Duh akili kisoda muda mwingine sio lazima kuleta uzi kama huu wakati ungeenda kuongea na viongozi wa dini wangekupa majibu. Akili ndogo sana a
Atagain zaidi akitenga muda wake akapata mawazo ya viongozi wa dini yake kule anaweza kuwauliza maswali yake yoote akapata majibuNo sio akil ndogo ila nikatika kukusanya taarifa theway mtu anavyo elewa kunavitu anagain hapo pasipo ww kujua π
Mkuu elewa somo ,,kuoa bila hati ya ndoa ni sawa na kuuziwa kiwanja bila hati.Hao watoto wanakuwa wako au sio wako? Kama ni wako shida nini na wanatunzwa?
Hizo mali ni zako au sio zako? Shida nini na kitu ni chako na kimeandikwa jina lako?
Mtu hauzwi, mali ndio inauzwa, kuoa au kuolewa si kumnunua unayemuoa / kuolewa nae, yule bado ni mtu huru..., na anytime akitaka kuondoka kwenue hicho kifungo anaondoka tu..Mkuu elewa somo ,,kuoa bila hati ya ndoa ni sawa na kuuziwa kiwanja bila hati.
Usije ukajilaumu baadae.
Cheti kipo ndani ya moyo wa uanaemuoaMkuu,hukitaki cheti?
Kidini uhalali wa ndoa unaanzia 1) makubaliano Kati ya muowaji na muolewaji 2) Makubaliano Kati ya wazaz au wawakilishi wa pande zote mbili kutia ndani Mashahidi 3) Mahari au kiingereza wanaita consideration kama sijakosea. Hapo ndoa inakua halali tayari. Ndiomaana baadhi ya dini zinakubali ndoa za kimila zisihohusisha lakini masharti ambayo Yana chembe za ushirikina. Swala la vyeti ni ziada tu na mpango ambao serikali zimeweka na haina budi dini kufuata. So kwa swali lako ndoa inakua halali kabisa.Ukifunga ndoa bila cheti, hiyo ndoa ni halali kidini?
hata masikini wanavyo vyeti.cheti cha ndoa, mpango kabambe wa kumfilisi ME
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Hapo umenena Mkuu,zile cheti ni kama laana tu....ndoa hazidumu,ndani kwa motoCheti kipo ndani ya moyo wa uanaemuoa
Cheti cha ndoa sio mali ya Dini yoyote kipo kwa mujibu wa sheria, ni mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Naomba muongozo
Okay, we tumia makalio, acha tugawane mbinuUsitumie akili kwenye kila kitu utafeli kwasababu sio kila kitu kinahitaji akili.