Si kweli hata kidogo, kwamba tuna share the common ancestors, kama ingalikuwa hivyo basi uwezekano wa watu kuzaa apes (masokwe) au primates (manyani) ungekuwepo au kinyume chake apes na primates wangeweza kuzaa watu, lakini jambo hilo halijawahi kutokea aslan tangu dunia hii iumbwe, kama unao mfano hai lete hapa.
Umezungumzia juu ya Rhesus protein (Rh) iliyomo katika damu ya binadamu na baadhi ya monkeys mfano (Rhesus monkey), napenda ujue hicho siyo kigezo kwamba tuna share the same ancestors kwa sababu wao pia damu zao zina haemoglobin na zetu na za wanyama wengine pia zina haemoglobin kimsingi tuna mambo mengi yanayofanana lakini sio kweli eti tunashare the same ancestors kitu ambacho hata sisi binadamu hatunacho, mfano Wabantu,Wa nilotes,Mongoloid, Hamites nk, hizo ni human races ambazo zina ancestors tofauti na wala huwezi kukuta mbantu kazaa Hamite au mongoloid (wajapani , wachina, wakorea). Ancestors ni wale waanzilishi wa race.