Je, Cheti cha ndoa kimetajwa popote kwenye biblia au Quran?

Je, Cheti cha ndoa kimetajwa popote kwenye biblia au Quran?

No sio akil ndogo ila nikatika kukusanya taarifa theway mtu anavyo elewa kunavitu anagain hapo pasipo ww kujua 😂
Duh akili kisoda muda mwingine sio lazima kuleta uzi kama huu wakati ungeenda kuongea na viongozi wa dini wangekupa majibu. Akili ndogo sana a
 
No sio akil ndogo ila nikatika kukusanya taarifa theway mtu anavyo elewa kunavitu anagain hapo pasipo ww kujua 😂
Atagain zaidi akitenga muda wake akapata mawazo ya viongozi wa dini yake kule anaweza kuwauliza maswali yake yoote akapata majibu
 
Sijaona andiko la Biblia linaloharalisha kwamba ndoa zifungwe na viongozi wa dini. ( Makanisani)
Wala mtume au nabii aliyewafungisha watu ndoa
 
Hao watoto wanakuwa wako au sio wako? Kama ni wako shida nini na wanatunzwa?

Hizo mali ni zako au sio zako? Shida nini na kitu ni chako na kimeandikwa jina lako?
Mkuu elewa somo ,,kuoa bila hati ya ndoa ni sawa na kuuziwa kiwanja bila hati.

Usije ukajilaumu baadae.
 
Mkuu elewa somo ,,kuoa bila hati ya ndoa ni sawa na kuuziwa kiwanja bila hati.

Usije ukajilaumu baadae.
Mtu hauzwi, mali ndio inauzwa, kuoa au kuolewa si kumnunua unayemuoa / kuolewa nae, yule bado ni mtu huru..., na anytime akitaka kuondoka kwenue hicho kifungo anaondoka tu..
 
Ukifunga ndoa bila cheti, hiyo ndoa ni halali kidini?
Kidini uhalali wa ndoa unaanzia 1) makubaliano Kati ya muowaji na muolewaji 2) Makubaliano Kati ya wazaz au wawakilishi wa pande zote mbili kutia ndani Mashahidi 3) Mahari au kiingereza wanaita consideration kama sijakosea. Hapo ndoa inakua halali tayari. Ndiomaana baadhi ya dini zinakubali ndoa za kimila zisihohusisha lakini masharti ambayo Yana chembe za ushirikina. Swala la vyeti ni ziada tu na mpango ambao serikali zimeweka na haina budi dini kufuata. So kwa swali lako ndoa inakua halali kabisa.
 
Usitumie akili kwenye kila kitu utafeli kwasababu sio kila kitu kinahitaji akili.
 
Back
Top Bottom