Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

wananipuuza, wanachukulia poa, pia tunamuona kama jamaa kipa katoka, ila ndio mambo yake yeye yanakamilika

Ukimwangalia vizuri kama anajitoa ufahamu huyu jamaa mimi nadhani kuna kitu beyond that.
Kama nchi tusikurupuke kumpa uraia kama alivyopendekeza haji manara kwa mihemko.
Critical thinkers katika mambo ya nchi ni muhimu sana.
We need to rethink more and more also we need to have critical investigation
 
wananipuuza, wanachukulia poa, pia tunamuona kama jamaa kipa katoka, ila ndio mambo yake yeye yanakamilika
Ukitoa yeye kuonesha mapenzi na tz, je ana connection na system?
Kama hana, muacheni jamaa. Ana watoto kazaa na mtanzania mweusi.
 
Unaweza ukawa uko sahihi. Lakini pia unadhani mamlaka husika hasa Usalama hawajaliona hilo? Je, hawajamchunguza na kujiridhisha hadi kumuachia afanye anachokifanya? Ajabu kuna watu wana comment as if wana uhakika kuwa mamlaka husika haijachukua hatua zozote
 

Kivipi nati zimekata?[emoji23]
 
yupo bongo zaidi ya miaka10 mchongo gani huo wa kufukuzia miaka yote hiyo
Hiyo operesheni pengine ni ya juzi na yeye amekuwa picked kama asset sababu ya hiyo background unayoongeleaa. Operesheni za kijasusi zinaweza kuanza muda wowote. Hakuna aliyesema alikuja kwa nia ya kijasusi miaka kumi iliyopita. Tunaongelea yanayotokea sasa hivi yanabidi yaangaliwe kwa umakini na watu wa counter-intelligence. Fuatilia stori Elly Cohen ndo utafahamu kwanini hatupaswi kubweteka juu ya bongo zozo. Ujasusi una sura nyingi sana. Ujasusis ni pamoja na kupeleleza muelekeo wa sera za nchi na pengine kuziinfluence kwa kupitia watoa maamuzi. Mfano mwingine angalia spy ring ya warusi iliyokuwa bursted 2010 pale USA. Walikuwa hawatafuti information ambazo ni za siri sana, walikuwa tu wanajipenyeza karibu na watu wenye maamuzi ili kufahamu yanaoyoendelea katika utungaji wa sera.
 
BONGOZOZO kule kwao ni kama mmatumbi fulani ila akija TZ ni superstar fulani masholi wanamtamani.Mi nadhani misheni yake ni kuwinda mademu achape anavyotaka.Suala la upelelezi wazungu hawana shida ya kupata taarifa zetu kwa sababu waafrika tuna penda sana UKIBARAKA wanaweza kupitia misaada yao wakapata wanachokitaka maana waafrika wanapenda sana vya bure( umeme bure,maji bure,elimu bure,nguo bure,tende bure nk)
 
Sijaelewa mkuu!!!kwahiyo kikombe cha Babu wa Loliondo ni Mataptap?
 
Ni shemeji tu
Shaka ondoa
Ni mwema kuliko unavyodhani
Jasusi asingezalisha
Jaribu kumuelewa utatambua
Akijiingiza kwenye siasa imekula kwake
 
Akili za manala hizi...kule kwenye press ukaona aitoshi kumuhisi jamaa gaidi ukaona uje na huku.
Manyalaaaaaa
 
Hakika watz wengi ndio maana wanapofanya matukio inakuwa rahisi sana kukamatwa hawana uelewa mkubwa wa mambo MTU yoyote anaejielewa haachi kuuliza swali kama hilo
majibu yanayotolewa unaweza ukaona kabisa level ya mtu ya uelewa wa mambo
 
Jitahidi kuelewa dunia inakoeanda kwenye maisha yako usipojipa utamaduni wakuhoji kila kitu utakwama sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa tanzani kuipeleleza ndo unakuja kuishia uwanja wa taifaa...!! Au anapeleleza mashabiki wa mpiraa...
 
Anaweza asiwe mBAYA Ila haiondoi ukweli wakuhoji wabongo wengi wana uwezo duni wakutrace mambo yaani mzungu awe na uchungu na tz daah
 
Inavyoonekana una lack exposure........Wazungu wengi wakija bongo wana admire sana kwa hospitality yetu hivyo utokea wanaipenda sana nchi yetu...huyo Bongozozo shauri ya uchakaramu tu ndo maana anajulikana sana.
Hana mission wala vision yoyote....pia kumbuka mkewe ni mchaga wa Marangu.
 
Dah nilikuwa offline nitakuja hapa
 
Wekeni picha tumuone huyo bongozozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…