Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

hii naona imejibu kila kitu
kuna sehemu imezungumzia timu ya Taifa hapo..?, hivo ni vilabu, huyu mapenzi yake kayapeleka timu ya taifa, why asichukue uraia kabisa
 
Muogope sana mtu anaevuta tenshen ya watu, tena kwa gharama zake. Lazima mtalipia tu, kivipi? Mimi sijui
hahahaha waeleze wapenda vya bure waelewe,maana kawa akija kila kituo cha TV, Redio kinamgombania, mara anaalika waandishi wa habari,,
kuna somo watu inabidi wajifunze kutoka, Rusia, Syria, Marekani huko wanavochezeana rafu
 
Kuhojiwa yule jamaa ni sehemu ya utalii piaa huwa anahamasisha watu waje kwenye mbuga za wanyama sometimes...!!
wapi alihamasisha watu waje kwenye utalii..?
 
Hakuna kitu hapo mapenzi yake kwenye soka yamezidi tu,alikuwepo pia afcon egypt...labda yongeza anatafuta umaarufu pia.
 
KWeli una jicho la kijasusi. Bongozozo ni kama anatengeneza cover story. Soon ata gain access na watu waliopo mahali sensitive. Na ni kitu kimeanza kutokea tayari. Na wafuatao ndo itakuwa next point of contact maana hawa ndo weakest link kama kweli jamaa yupo kimkakati: Kigwangala, Mwakyembe, Makonda.
 
Hakuna Mzungu mwenye Mapenzi mema na Mtu mweusi ifike mahali tujifunze yule Mzungu Dj aliyesambaza Ukimwi kwa Wadada wengi wa Kiafrika Wadada zaidi ya 600 tusimfurahie tu kwakua anaongea Kiswahili Mi naungana na Mtoa uzi tuwe makini sana na Watu aina ya Bongozozo tunaweza kuja lia baadae Mtu mwenye akili timamu ajiulize anawezaje safiri kwa gharama kiasi icho ili kuja kuangalia mechi moja nani? Anayemdhamini ktk safari zake anaway tuwaachie wahusika wanaosimamia usalama wa Nchi ingawaje sisi sote tuna jukumu la kuhakikisha usalama wa Taifa letu
 
Imenishangaza kusikia jamaa yule demu wanaishi nae nyumba moja wamezaa watoto wawili ila wametengana kwa miaka nane hawalali chumba kimoja na hawafanyi kitu naungana na mtoa mada
 

“Mtoa uzi ni mdadisi wa kutaka kujua ila hawa wachangiaji ndo nimegundua kuna tatzo kubwaaaa la ubongo,,elimu zao za kukalili na viburi vinawafanya wakuone kilaza ndugu yangu.Tafuta namna nyingine ya kuujua ukweli hapa hekima ni sifuri kabisa utatukanwa tu .Ukiujua ukweli leta mrejesho hapa.
 
Utafiti wa Havard University uliitimisha kwamba "Africans are predisposed to be less intelligent"
Mwandishi wa haya maandishi anathibitisha utafiti wa Havard kwa vitendo kwamba ni kweli.

“Alitumia vigezo vipi kabla ya kuandika kutukana waafrika ???ndo mana skuizi project nyingi ni za kishenzi kutokana na kuwaamini mburula wachache kufanya research njiwa kisha kuhitimisha na matokeo ya kishenzi kama uo upuuzi ulioongea .Waambie mwende mkafanye tena reseach ndo mtagundua wewe na huyo mwandishi wako ndo mko less intelligent mpaka kuamua kutukana waafrika wote[emoji35][emoji35]
 
Hoja yako hailaswi kupuuzwa. Kumbka hivi inakuaje tunaskia et CIA walichochea mapindunzi Libya, Sudan, hko America ya kusini n.k. Ilkua kuaje wakafanikiwa na wao wako mbali?


Hoja yako haipaswi kupuuzwa. Ww sio mtu wa kawaida..u have 3 eyes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…