake pia akiwaelekeza njia ya sawa na kiwaonya kwa mabaya haijalishi watoto wake ndo asifae kuwa nabii kwao.

Sasa Nabii adamu hakuzaa ?
Kama alizaa jee hafai kuwa nabii kwa watoto wake mwenyewe???
 



Wewe ndio unaongea povu tupu, mimi ninataka ushahidi unaothibitisha kwamba Adamu ni mtu wa kwanza kuumbwa, lete ushahid ikutoka Biblia au kutoka Qur'an.

Unaogopa nini??, unashindwa kutetea unachoamini!!. AU NI POVU TUPU TU?
 
Wewe ndio unaongea povu tupu, mimi ninataka ushahidi unaothibitisha kwamba Adamu ni mtu wa kwanza kuumbwa, lete ushahid ikutoka Biblia au kutoka Qur'an.

Unaogopa nini??, unashindwa kutetea unachoamini!!. AU NI POVU TUPU TU?
Teheh hatari kweli,ok

Nakuuliza ushahidi unaoutaka ambao utaukubali ni ushahidi uwe na vigezo gani kwanza ili tuvitizame vigezo vyako vimo katika ushahidi tunaoutegemea au vipi.

Haya leta vigezo kwanza

N:B quran ndyo marejeo yangu na kitabu changu cha imani
 



Haya lete hizo aya za Qur'an zinazoeleza kwamba Adam (as) alikuwa ni mtu wa kwanza kuumbwa!!,
 
Haya lete hizo aya za Qur'an zinazoeleza kwamba Adam (as) alikuwa ni mtu wa kwanza kuumbwa!!,
Wewe unaelewa mkuu??
Nakuambia nipe vigezo ambavyo wewe una vizingatia kwamba ni ushahidi unaoaminika kwako wewe ili tuitizame hiyo quran kama imekidhi hivyo vigezo ambavyo unavitaka wewe.
Lazima tukubaliane kwanza na tujue mwenzetu ushahidi ni kwa kuwa quran imesema(kama sisi) au hata hayo maneno yenyewe ukipewa utaanza kuyarusha mara ilikuwa hivi ikawa vile na hivi..

Weka hivyo vigezo ambavyo wewe unavizingaatia kama uthibitisho wa kukunaisha na hoja fulani,au unadai jambo kisha hujui vigezo vya unalolidai?

Weka vigezo au lasivyo uniambie kwamba unaiamini quran inaposema hapo ndo itakuwa ni kigezo utapewa aya ila juu juu wataka alafu ukiletewa usnze propaganda za hap na pale?

Narudia mkuu tuwekee vigezo kwanzaa
 
Jamaa kauliza tulikuja kimakosa au nimipango ya mungu??

Mkuu tafakar kwa fikra huru swali lake USIJIBANE KWEMYE IMAN

NAMI N MMOJA WAPO NAPATA SHIDA SANA NA HAYA MAANDIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…