Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

Wakati mgumu mno ni ule wakati uhai unatoka - usiombe kitu hicho kikukute. Ukitaka kujua namna utakavyohangaika jaribu kuziba pumzi yako wa dakika kama 3 hivi... au jaribu kujinyonga na kisha ukijitundika mwambie nduguyo awepo hapo ili kabla hujakata roho aikate kamba - then uje utushuhudie uchungu wake.

Kwa kweli kifo ni kitu kichungu mno, na kibaya zaidi ukishazaliwa tu lazima ushuhudie maumivu hayo na baada ya kukata roho hutajua upo wapi, kama ulizaliwa duniani ama laah.

Kifo ni fumbo.
 
Dahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.
 
Ni muhimu sana ukawazia ya kwako kuliko kuwa concerned na ya wangine.

That is somekind ya unafiki flani hivi.

 
Hata hakusma kitu,alibebwa kapelekwa mjini,akaanza yeye akafiwa na baba yake,tuliambiwa alilia sana huku akiwa mgonjwa hivyohivyo,akaenda akamzika mzee wake,yaani babu,akarudi tena mjini kuuguzwa,hakukaa muda mrefu,tukaambiwa amefariki.R.I.P baba yetu.Kwa ilivyokua,nisingekua hivi nilivyo,nilikosa muongozo wako nikawa ni mtu wa kujiamulia tu bila muongozo wako.R.I.P
 
Haya mambo ya dini wewe waachie wafia dini, kule kwingine nako kuna kauli mbiu hakuna mwenyezi Mungu isipokuwa Allah.
Sio "hakuna mwenyezi Mungu isipokuwa Allah " ila "hakuna Mungu isipokuwa isipokuwa Allah"yaani hakuna Mungu mwingine wa kuabudiwa isipokuwa Allah

Allah = mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu = Mungu mmoja /asiye na mshirika.
Ng'ombe ni Mungu kwa wahindu
Nyoka,sanamu n.k
 
Inakuaga hivyo ata mimi mama yangu alifanya hivyo mara ya mwisho yani anatuangalia kwa muda mrefu watoto wake mmoja baada ya mwingine na mwisho wake usiku wa kuamkia siku inayofuata kaondoka.
 
Hicho ulichoongelea ni kifo cha mateso, kama ulivyosema kifo ni fumbo. Anayejua ni mfaji pekee na sio wewe. So keep quiet!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…